Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Kwani picha yako ya utotoni ikitaniwa, inakuwa aliyetaniwa si wewe kwa kuwa picha ni ya enzi za zamani?Apo kwenye picha nani ni Rais?
Apo kwenye picha wakati inapigwa nani apo alikua Rais?
Kosa la huyo dogo Idris ni lipi?I tend to differ. America ina values zake. Leta na sisi vitabu vya culture yetu uone kama utakuta kejeli kama hizi. Hii pia inaonyesha kiwango cha utegemezi wa fikra. Africa ina value zake kama kuheshimu wakubwa na kuna sababu za msingi tu pengine ndiyo maana zile ancient empires kama Mali zilikuwa na maendeleo makubwa enzi hizo. Pengine dunia Inge evolve kuwa ya kistaarabu zaidi kama African values ndizo zingeiongoza maendeleo na ustaarabu wa dunia; lakini kwakua hatupendi kufikiri nje ya box, kila tulichowekewa kwenye box na weupe ndicho tunachokiona kinafaa pamoja na kuwa hakina mbadala.
Itoshe kusema China inatuonyesha kuwa kuna mbadala wa fikira ambazo zinaweza kuwa bora kuliko hivi ambavyo tumezoea kulishwa pasipo kutathmini.
Ajifunze kushona suti au kucheka?
Hivi ameshtakiwa kwa kuvunja sheria gani vile?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani picha yako ya utotoni ikitaniwa, inakuwa aliyetaniwa si wewe kwa kuwa picha ni ya enzi za zamani?
Au sijaelewa swali lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo values unazosema za Kiafrika, ndiyo sababu Afrika masikini moaka leo.I tend to differ. America ina values zake. Leta na sisi vitabu vya culture yetu uone kama utakuta kejeli kama hizi. Hii pia inaonyesha kiwango cha utegemezi wa fikra. Africa ina value zake kama kuheshimu wakubwa na kuna sababu za msingi tu pengine ndiyo maana zile ancient empires kama Mali zilikuwa na maendeleo makubwa enzi hizo. Pengine dunia Inge evolve kuwa ya kistaarabu zaidi kama African values ndizo zingeiongoza maendeleo na ustaarabu wa dunia; lakini kwakua hatupendi kufikiri nje ya box, kila tulichowekewa kwenye box na weupe ndicho tunachokiona kinafaa pamoja na kuwa hakina mbadala.
Itoshe kusema China inatuonyesha kuwa kuna mbadala wa fikira ambazo zinaweza kuwa bora kuliko hivi ambavyo tumezoea kulishwa pasipo kutathmini.
Tatizo hawakawii kumzushia kesi ya utakatishaji fedha. Tena isiyo na dhamana. Isiyo na dhamana kinyume na katiba.Kosa la huyo dogo Idris ni lipi?
Ku-juxtapose picha inayosadikika kuwa mmoja wa watu wanaoonekana ni Rais Magufuli na clip ya yeye akionekana kucheka?
Na ‘culture’ yetu uliyoitaja ndo ipi? Hiyo ‘culture’ yetu ndo inayokataza watu kucheka? Inakataza watu kuwa na utani?
Bullshit! Dogo hajatenda kosa lolote lile.
Hiyo picha hata mimi imenichekesha. Sema sina tu muda wa hayo ma Twitter na sipo huko kwenye hayo mamitandao mengine.
Zaidi ya ubabe, ujinga, vitisho, na ushamba, Magufuli na dola yake hawana kesi yoyote ile iwezayo simama kwa merits zake dhidi ya huyo dogo. Wanalazimisha mambo tu.
Hiyo picha, kama kweli huyo anayedhaniwa kuwa ndo yeye aliyetokelezea kwenye hiyo suti, basi inachekesha.
Na si lazima iwe inachekesha kwa watu wote. Kama wewe na Magufuli mnaona haichekeshi, sawa.
Hiyo ni haki yenu. Lakini, hiyo haina maana ya kwamba ndo mminye haki za wengine [akiwemo] Idris, kucheka.
Just as you can’t legislate stupidity. The same goes for humor. You can’t legislate it. You also can’t infringe others from enjoying it, either.
Magufuli [and his ilk] are country bumpkins - chambilecho Kiranga
Na ndo maana wanapoona sasa hakuna Sheria ya kumshitaki nayo wataamua kumfungulia mashitaka ya uhujumu uchumi,na haya ni madhara ya kufukuzana na upepo unapoona haushikiki unaamua kushika kitu chochote na kusema huu ndiyo upepo niliokuwa naufukuza,na hapo utalazimisha watu wote waamini kuwa huo ndiyo upepo.kwa wale ambao hawataamini utawasweka tena ndani kwa sababu mazoea ya kuweka watu ndani kwavile una mamlaka,hujenga Tabia.Kavunja kifungu gani cha sheria hiyo?
Kavuka mpaka gani huo wa uhuru?
Mimi naona kama vile nyote mko ktk hali ya kujikana na kutojikubali wenyewe kama mlivyo..!!
Huyo anayeonekana kwenye picha ni mtu anaitwa John Pombe Magufuli....
Suti hiyo aliyovaa ni ya kwake. Wengine watacheka isivyompendeza + pozi lake la Kichato - Chato. Wengine watampigia makofi na kumpongeza...
What's wrong with that?
Itafika wakati mtaanza hata kukimbia vivuli vyenu wenyewe na pengine hata kujaribu kuvipeleka polisi maana mtakuwa mmemkamata kila mtu...!!
Kufanya kosa sio kosa, kurudia kosa ndio kosa.
Asiefunzwa na *****, ufunzwa na ulimwengu.
We ushaona wahusika awapendi mzaha wa aina yako kumfanyia raisi, umeponea chupu chupu mara ya kwanza unaenda unarudia tena.
Ata kama ni petty issue kwa mtazamo wa wengi (which is) lakini wenye mamlaka awapendi sasa kwanini urudie. Ni vigumu sana kumhurumia mtu kama huyo.
Nani, beberu?Nimeangalia ile sio commedy, alilenga kumdhalilisha Mkuu wa Nchi lazima achunguzwe huwenda kuna mtu anamtumia nyuma ya pazia
Tatizo hawakawii kumzushia kesi ya utakatishaji fedha. Tena isiyo na dhamana. Isiyo na dhamana kinyume na katiba.
Na watu watashangilia!
Wakati hawajui wao wako next katika mstari.
This reminds me of the Nazi era German seminarian Martin Niemoller poem.
Niemöller is perhaps best remembered for the poem.
First they came for the socialists, and I did not speak out—because I was not a socialist.
Then they came for the trade unionists, and I did not speak out— because I was not a trade unionist.
Then they came for the Jews, and I did not speak out—because I was not a Jew.
Then they came for me—and there was no one left to speak for me.
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE=]"Kiranga, post: 35456329, member: 13377"]
Tatizo hawakawii kumzushia kesi ya utakatishaji fedha. Tena isiyo na dhamana. Isiyo na dhamana kinyume na katiba.
Na watu watashangilia!
Wakati hawajui wao wako next katika mstari.
This reminds me of the Nazi era German seminarian Martin Niemoller poem.
Niemöller is perhaps best remembered for the poem.
First they came for the socialists, and I did not speak out—because I was not a socialist.
Then they came for the trade unionists, and I did not speak out— because I was not a trade unionist.
Then they came for the Jews, and I did not speak out—because I was not a Jew.
Then they came for me—and there was no one left to speak for me.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na sifa tunazozipata kama nchi zinatokana na maamuzi ya watu wangapi? hakuna raisi au kiongozi ambaye ataweza kufanya mambo ya kuwaridhisha wananchi wote au mataifa yote.
Huyo mchekeshaji ni mjinga kwa sababu alishawahi kuadhibiwa kwa kosa linalofanana na hili la sasa kwanini asijifunze?
Hongera JPM naipenda Tanzania.
Unaogopa kuchekwa ?,tuchekwe mara ngapi?Tunachekwaje huko nje tunavyoichukulia poa Corona?
Na haya Mambo ya mtu kuicheka picha nayo eti ni kosa.
Kwakweli akili za watu wengi ziko kwenye dustbin la toilet papers za mtu mmoja
Wakili wa mchekeshaji ambaye amepewa Charge sheet ya mtuhumiwa Idris Sultan. Unajua ukishtakiwa unatakiwa uwe na representation kwenye mahakama au wewe hujui hilo wewe mpori mpori? Nimeona ulichoandika siyo kile unachokiamini....bali umeamua kujitoa ufahamu.Kwan
Kwani wakili ndo nani? Pole nadhani umesoma umeelewa nilichoandika. Kama maandishi uyaoni uzuri unaona utumbo badala ya maneno. Tafadhali muone daktari wa macho.
Nani ka kwamba huo mnaouita utajiri ndiyo maana ya utajiri?Hizo values unazosema za Kiafrika, ndiyo sababu Afrika masikini moaka leo.
Ndiyo maana nchi ina katiba, lakini mtu mmoja anawaoelekesha kama nchi nzima hamna akili.
Ndiyo maana Magufuli anasema maneno ya aibu, anasema atapiga mpaka shangazi. Halafu bado mnataka kumuheshimu tu.
Kwa akiki hizo za kuheshimu mtu kwa sababu ya ukubwa, bika kujali merit, Afrika itazidi kuwa masikini kwa miaka mingi sana.
Maana wakubwa watakosea kwa bahati mbaya au makusudi.
Halafu watu watapiga makofi.
Wakubwa watakataa kutoa data za wagonjwa wa Covid-19.
Watu watakubali ugonjwa umeisha.
Wakati bado upo.
Kwa sababu, ukisema tofauti na wanavyotaka wakubwa, unakuwa mtoto usiye na heshima.
Halafu, tukiwa masikini kwa ajiki ya ujinga huu wa kuwafanya watu kama miungu, tutajazwa ujinga wa "mabeberu hao".
Na tutaukubali.
Na kuendelea kwenye dimbwi la umasikini.
Wewe unayesema utegemezi wa fikra mpaka keo huna hata maandishi yako ya Kiswahili.
Unatumia herufi za watu, mpaka internet ya watu.
Be real please.
Hii ni dunia ya kuingiliana, si ya ujima huo wa values simple za kuheshimu wakubwa.m tu.
Mkubwa anatakiwa ajiheshimu kiasi kwamba hata ukimvunjia heshima wewe ndiye unaonekana wa ovyo.
Magufuki hajiheshimu. It is natural to caricature him.
Kumfanya Mungu mtu ni ujinga unaozidisha umasikini wa Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndo imekuwa MO yao.
Wanakukamata. Wanakusweka ndani. Halafu wanakubambikia mashtaka.
Hicho ndicho wanachoweza. Uhalifu wa kweli [kama wa jaribio la kumuua Tundu Lissu] hawana ubavu, weledi, wala uthubutu wa kuufanyia uchunguzi.
Wanaishia kuhangaika na wachekeshaji wa kwenye mitandao wasio na athari zozote zile kwa yeyote yule.
Sema tu kwa vile sisi jamii yetu haiko litigious. La sivyo, huyo dogo angekuwa na kesi moja nzuri sana!
First of all, hiyo picha inachekesha sana, kwa maoni yangu.
Hivi Magu ni mfupi hivyo kweli? Dude in the photo looks like is about 5’2 - 5’4, at the most.
Standing there with his oversized suit...looking too cool 😎 for school and shit😀. That picture is funny as hell.
What’s more offensive, though, is the arrest of the young man and what is alleged to have done.
I don’t think the photo was doctored in any way. He simply just laughed.
Laughing is offensive now? Where they do that at?
Serikali ya Magufuli imekuwa ni serikali ya vitisho kwa watu. Magufuli anatania mpaka wake za watu. Leo yeye can’t take a joke?
Ila, pengine mambo kama haya ndo yanaweza kutufanya tusonge mbele kwenye mambo ya freedom of speech.
Angalia hata Marekani kwa mfano...makundi ya hip-hop kama 2 Live Crew na N.W.A. yalipata misukosuko mingi sana kwenye miaka ya 80 hadi ya 90 dhidi ya maneno yaliyokuwa kwenye nyimbo zao.
2 Live Crew moja ya kesi zake ilifika mpaka US Court of Appeals, 11th Circuit. Hadi kwenye US Supreme Court, kesi ilifika na Uncle Luke na wenzake wakashinda....mambo ya free speech hayo.
Leo hii 2 Live Crew na N.W.A. ni moja pioneers wa hip hop wanaoheshimika.
Magufuli is not a god. He is not above criticism nor below praise. He can be lampooned and caricatured.
His deification should stop.