Wewe msengemsenge angalia unachokiandika na kilichoandikwa usitutoe kwenye madaHivi polisi walipomuita kutoa ushahidi wa madai yake hawa jamaa walisaidia lolote katika hilo?!!! Si ndivyo utawala halali unavyotakiwa au?
Unamdai nani ampeleke Polepole mahakamani wakati polisi wanasema hayupo polisi?‼️🔥BREAKING NEWS‼️
Habeas corpus case filed to demand Humphrey Polepole to be presented in court!
Asante wakili @PKibatala
Huu ndo mwendo sahihi wa kumdai ndugu yetu Polepole!
Madhulmat hamjui kuwa tunawaweka kwenye record ili kimataifa tuhangaike na ninyi vizuri!
@judiciarytz pokeeni na ifanyieni kazi haraka!
#FreePolepole #FreeHumphreyPolepole
View attachment 3484967
Kibatala kuna kitu anafahamu ambacho wengi hatukifahamu.Unamdai nani ampeleke Polepole mahakamani wakati polisi wanasema hayupo polisi?
Kimsingi serikali ina wajibu wa kulinda usalama wa raia.Kibatala kuna kitu anafahamu ambacho wengi hatukifahamu.
Alifanya hivi hivi wakati Gwajima anatafutwa na police.
Kwakuwa hasemi nasi haimaanishi kwamba hajui, asinge fungua kesi kudai apelekwe mahakamani bila kuwa na ushahidi wa mahala alipo, au walio mteka.
MwafweleUnamdai nani ampeleke Polepole mahakamani wakati polisi wanasema hayupo polisi?
Upo sahihi kabisa ila aliemteka anajulikana na ameshatajwa kwa hio polisi waanze na alietajwa kwamba amemteka HPKimsingi serikali ina wajibu wa kulinda usalama wa raia.
Na Polisi walikuwa wanamtafuta Polepole kumuhoji/ kumshitaki.
Hivyo Polisi wana wajibu wa kumtafuta na kumpeleka mahakamani ashitakiwe.
Hata kama hayupo kwao.
Nafikiri hiyo ndiyo mantiki ya Kibatala.
Ndio maana nimemuweka kwenyee ignored content and ignored list@Magonjwa Mtambuka una roho mbaya Sana
Hayo yote yanaeleweka, ila Kibatala anafahamu kitu zaidi ya hizi kelele zetu za mitandaoni.Kimsingi serikali ina wajibu wa kulinda usalama wa raia.
Na Polisi walikuwa wanamtafuta Polepole kumuhoji/ kumshitaki.
Hivyo Polisi wana wajibu wa kumtafuta na kumpeleka mahakamani ashitakiwe.
Hata kama hayupo kwao.
Nafikiri hiyo ndiyo mantiki ya Kibatala.
Kwamba anafahamu kitu zaidi inaweza kuwa kweli au inaweza kuwa si kweli.Hayo yote yanaeleweka, ila Kibatala anafahamu kitu zaidi ya hizi kelele zetu za mitandaoni.
Asingepeleka takwa la kisheria la kutaka apelekwe mahakamani kwa taarifa za kutekwa mitandaoni, na bila kufahamu nani kamteka au yuko wapi, atakuwa anafahamu aliko na waliyenaye.
Nakumbuka alifanya hivi kwa kuiomba serikali imfungulie Gwajima mashitaka kipindi Msando na wenzake walipokuwa wanamtafuta.
Ok sawa ngoja tuendelee kushangaa na kutega masikio tutajulishwa nini kimekuwa nini.Kwamba anafahamu kitu zaidi inaweza kuwa kweli au inaweza kuwa si kweli.
Na hata mwanasheria asiyefahamu kitu cha ziada angeweza ku file hii habea corpus motion ili kupata ukweli.
Na kwenye sheria, unachofahamu si muhimu, muhimu ni unachoweza kuthibitisha.
Tulia fat & juicy asshole wewe, unafanyiwa public fuc*ing nini'?!!!Wewe msengemsenge angalia unachokiandika na kilichoandikwa usitutoe kwenye mada