ndoto nyingine ni za kijeuri na kishirikina sana 🤣Wanachama watawafukuza hao wajumbe kwa mawe wakirudi wilayani. Na mimi ni mmojawapo hili tawi letu tunachangia mpaka kodi za ofisi za jimbo na wilaya!!
nasema hivi akirudi mjumbe wa mkutano mkuu aliyempigia Mbowe tutadeal naye huku chini hatuwezi kubali wahongwe huku wanajua kabisa wanachama hatumtaki Mbowe.
huyo si ni sawa tu na yule Mzee Lwaitama ambae eti wanamuita ni doctor 🐒Kumbe huyu wakili ni kundi moja la wahuni!
Mbowe aliyemshauri kamuharibia heshima yake yoteWakili wa Mahakama kuu ya Tanzania Mhe Jebra Kambole amewaonya wanachadema wanaotaka Freeman Mbowe aendelee na Uenyekiti kwa miaka mingine 25 ijayo waache hayo mawazo.
Wakili Jebra Kambole amesema Jinsi ilivyongumu leo kumnadi Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti hata mara baada ya kumpitisha watakutana na ugumu huo huo kwa Wananchi katika kuwanadi wagombea wote katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 chini ya MBOWE.
Jebra anasema baada ya hayo kila mtu atapita kwenye Mitandao na mitaani kama anaaga maiti yaani haangalii marambili mbili.
View attachment 3186199
Mbowe hata akishinda chadema yake atabakinayo mwenyeweTutakumbuka maneno haya kama Mbowe atashinda. Tutaangalia utasimamia wapi.
Amandla...
Sawa endeleeni na kejeli tu, utapata majibu October 2025!! Tumeshachoka haiwezekani Zitto, Slaa na wangwe ndio wabaya tu miaka yote ila Mbowe ndio yupo sahihi. Sasa hivi hatudanganyikindoto nyingine ni za kijeuri na kishirikina sana 🤣
Fikra za kushindwa uchaguzi ni kitu mbaya sana hasa unapogundua huwezi kuchaguliwa kwa namna yoyote ile 🤣
sasa gentleman,
kurusha mawe kutasaidia nini na wajumbe ni viongozi waandamizi wa chadema kwa miaka mi5 ijayo.
au mtarusha mawe kwa miaka mitano yote?🤣
Mbowe anaweza na ameshaendesha chadema bila kuwa na mbunge, wala diwani. Kwa hiyo msitubabaishe
Hata hivyo,idadi ya mawakili ni ndogo sana,ukilinganisha na wapiga kura!Haahaa mwakani wakati mnatafuta kura za udiwani, ubunge na urais mziombe kwa wanachadema tu...
fanyeni siasa za kistaarabu ndrugu zango,Sawa endeleeni na kejeli tu, utapata majibu October 2025!! Tumeshachoka haiwezekani Zitto, Slaa na wangwe ndio wabaya tu miaka yote ila Mbowe ndio yupo sahihi. Sasa hivi hatudanganyiki
Mkienda naye Singida hakuna shida, mje na vishamba vyenu vya alizeti msumbue mjiniThubutu hana uwezo , mpiga dili sisi wapiga kura kutoka kanda ya kusini na Tabora tunaenda na Lissu
Kwa nini anapigiwa debe na makada wa CCM?Mbowe anaweza na ameshaendesha chadema bila kuwa na mbunge, wala diwani. Kwa hiyo msitubabaishe
Angalia wote waliolike ni makada wa CCM, kwa nini Mbowe anapendwa na CCM ikiwemo Abdul na mama yake?Kumbe huyu wakili ni kundi moja la wahuni!
Kama nani?Kwa nini anapigiwa debe na makada wa CCM?
Ukianza na wa hapa jukwaani jfKama nani?
Sawa tupuuzeni tu, Lissu sio Zitto mkizingua hakuna mwanacham atapiga kura tena.fanyeni siasa za kistaarabu ndrugu zango,
mbona mnafanya kazi kubwa kumpaint Mbowe kama mtu mbaya in favor of Lisu, na matokeo yake mnaishia kupuuzwa na kuchekwa tu 🤣
Kwihala ya Livingstone ndani ndani huko?! 🤣🤣Amekupiga kwenzi la kwenye kipara we mzee wa Kwihala.
Hapo umesema ila hiyo lugha ya Sultani na nyumbu wake haiskisi taswira na Pascal Mayalla muungwana au akaunti imekuwa hacked?Hizo ndizo lugha Sultani na nyumbu wake wanaweza kuelewa, mtaji wa 2025 wanao sijui kwanini hawataki kuutumia?!. Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
P
please forgive me,hizi ni lugha la lossing self control kwa hasira。Nisamehe bure!。Hapo umesema ila hiyo lugha ya Sultani na nyumbu wake haiskisi taswira na Pascal Mayalla muungwana au akaunti imekuwa hacked?
Unajua toka 2012 sijaona lugha ya kifedhuli kutoka kwa Pascal, tuachie siye tuliochanganyikiwa na siasa za Tanzania, nawachukiaga CCM lakini si Pascal Mayalla na uccm wakeplease forgive me,hizi ni lugha la lossing self control kwa hasira。Nisamehe bure!。
P