Sasa ghorofa ya kwanza kuna nini?Chuo kiko ghorofa ya nne
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ghorofa ya kwanza kuna nini?Chuo kiko ghorofa ya nne
Products za shule ya Kata , kingerreza si lazma , kiswahili ni lugha ya kimataifa, wengi mnaomzodoa wakili hapa ni kwasababu hajui kingereza ila kizungu si lazma kujua, kwani wachina wanajua kingereza? Warusi wanajua kingereza?Hapo na Wakili wa Makonda anayetakiwa kuwatetea na wananchi kutokana na dhuluma mbalimbali akisoma hukumu ya kesi nadhani. Huyu bwana ndio angekuwa anahojiwa na makonda angeitwa hajasoma, anaongea vibaya, anabana pua kama anaongea na mke wake, mwishowe amtengeu, ila sababu yuko upande wake kila kitu shwari, na atamtendea vizuri bila ubaguzi.
Haitakiwi kuwa hivi, kuwe na double standard, kila mtu atendewe vizuri bila kumdhalilisha wala kushusha utu wake. Kama ni mzembe au mwizi wa mali umma awajibishwe kwa kufuata taratibu siyo kutumia mihemko na kufanya kiki kwa gharama ya utu wake.
Kwenu Wakuu.
View attachment 3002609
😂😀😅😍Huyo akiwa wakili wako itabidi uongeze na waganga,na waganga usiwapunje pesa yao.
NapeMzumbe wako vizuri sana 😄
Sio wakili huyo, ni PARALEGAL anaitwa JOHN PALLANGYO.Wanasheria wa Tumaini hao
Anaitwa JOHN PALLANGYO, ni PARALEGAL sio Wakili wala Mwanasheria.Huyo akiwa wakili wako itabidi uongeze na waganga,na waganga usiwapunje pesa yao.
Huyu wakili wa Bashite ndani ya mahakama Mh Lissu anaweza kumpiga K.O dakika sifuri....hawa ndiwo wasomi wakijani...mwanasheria tahiraHapo na Wakili wa Makonda anayetakiwa kuwatetea na wananchi kutokana na dhuluma mbalimbali akisoma hukumu ya kesi nadhani. Huyu bwana ndio angekuwa anahojiwa na makonda angeitwa hajasoma, anaongea vibaya, anabana pua kama anaongea na mke wake, mwishowe amtengeu, ila sababu yuko upande wake kila kitu shwari, na atamtendea vizuri bila ubaguzi.
Haitakiwi kuwa hivi, kuwe na double standard, kila mtu atendewe vizuri bila kumdhalilisha wala kushusha utu wake. Kama ni mzembe au mwizi wa mali umma awajibishwe kwa kufuata taratibu siyo kutumia mihemko na kufanya kiki kwa gharama ya utu wake.
Kwenu Wakuu.
View attachment 3002609
GPA ya 5.0 ya DIPLOMA YA PARALEGAL.Af ukute ana GPA kali 😂
Nope. Hakuna wakili wa hivyo nchi hii.Huyu wakili wa Bashite ndani ya mahakama Mh Lissu anaweza kumpiga K.O dakika sifuri....hawa ndiwo ...mwanasheria tahira
Mbona Pascal Mayalla ameshatoboa mkuu?... 😆 😆..just a joke ..I thought is a trained lawyer.... thanks for clarification.Nope. Hakuna wakili wa hivyo nchi hii.
Ukiwa kilaza kama huyo jamaa huwezi toboa LAW SCHOOL milele.
Anaitwa JOHN PALLANGYO, ni paralegal, KISHOKA WA SHERIA.
Tatizo ni lugha za asili ukichanganya na kizungu km UJI uliowekwa Chumvi ya Mawe ukipitisha kijiko unasikia Mawe yanagonga kijiko😃😃😃😃 hicho kizunguu ni cha hatari kwelikweli 😃😃😃😃
Hapana. Sio mwanasheria huyo.I thought is a trained lawyer.... thanks for clarification.
Sawa ila sio vema kumdhalisha kumlazimisha in the public domain.Hapana. Sio mwanasheria huyo.
Hana hata diploma ya sheria.
Huyu ni PARALEGAL, wanaitwaga wasaidizi wa kisheria lakini sio wanasheria wala mawakili.
Kazi yao ni kupanga panga mafaili na diary na kupiga kampeni.
YesSawa ila sio vema kumdhalisha kumlazimisha in the public domain.
Nape kasoma Juzi tu Mzumbe iliyochakachuliwaNape
Sijuwi itakuwa kabila lake ni lipi maana alikuwa anaongea utafikiri anataka kukidondosha chini kizungu.Tatizo ni lugha za asili ukichanganya na kizungu km UJI uliowekwa Chumvi ya Mawe ukipitisha kijiko unasikia Mawe yanagonga kijiko
Alisomea sheria kwa lugha gani?Products za shule ya Kata , kingerreza si lazma , kiswahili ni lugha ya kimataifa, wengi mnaomzodoa wakili hapa ni kwasababu hajui kingereza ila kizungu si lazma kujua, kwani wachina wanajua kingereza? Warusi wanajua kingereza?
Huenda kiswahili, JPM alisisitiza hiloAlisomea sheria kwa lugha gani?