Wakili Kibatala afungua shauri kutaka Humphrey Polepole afikishwe Mahakamani (Habeas Corpus)

Wakili Kibatala afungua shauri kutaka Humphrey Polepole afikishwe Mahakamani (Habeas Corpus)

REJEA YA KESI KAMA HIZI KTK NCHI ZA COMMONWEALTH, kwa manufaa ya wasomaji wa uzi huu :

TOKA MAKTABA

Mahakama Kuu yaagiza Polisi kuwaachia au kuwafikisha Mahakamani wanaodaiwa kutekwa, pia yaagiza IGP afike Mahakamani leo Desemba 31, 2024​

Mtoa Taarifa​

JF-Expert Member​

Jeshi la Polisi limeagizwa kuwaachia huru au kuwafikisha Mahakamani leo Desemba 31, 2024 Watu 6 wanaodaiwa kutekwa na kushikiliwa na Polisi pamoja na Vyombo vingine vya Usalama kinyume na Sheria.

Jaji Bahati Mwamuyé ametoa amri hiyo (Habeas Corpus) inayotaka Walalamikaji hao kufikishwa Mahakamani kwa lazima leo isipokuwa tu kama Mamlaka zinazowashikilia zitatoa sababu halali ya kuzuiliwa kwao.

****************************

The High Court has ordered the immediate release of six individuals, including Gideon Kibet and Bernard Kavuli, who were allegedly abducted by state authorities.

Issuing the orders, Justice Bahati Mwamuyé also barred their prosecution pending the outcome of a related case filed by the Law Society of Kenya (LSK).

The court’s ruling came after a certificate of urgency was filed by the petitioners, who have claimed that they were unlawfully detained by the police and other security agencies.

The six individuals, who include Kibet, Kavuli, and four others – Peter Muteti, Billy Mwangi, Rony Kiplangat, and Steve Kavingo – are reportedly victims of forced disappearance and illegal detention.

Justice Bahati Mwamuyé granted a Habeas Corpus order requiring that the petitioners be produced in court by 11:00 AM on Tuesday, December 31, 2024, unless the authorities provide a valid reason for their detention.

The court further issued a conservatory order restraining the police and other respondents from charging or prosecuting the petitioners without the High Court’s approval.

The Inspector-General of Police, Douglas Kanja has been personally summoned to court to explain the whereabouts of the petitioners. Kanja, who serves as the first respondent in the case, is also ordered to ensure the petitioners are brought before the court as directed.

"The rights of the petitioners must be protected, and any unlawful action taken by the authorities must be held accountable," Justice Mwamuyé stated in his ruling.

In a further development, the Director-General of the National Transport and Safety Authority (NTSA), George Njao, or a designated officer, is also ordered to appear before the court on January 3, 2025, to provide specific vehicle records related to the case.
CITIZENI DIGITAL
Read more :

Read more :

Law Society of Kenya & 7 others v Inspector General of Police & 8 others; Independent Police Oversight Authority & 9 others (Interested Parties) (Constitutional Petition E714 of 2024) [2025] KEHC 4613 (KLR) (Constitutional and Human Rights) (10 April 2025) (Ruling)​

However, this Court has no hesitation in stating that after considering the various affidavits filed and exchanged in this matter, as well as the written submissions filed and exchanged by the parties, the following findings can be and are made:a.The Applicants and the Interested Parties in support of the Application have failed to satisfy the Court to the required legal standard by discharging their burden of proof that the 7th and 8th Petitioners/Applicants were or are in the custody of the Respondents, jointly or severally; andb.The Applicants and the Interested Parties in support of the Application have failed to satisfy the Court to the required legal standard by discharging their burden of proof that the 7th and 8th Petitioners/Applicants are within the jurisdiction of this Court, and are being illegally detained by a specified or identifiable persons not being the Respondents, with respect to which the Respondents can and should be ordered by this Court to free the 7th and 8th Petitioners/Applicants from that illegal custody and detention by those specified or identifiable persons not being the Respondents, and that the issuance of such a Writ would not be in vain.

Before moving onto the second and final issue for determination, it is important for this Court to stress that the fact that the Petitioners/Applicants have been unsuccessful in terms of the Habeas Corpus aspect of the Notice of Motion Application dated 26/12/2024 does not affect their chances of success in the Petition stage. Most of the issues contained in the Petitioners’ List of Issues dated 24/01/2025 are better determined in the main stage rather than the interlocutory one, which is why the Court has refrained from determining them within this Application. The findings of the Court in respect to Habeas Corpus are limited to that issue, and the Court has deliberately refrained from an analysis of the facts to ensure that all parties in this matter will have a fair hearing and determination of their relative positions in the main stage of this case....
Source :
 
REJEA YA KESI KAMA HIZI KTK NCHI ZA COMMONWEALTH, kwa manufaa ya wasomaji wa uzi huu :

TOKA MAKTABA

Mahakama Kuu yaagiza Polisi kuwaachia au kuwafikisha Mahakamani wanaodaiwa kutekwa, pia yaagiza IGP afike Mahakamani leo Desemba 31, 2024​

Mtoa Taarifa​

JF-Expert Member​

Jeshi la Polisi limeagizwa kuwaachia huru au kuwafikisha Mahakamani leo Desemba 31, 2024 Watu 6 wanaodaiwa kutekwa na kushikiliwa na Polisi pamoja na Vyombo vingine vya Usalama kinyume na Sheria.

Jaji Bahati Mwamuyé ametoa amri hiyo (Habeas Corpus) inayotaka Walalamikaji hao kufikishwa Mahakamani kwa lazima leo isipokuwa tu kama Mamlaka zinazowashikilia zitatoa sababu halali ya kuzuiliwa kwao.

****************************

The High Court has ordered the immediate release of six individuals, including Gideon Kibet and Bernard Kavuli, who were allegedly abducted by state authorities.

Issuing the orders, Justice Bahati Mwamuyé also barred their prosecution pending the outcome of a related case filed by the Law Society of Kenya (LSK).

The court’s ruling came after a certificate of urgency was filed by the petitioners, who have claimed that they were unlawfully detained by the police and other security agencies.

The six individuals, who include Kibet, Kavuli, and four others – Peter Muteti, Billy Mwangi, Rony Kiplangat, and Steve Kavingo – are reportedly victims of forced disappearance and illegal detention.

Justice Bahati Mwamuyé granted a Habeas Corpus order requiring that the petitioners be produced in court by 11:00 AM on Tuesday, December 31, 2024, unless the authorities provide a valid reason for their detention.

The court further issued a conservatory order restraining the police and other respondents from charging or prosecuting the petitioners without the High Court’s approval.

The Inspector-General of Police, Douglas Kanja has been personally summoned to court to explain the whereabouts of the petitioners. Kanja, who serves as the first respondent in the case, is also ordered to ensure the petitioners are brought before the court as directed.

"The rights of the petitioners must be protected, and any unlawful action taken by the authorities must be held accountable," Justice Mwamuyé stated in his ruling.

In a further development, the Director-General of the National Transport and Safety Authority (NTSA), George Njao, or a designated officer, is also ordered to appear before the court on January 3, 2025, to provide specific vehicle records related to the case.

CITIZENI DIGITAL
Mkuu,

Kibatala ana burden of proof ku prove kwamba Polepole yuko mikononi mwa vyombo vya serikali.

Ruling za mahakama za nchi nyingine za Commonwealth ni muongozo mzuri lakini mahakama zetu haziwajibiki kufanya hivyohivyo.

Kwa Tanzania hapa Kibatala atakumbana na kipingamizi cha kuthibitisha kuwa Polepole yuko mikononi mwa vyombo vya serikali.

Akishindwa kuthibitisha Habeas Corpus itashindwa kufanya kazi, ataambiwa a file a missing person report.
 
Nakumbuka ni kweli mahakama zetu ziliwahi kutupilia mbali kesi ya aina hii..

REJEA YA MAAMUZI MAHAKAMA YA TANZANIA

Amri hiyo (Habeas Corpus) inayotaka Walalamikaji hao kufikishwa Mahakamani kwa lazima

9 Julai 2025
Mbeya, Tanzania

KESI YA MDUDE KUPELEKWA NJE, MAHAKAMA YATUPILIA MBALI MASHITAKA YA KUTOONEKANA MDUDE?​

View: https://m.youtube.com/watch?v=dBj-Qhg1qUg

Habari kwa kina :

10 Julai 2025
BALAA JIPYA KESI YA MDUDE KUTUPILIWA MBALI NA MAHAKAMA, WAKILI MWABUKUSI ATANGAZA JAMBO ZITO

Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Mbeya imetupilia mbali shauri namba 14538/2025 ambalo lilifikishwa mahakamani hapo na Sije Emmanuel Mbugi dhidi ya mkuu wa jeshi la polisi Tanzania IGP na wenzake watano kwa kuwa maombi hayo hayana mashiko.

Shauri la msingi lilikuwa linaiomba mahakama kuwaamuru mkuu wa jeshi la polisi Tanzania IGP, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai DCI, kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya, Afisa Mkuu wa Upelelezi wa mkoa wa Mbeya, Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP na Shaaban Charo kumfikisha Mpaluka Said Nyagali mahakamani au kumuachilia huru baada ya kumkamata kuanzia Mei 2 mwaka huu 2025.

Jaji Said Kalunde anayesikiliza shauri hilo ameanza kwa kusoma kwa kiufupi mawasilisho ya pande zote mbili yaliyoletwa mahakamani hapo.

Akihitimisha kutoa maamuzi jaji Said Kalunde amesema maombi ambayo yameletwa mahakamani hapo yanakubalika kisheria na kama kuna sababu ya msingi mahakama inaweza ikaamuru mtu anayeshikiliwa kihalali au isivyo halali ndani ya jamhuri ya muungano wa Tanzania aletwe mahakamani au aachiliwe huru.

Jaji amesema hana mashaka na kiapo cha mleta maombi kwa kuwa alikuwa eneo la tukio na alishuhudia uvamizi huo na kuwaona wavamizi lakini ameshindwa kuthibitisha aliwezaje kuwatambua kama wavamizi ni askari.

Jaji amesema mleta maombi kwenye kiapo chake ameeleza alimfahamu mjibu maombi namba sita kutoka kwa Ezekiel Sheyo lakini hajaeleza kwa kina kama aliambiwa mleta maombi huyo yupoje kwa muonekano.

Jaji ameongeza kwa kusema kuwa kwenye kiapo cha Ezekiel Sheyo ameeleza kuwa alipigiwa mara nyingi na mjibu maombi namba sita akimtaka amuoneshe anakoishi mleta maombi na yeye kuamua kumpigia kiongozi wake Joseph Mwasote maarufu kwa jina la China wa China lakini ametaja namba zake tu na za China wa China bila kutaja namba zilizozotumika na mjibu maombi namba sita akiongeza pia namba alizozitaja hajaainisha zimesajiliwa kwa majina gani ambalo ni kosa kisheria kutumia kadi ya simu isiyosajiliwa.

Jaji amesema ni ngumu mahakama kuamuru mtu aletwe mahakamani bila kuambiwa yupo wapi hivyo wanashindwa wamuamuru au waiamuru taasisi gani imlete mhanga mahakamani au imuachie huru.

Nje ya mahakama wakili upande wa mleta maombi Boniface Mwabukusi amezungumza na wanahabari.Mei 2, 2025 Mpaluka Said Nyagali maarufu kwa jina la Mdude ambaye ni mwanaharakati na mwanachama chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA majira ya saa 08:00 usiku akiwa amelala huko Mtaa wa Ivanga, Kata ya Iwambi Jijini Mbeya watu wasiofahamika waliwavamia baada ya kuvunja mlango na kuingia ndani na kisha kumjeruhi Mpaluka Said Nyagali na kufanikiwa kutoweka na mhanga na kwenda naye kusikojulikana na hadi leo hajapatikana..

View: https://m.youtube.com/watch?v=649moxbMuUo
 
Kwamba anafahamu kitu zaidi inaweza kuwa kweli au inaweza kuwa si kweli.

Na hata mwanasheria asiyefahamu kitu cha ziada angeweza ku file hii habea corpus motion ili kupata ukweli.

Na kwenye sheria, unachofahamu si muhimu, muhimu ni unachoweza kuthibitisha.
Kinacho shangaza mamlaka/ mwenyekiti taifa na mgombea wa URAISI CCM yupo kimya na hazungumzii chochote.

Ivii ikitokea wazirii mkuu, mtoto wa kiume wa rais au kiongozi yeyote mwandamizii akivamiwa kwenye makazi yake JE ? Bado kama rais ataendelea kuwa kimya? Je ni kwanini Tanzania imekua kama ZIMBABWE ya Mugabe ama Uganda ya yoweri museveni?!
 
10 Julai 2025
BALAA JIPYA KESI YA MDUDE KUTUPILIWA MBALI NA MAHAKAMA, WAKILI MWABUKUSI ATANGAZA JAMBO ZITO

Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Mbeya imetupilia mbali shauri namba 14538/2025

REJEA HIZI NI KWA AJILI YA WASOMAJI KUWEZA KUPATA UFAHAMU AINA YA KESI HIZI :

N.B kwa namna yoyote comment / rejea hii siyo kwamba inataka kumwelekeza au ku 'move' jaji anayesikiliza kesi ya Humphrey Polepole

Sije Emmanuel Mbugi vs Inspector General of Police (IGP) and Five Others (Miscellaneous Criminal Application No. 14538 of 2025) [2025] TZHC 3946 (9 July 2025)​

9 July 2025 High Court of Tanzania
Application for habeas corpus dismissed due to lack of evidence linking respondents to the subject's detention.
Criminal procedure – Habeas corpus – Requirements for issuance of habeas corpus – Burden of proof on applicant
Page 1: [...] OF TANZANIA MBEYA SUB-REGISTRY AT MBEYA MISCELLANEOUS CRIMINAL APPLICATION NO. 14538 ... THE ISSUE OF DIRECTIONS IN THE NATURE OF HABEAS CORPUS BETWEEN SIJE EMMANUEL MBUGI [...]
Page 6: [...] EMMANUEL MBUGI; and the other deponed by EZEKIEL SHEYO. ... Hearing on the 30th day of June 2025 at 09:00HRS..

Source : Sije Emmanuel Mbugi vs Inspector General of Police (IGP) and Five Others (Miscellaneous Criminal Application No. 14538 of 2025) [2025] TZHC 3946 (9 July 2025)
 
Kinacho shangaza mamlaka/ mwenyekiti taifa na mgombea wa URAISI CCM yupo kimya na hazungumzii chochote.

Ivii ikitokea wazirii mkuu, mtoto wa kiume wa rais au kiongozi yeyote mwandamizii akivamiwa kwenye makazi yake JE ? Bado kama rais ataendelea kuwa kimya? Je ni kwanini Tanzania imekua kama ZIMBABWE ya Mugabe ama Uganda ya yoweri museveni?!
Haya mi maswali ya kutaka majibu au ni rhetorical tu?

Kweli unashangazwa?
 
Unamdai nani ampeleke Polepole mahakamani wakati polisi wanasema hayupo polisi?
Broo si wataenda kusema mahakamani. Mbona unaharaka sana.

Nani anajukumu la kuhakikisha usalama wa raia na mali zake?
 
Kwamba anafahamu kitu zaidi inaweza kuwa kweli au inaweza kuwa si kweli.

Na hata mwanasheria asiyefahamu kitu cha ziada angeweza ku file hii habea corpus motion ili kupata ukweli.

Na kwenye sheria, unachofahamu si muhimu, muhimu ni unachoweza kuthibitisha.
Moja ya ithibitisho ni kuwa jeshi la polisi limeshindwa kutimiza wajibu wake ikitokea wakashindwa kumpata na kumpeleka HP mahakamani.

Huu ni muendelezo tu wa ushahidi wa incompetency ya polisi.
 
Broo si wataenda kusema mahakamani. Mbona unaharaka sana.

Nani anajukumu la kuhakikisha usalama wa raia na mali zake?
Kama hoja ni haraka sana hata wewe kujadili hii kesi hapa ni haraka sana, ungesubiri mahakama tu.

Mimi najadili mambo kimantiki, hili halihitaji kusubiri mahakama.

Na pengine habari nzima ya "tusubiri mahakama" inaweza kuwa ni censorship, unanizuia nisitumie haki yangu ya kikatiba tu ya kujadili mambo.

Fact 1. Habeas Corpus Tanzania haitekelezeki mpaka mtu awe ndani ya vyombo vya usalama vya kiserikali.

Fact 2. Hakuna chombo chochote cha kiserikali kikichokubali kuwa kinamshikilia Polepole.

Fact 3. Kibatala ana mzigo wa kuthibitisha kuwa Polepole yupo mikononi mwa vyombo vya kiserikali kabla ya Habeas Corpus yake kuweza kutekelezwa.

Hizi tatu hapo juu ni facts tu.

Nimezisema facts.

Sasa tukiondoka kwwnye facts na kwenda kwenye conjecture, ndiyo hapo mnaanza yenu Kibatala kuna mambo anayajua, hivii, vileee.

Mimi nine point out facts tu.

Usilete mihemko ya kunifanyia censorship nisubiri wakati hata wewe hujasubiri.
 
Haya mi maswali ya kutaka majibu au ni rhetorical tu?

Kweli unashangazwa?
Akiwa kama number moja anaitajika kutoa majibu kwa umma au kushinikiza mamlaka husika zipate majibu ya ni nani walio Fanya uvamizi kwenye makazi ya POLEPOLE JE ni police/ mamlaka za serikali au ni majambazi..
Kunyamaza kimya maana yake yupo upande wa uovu..kwa maana hiyo utekaji na udhalimu woteeeeeee una mpa favor na ame ubariki
 
Hivi polisi walipomuita kutoa ushahidi wa madai yake hawa jamaa walisaidia lolote katika hilo?!!! Si ndivyo utawala halali unavyotakiwa au?
Asante sana. Ndio maana hawa mawakili wa bongo mi nawaona wababaishaji na wapotezamuda tu. Ilipaswa wamsaidie afike polisi kwanza. Kimsingi hayo mashauri ya kibatala yangekuwa na nguvu sana kama Polepole angeenda kuripoti na kuwa chini ya polisi.

Ila kwa hapo, kucheza makida na kutafuta attention isiyo na maana yoyote.
 
Akiwa kama number moja anaitajika kutoa majibu kwa umma au kushinikiza mamlaka husika zipate majibu ya ni nani walio Fanya uvamizi kwenye makazi ya POLEPOLE JE ni police/ mamlaka za serikali au ni majambazi..
Kunyamaza kimya maana yake yupo upande wa uovu..kwa maana hiyo utekaji na udhalimu woteeeeeee una mpa favor na ame ubariki
Kwani mpaka leo hujui yuko upande gani bado?
 
Kama hoja ni haraka sana hata wewe kujadili hii kesi hapa ni haraka sana, ungesubiri mahakama tu.

Mimi najadili mambo kimantiki, hili halihitaji kusubiri mahakama.

Na pengine habari nzima ya "tusubiri mahakama" inaweza kuwa ni censorship, unanizuia nisitumie haki yangu ya kikatiba tu ya kujadili mambo.

Fact 1. Habeas Corpus Tanzania haitekelezeki mpaka mtu awe ndani ya vyombo vya usalama vya kiserikali.

Fact 2. Hakuna chombo chochote cha kiserikali kikichokubali kuwa kinamshikilia Polepole.

Fact 3. Kibatala ana mzigo wa kuthibitisha kuwa Polepole yupo mikononi mwa vyombo vya kiserikali kabla ya Habeas Corpus yake kuweza kutekelezwa.

Hizi tatu hapo juu ni facts tu.

Nimezisema facts.

Sasa tukiondoka kwwnye facts na kwenda kwenye conjecture, ndiyo hapo mnaanza yenu Kibatala kuna mambo anayajua, hivii, vileee.

Mimi nine point out facts tu.

Usilete mihemko ya kunifanyia censorship nisubiri wakati hata wewe hujasubiri.
Hata akiwa kwenye hivyo vyombo vya usalama bado hiyo habeas corpus huwa haifanyi kazi inategemea na maelekezo yapoje
Kuna yule kijana wa chadema kule Tanga polisi walisema wanamshikilia lakini zaidi ya miezi miwili waligoma kutekeleza hiyo amri ya mahakama

Hivi karibuni Kuna kijana anaitwa Kiduku na mwingine anaitwa Frida, wamekamatwa wapo central, lakini hakuna cha habeas corpus wala nini, polisi wamegoma kuwapeleka mahakamani.

Itawachukua karne nzima kugundua kuwa Tanzania mahakama haina nguvu?
 
Asante sana. Ndio maana hawa mawakili wa bongo mi nawaona wababaishaji na wapotezamuda tu. Ilipaswa wamsaidie afike polisi kwanza. Kimsingi hayo mashauri ya kibatala yangekuwa na nguvu sana kama Polepole angeenda kuripoti na kuwa chini ya polisi.

Ila kwa hapo, kucheza makida na kutafuta attention isiyo na maana yoyote.
Hata angekua polisi inategemea maelekezo yapoje.
Kina kiduku na Frida wapo central happ, lakini mbona polisi wamegoma kuwapeleka mahakamani.
Wito wa mahakama una nguvu kwa wasio na lolote
 
Hata akiwa kwenye hivyo vyombo vya usalama bado hiyo habeas corpus huwa haifanyi kazi inategemea na maelekezo yapoje
Kuna yule kijana wa chadema kule Tanga polisi walisema wanamshikilia lakini zaidi ya miezi miwili waligoma kutekeleza hiyo amri ya mahakama

Hivi karibuni Kuna kijana anaitwa Kiduku na mwingine anaitwa Frida, wamekamatwa wapo central, lakini hakuna cha habeas corpus wala nini, polisi wamegoma kuwapeleka mahakamani.

Itawachukua karne nzima kugundua kuwa Tanzania mahakama haina nguvu?
Sawa.

Lak9ni mtu akiwa chini ya vyombo vya kiserikali halafu kukawa na writ ya Habeas Corpus, halafu asioneshwe, hapo mwanasheria anaweza hata kwenda kwenye vyombo vya kinataifa kusema serikali ya Tanzania haifuati sheria. Imemshika mtu halafu haitaki kufuata writ ya Habeas Corpus.

Lakoni kwenye kesi hii, hata serikali haijakubali kuwa imemshikikia Polepole.

Kibatala ana kazi ya ku prove kuwa serikali imemshikilia Polepole.
 
Kwani mpaka leo hujui yuko upande gani bado?
Kwenye TAIFA linalo taka UMOJA wa kitaifa na ambalo zamani liliitwa/ likiitwa kisiwa cha AMANI kwa kweriiiii hatendi haki na Wala sio sawa kabisa kabisaaa
 
Sawa.

Lak9ni mtu akiwa chini ya vyombo vya kiserikali halafu kukawa na writ ya Habeas Corpus, halafu asioneshwe, hapo mwanasheria anaweza hata kwenda kwenye vyombo vya kinataifa kusema serikali ya Tanzania haifuati sheria. Imemshika mtu halafu haitaki kufuata writ ya Habeas Corpus.

Lakoni kwenye kesi hii, hata serikali haijakubali kuwa imemshikikia Polepole.

Kibatala ana kazi ya ku prove kuwa serikali imemshikilia Polepole.
Mwanasheria akienda kwenye hivyo vyombo vya kimataifa ndio inakua nini?
Bado mpo usingizini sana
Watu walioaimua kuwa waovu watasikiliza hivyo vyombo vya kimataifa?
 
Mwanasheria akienda kwenye hivyo vyombo vya kimataifa ndio inakua nini?
Bado mpo usingizini sana
Watu walioaimua kuwa waovu watasikiliza hivyo vyombo vya kimataifa?
Hujaelewa hoja.

Hoja si vyombo vya kimataifa vitafanya nini, ingawa vyombo vishafanya mambo kuna wanasiasa mpaka wanajeshi wamewajibishwa tayari.

Kulikuwa na Nuremberg Trials. Kulikuwa na Arusha Tribunal. Kuna ICC. Kitu kama hakijafanyika mpaka leo haina maana kuwa hakiwezi kufanyika daima. There is always a first time.

Hoja ni kwamba bila kuruka kiunzi A hutaweza kufika kiunzi B.

Kwenye sheria kuna mambo ya facts, halafu kuna mambo yanakataliwa kwa sababu ni "argumentative", yani ni nadharia zenye utata bado hazijafikia kuwa facts.

Sasa habari ya Polepole kuwa yupo ndani ya vyombo vya serikali kwa sasa ni hoja "argumentative" haijafikia kuwa established kama fact.

Hata kama ni kweli Polepole yupo mikononi mwa vyombo vya serikali.

Sheria inaenda na kitu kinachoweza kuwa proved, si ukweli tu.

Sasa kabla Kibatala hajathibitisha Polepole yupo mikononi mwa vyombo vya serikali, Habeas Corpus yake iko based kwenye hoja argumentative, si fact.
 
Back
Top Bottom