Wakili huyu angekuwa ndio anahojiwa na Makonda angeloa kejeri na udhalilishaji!

Products za shule ya Kata , kingerreza si lazma , kiswahili ni lugha ya kimataifa, wengi mnaomzodoa wakili hapa ni kwasababu hajui kingereza ila kizungu si lazma kujua, kwani wachina wanajua kingereza? Warusi wanajua kingereza?
 
Huyo akiwa wakili wako itabidi uongeze na waganga,na waganga usiwapunje pesa yao.
Anaitwa JOHN PALLANGYO, ni PARALEGAL sio Wakili wala Mwanasheria.

Paralegal ni kama Kishoka aliyechangamka tu.
 
Huyu wakili wa Bashite ndani ya mahakama Mh Lissu anaweza kumpiga K.O dakika sifuri....hawa ndiwo wasomi wakijani...mwanasheria tahira
 
Huyu wakili wa Bashite ndani ya mahakama Mh Lissu anaweza kumpiga K.O dakika sifuri....hawa ndiwo ...mwanasheria tahira
Nope. Hakuna wakili wa hivyo nchi hii.

Ukiwa kilaza kama huyo jamaa huwezi toboa LAW SCHOOL milele.

Anaitwa JOHN PALLANGYO, ni paralegal, KISHOKA WA SHERIA.
 
I thought is a trained lawyer.... thanks for clarification.
Hapana. Sio mwanasheria huyo.

Hana hata diploma ya sheria.

Huyu ni PARALEGAL, wanaitwaga wasaidizi wa kisheria lakini sio wanasheria wala mawakili.

Kazi yao ni kupanga panga mafaili na diary na kupiga kampeni.
 
Sawa ila sio vema kumdhalisha kumlazimisha in the public domain.
 
Products za shule ya Kata , kingerreza si lazma , kiswahili ni lugha ya kimataifa, wengi mnaomzodoa wakili hapa ni kwasababu hajui kingereza ila kizungu si lazma kujua, kwani wachina wanajua kingereza? Warusi wanajua kingereza?
Alisomea sheria kwa lugha gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…