Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Wakili kama jambo hilo lipo nje ya uwezo wao, then Familia itakuwa huru kutumia other means possibleUnamdai nani ampeleke Polepole mahakamani wakati polisi wanasema hayupo polisi?
Sasa kwani familia nayo inahitaji Habeas Corpus ya Mahakama?Wakili kama jambo hilo lipo nje ya uwezo wao, then Familia itakuwa huru kutumia other means possible
Familia ni kubwa ndugu, sema siku hizi serikali haitaki viongozi wake waitwe ndugu; hujitenga kwa uheshimiwa wao. Wamuitao Polepole ndugu ni team family.Sasa kwani familia nayo inahitaji Habeas Corpus ya Mahakama?
Mbaya zaidi Polepole kakiri mara kadhaa kua yupo nje ya nchi! Nijuavyo unaweza weka ombi la mtuhumiwa kuketwa mahakamani ikiwa una hakika anashikiliwa na polisi!Unamdai nani ampeleke Polepole mahakamani wakati polisi wanasema hayupo polisi?
Familia ni kubwa ndugu, sema siku hizi serikali haitaki viongozi wake waitwe ndugu; hujitenga kwa uheshimiwa wao. Wamuitao Polepole ndugu ni team family.
Polepole was all over the place.Mbaya zaidi Polepole kakiri mara kadhaa kua yupo nje ya nchi! Nijuavyo unaweza weka ombi la mtuhumiwa kuketwa mahakamani ikiwa una hakika anashikiliwa na polisi!
Nimejibu swali vizuri sana, tatizo hapa ni upeo wa kuelewa. IQHujajibu swali uliloulizwa, unajibu swali ambalo sijauliza.
Sijauliza kama familia ni kubwa au ndogo.
Nimeuliza hivii.
Sasa kwani familia nayo inahitaji Habeas Corpus ya Mahakama?
Moja ya alama ya watu wajingawajinga ni kukimbilia suala la IQ.Nimejibu swali vizuri sana, tatizo hapa ni upeo wa kuelewa. IQ
Mie sina vinasaba na Polepole ila kwa kusimamia yale ninayoyamini huyu kwangu ni ndugu, ni family. Kama sisi tuliowengi tutahitaji hiyo niliu unayoijua kwa lugha za wenzetu