Wakili Kibatala afungua shauri kutaka Humphrey Polepole afikishwe Mahakamani (Habeas Corpus)

Huu ni mtego. Kibatala anataka vyombo husika vitamke rasmi kuwa havijui Polepole alipo for future reference. Siku CCM haiko madarakani wahusika waje wawajibike baada ya uchunguzi kufanyika huko siku za mbeleni.
 
Sasa kwani familia nayo inahitaji Habeas Corpus ya Mahakama?
Familia ni kubwa ndugu, sema siku hizi serikali haitaki viongozi wake waitwe ndugu; hujitenga kwa uheshimiwa wao. Wamuitao Polepole ndugu ni team family.
 
Unamdai nani ampeleke Polepole mahakamani wakati polisi wanasema hayupo polisi?
Mbaya zaidi Polepole kakiri mara kadhaa kua yupo nje ya nchi! Nijuavyo unaweza weka ombi la mtuhumiwa kuketwa mahakamani ikiwa una hakika anashikiliwa na polisi!
 
Familia ni kubwa ndugu, sema siku hizi serikali haitaki viongozi wake waitwe ndugu; hujitenga kwa uheshimiwa wao. Wamuitao Polepole ndugu ni team family.

Hujajibu swali uliloulizwa, unajibu swali ambalo sijauliza.

Sijauliza kama familia ni kubwa au ndogo.

Nimeuliza hivii.

Sasa kwani familia nayo inahitaji Habeas Corpus ya Mahakama?
 
Mbaya zaidi Polepole kakiri mara kadhaa kua yupo nje ya nchi! Nijuavyo unaweza weka ombi la mtuhumiwa kuketwa mahakamani ikiwa una hakika anashikiliwa na polisi!
Polepole was all over the place.

Alishasema pia yuko Pemba.

Alijipiga picha akiwa Dar.

So that is neither here nor there.
 
Hujajibu swali uliloulizwa, unajibu swali ambalo sijauliza.

Sijauliza kama familia ni kubwa au ndogo.

Nimeuliza hivii.

Sasa kwani familia nayo inahitaji Habeas Corpus ya Mahakama?
Nimejibu swali vizuri sana, tatizo hapa ni upeo wa kuelewa. IQ
Mie sina vinasaba na Polepole ila kwa kusimamia yale ninayoyamini huyu kwangu ni ndugu, ni family. Kama sisi tuliowengi tutahitaji hiyo niliu unayoijua kwa lugha za wenzetu
 
Moja ya alama ya watu wajingawajinga ni kukimbilia suala la IQ.

Kasome "Gun, Germs and Steel : The Fates of Human Societies" cha Jared Diamond, a Pulitzer prize Magnum Opus.

Unakijua kitabu? Unamjua Jared Diamond? Unaijua Pulitzer? Unajua Magnum Opus ni nini?

Unajua Kiingereza? (Kitabu hakijatafsiriwa Kiswahili).

Kasome hicho kitabu upate kuelewa kuwa ukiwa katika kundi la wasomi na kuongea mambo ya IQ unaonekana mshamba, mjinga, bado upo kwenye mambo ya zamani.

Nimekuuliza, familia inahitaji Habeas Corpus?

Hujajibu swali unarukaruka tu kama bisi zinazoruka kwenye kikaango.
 
Back
Top Bottom