Wakili Ishabakaki: Idris Sultan anahojiwa kwa kuicheka picha ya Rais

Hawezi maana sasa hivi hatuna tofauti na North Korea!
 
Vipi katuni za masudi kipanya?? Hazina dhihaka kwa mh rais????
 
Acheni siasa, ile ni dhihaka na sio vinginevyo. Tupingane na Rais katika mambo ya msingi ila sio kumdhihaki.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Vipi yule anayemchora kichwa kikiwa kimebonyea na kidevu kimechongoka?
 
Biology kuna kitu nilisoma kinaitwa automatic reflex action...aisee iyo pichwa sema ukioona biology huwa inaaply hapo fasta...kosa la dogo ni kujirekodi na kusambaza ila sio kucheka...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
O
Onyo?
 
Jamani amkeni amkeni ! Kule Tanzania hata kumcheka rais ni kosa la jinai . unaweza kubambikiwa kesi ya uhujumu uchumi
 
Kinachomtesa Idris ni ‘vibwengo’ wa mkulu tu, vinajifanya ku-act mapema kumfurahisha mhusika... wala hakuna kosa la kisheria pale siku mhusika akisema kafurahishwa na sanaa ile vitapiga makofi tena.

Mlivyotufundisha kuwa binadamu alikuwa nyani mbona hatukurusha ngumi, evolution ni halisi na hizo ‘TBT’ ni ukumbusho wa kweli.

Picha zinafurahisha kisha hamtaki tucheke..!!

Don’t be ashamed of your past, binafsi natamani ningekuwa na kumbukizi za enzi hizo... tatizo umaskini na ukosefu wa kamera.
 
Mfano ile picha ikaletwa mahakamani kwenye mwenendo wa kesi watu wengi watazimia kwa vicheko
 
Ila Port naye alizingua sana aiseee, ile siyo suti ya kuvaliwa na mbunge!

Tatizo unaitazama picha kwa jicho la leo, ingawa mkulu hata leo pigo zake ni magumashi ila hii kwa nyakati zao haikuwa kichekezo bali heshima... tunatoka mbali bwashee.
 
Mbona picha hakuunganisha Wala kupost yeye? Watu waliokota clip ya Idriss akicheka wakaunga na picha ya Magufuli wakapost

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…