Wakili Kibatala afungua shauri kutaka Humphrey Polepole afikishwe Mahakamani (Habeas Corpus)

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
‼️🔥BREAKING NEWS‼️
Habeas corpus case filed to demand Humphrey Polepole to be presented in court!

Asante wakili @PKibatala. Huu ndo mwendo sahihi wa kumdai ndugu yetu Polepole!

Madhulmat hamjui kuwa tunawaweka kwenye record ili kimataifa tuhangaike na ninyi vizuri!
@judiciarytz pokeeni na ifanyieni kazi haraka!

#FreePolepole #FreeHumphreyPolepole
20251007_151731.jpg
 
Hivi polisi walipomuita kutoa ushahidi wa madai yake hawa jamaa walisaidia lolote katika hilo?!!! Si ndivyo utawala halali unavyotakiwa au?
 
‼️🔥BREAKING NEWS‼️
Habeas corpus case filed to demand Humphrey Polepole to be presented in court!
Asante wakili @PKibatala
Huu ndo mwendo sahihi wa kumdai ndugu yetu Polepole!
Madhulmat hamjui kuwa tunawaweka kwenye record ili kimataifa tuhangaike na ninyi vizuri!
@judiciarytz pokeeni na ifanyieni kazi haraka!
#FreePolepole #FreeHumphreyPolepole
View attachment 3484967
Unamdai nani ampeleke Polepole mahakamani wakati polisi wanasema hayupo polisi?
 
Kibatala kuna kitu anafahamu ambacho wengi hatukifahamu.

Alifanya hivi hivi wakati Gwajima anatafutwa na police.

Kwakuwa hasemi nasi haimaanishi kwamba hajui, asinge fungua kesi kudai apelekwe mahakamani bila kuwa na ushahidi wa mahala alipo, au walio mteka.
 
Kimsingi serikali ina wajibu wa kulinda usalama wa raia.

Na Polisi walikuwa wanamtafuta Polepole kumuhoji/ kumshitaki.

Hivyo Polisi wana wajibu wa kumtafuta na kumpeleka mahakamani ashitakiwe.

Hata kama hayupo kwao.

Pengine kuna matakwa ya michakato ya kisheria kudai hivi procedurally kuwabana polisi wawajibike.

Nafikiri hiyo ndiyo mantiki ya Kibatala.
 
Kimsingi serikali ina wajibu wa kulinda usalama wa raia.

Na Polisi walikuwa wanamtafuta Polepole kumuhoji/ kumshitaki.

Hivyo Polisi wana wajibu wa kumtafuta na kumpeleka mahakamani ashitakiwe.

Hata kama hayupo kwao.

Nafikiri hiyo ndiyo mantiki ya Kibatala.
Upo sahihi kabisa ila aliemteka anajulikana na ameshatajwa kwa hio polisi waanze na alietajwa kwamba amemteka HP
 
Si ndo hatua hizihizi zilichukuliwa kwa kina Soka ila hazijaleta matunda yoyote? Polisi wamesema na wao wanamsubiri polepole ajitokeze
 
Kimsingi serikali ina wajibu wa kulinda usalama wa raia.

Na Polisi walikuwa wanamtafuta Polepole kumuhoji/ kumshitaki.

Hivyo Polisi wana wajibu wa kumtafuta na kumpeleka mahakamani ashitakiwe.

Hata kama hayupo kwao.

Nafikiri hiyo ndiyo mantiki ya Kibatala.
Hayo yote yanaeleweka, ila Kibatala anafahamu kitu zaidi ya hizi kelele zetu za mitandaoni.

Asingepeleka takwa la kisheria la kutaka apelekwe mahakamani kwa taarifa za kutekwa mitandaoni, na bila kufahamu nani kamteka au yuko wapi, atakuwa anafahamu aliko na waliyenaye.

Nakumbuka alifanya hivi kwa kuiomba serikali imfungulie Gwajima mashitaka kipindi Msando na wenzake walipokuwa wanamtafuta.
 
Kwamba anafahamu kitu zaidi inaweza kuwa kweli au inaweza kuwa si kweli.

Na hata mwanasheria asiyefahamu kitu cha ziada angeweza ku file hii habea corpus motion ili kupata ukweli.

Na kwenye sheria, unachofahamu si muhimu, muhimu ni unachoweza kuthibitisha.
 
Ok sawa ngoja tuendelee kushangaa na kutega masikio tutajulishwa nini kimekuwa nini.
 
Back
Top Bottom