Hizo values unazosema za Kiafrika, ndiyo sababu Afrika masikini moaka leo.
Ndiyo maana nchi ina katiba, lakini mtu mmoja anawaoelekesha kama nchi nzima hamna akili.
Ndiyo maana Magufuli anasema maneno ya aibu, anasema atapiga mpaka shangazi. Halafu bado mnataka kumuheshimu tu.
Kwa akiki hizo za kuheshimu mtu kwa sababu ya ukubwa, bika kujali merit, Afrika itazidi kuwa masikini kwa miaka mingi sana.
Maana wakubwa watakosea kwa bahati mbaya au makusudi.
Halafu watu watapiga makofi.
Wakubwa watakataa kutoa data za wagonjwa wa Covid-19.
Watu watakubali ugonjwa umeisha.
Wakati bado upo.
Kwa sababu, ukisema tofauti na wanavyotaka wakubwa, unakuwa mtoto usiye na heshima.
Halafu, tukiwa masikini kwa ajiki ya ujinga huu wa kuwafanya watu kama miungu, tutajazwa ujinga wa "mabeberu hao".
Na tutaukubali.
Na kuendelea kwenye dimbwi la umasikini.
Wewe unayesema utegemezi wa fikra mpaka keo huna hata maandishi yako ya Kiswahili.
Unatumia herufi za watu, mpaka internet ya watu.
Be real please.
Hii ni dunia ya kuingiliana, si ya ujima huo wa values simple za kuheshimu wakubwa.m tu.
Mkubwa anatakiwa ajiheshimu kiasi kwamba hata ukimvunjia heshima wewe ndiye unaonekana wa ovyo.
Magufuki hajiheshimu. It is natural to caricature him.
Kumfanya Mungu mtu ni ujinga unaozidisha umasikini wa Africa.
Sent using
Jamii Forums mobile app