Wakili Kibatala: Watakaofika Mahakamani (Mei 19, 2025) wawe watulivu, wasituangushe Mawakili

Furaha ya waTanganyika sio Lissu kuletwa mahakamani na wananchi kuruhusiwa kwenda kusikiliza. Kinachotakiwa Lissu aachiwe awe huru bila masharti yeyote aendelee na maisha yake! Kesi hizo za kimchongo ziondondolewe upesi!!!!!!
Hakuna kitu kinaudhi eti "Jamhuri imesema haina nia ya kuendelea na shauri hili hivyo tunaomba Mahakama yako Tukufu itupilie mbali shauri hili." Unawapotezea watu muda wengine kuumizwa na hata kupoteza maisha kwa mambo ya kipuuzi yanayotendwa na binadamu wenzetu.

Sheria zetu bado ni za kikoloni hadi leo. TLS wanapaswa kuliona hili na kulishughulikia kwani inatoa mwanya kwa Wanasiasa wenye mamlaka kuwaumiza wale wote wasiowapenda.
 
Hapo inabidi wadhibiti mamluki,kuna watu watapandikizwa walete vurugu.
 

Vipi kuhusu suala la HAKI za wale Watu waliouawa au kujeruhiwa na Polisi kwenye kikao Cha Mahakama kilichopita?
 
kwamba kasongo heche afike mahakamani halafu asilete fujo, surely?

si itakua kama hajafika tu mahakamani hali ya kua hua anataka shari tu na hapendi amani?πŸ’

kwamba kasongo heche afike mahakamani halafu asilete fujo, surely?

si itakua kama hajafika tu mahakamani hali ya kua hua anataka shari tu na hapendi amani?πŸ’
Gentleman kwani Heche huwa akienda mahakamani kusikiliza kesi za makamanda anazushaga zogo? Iliwahi kutokea lini na mahakama gani? Naomba unijuze Comrade.
 
Yuko sahihi kutoa tahadhari,kwasababu kuna wakati siasa zinawafanya watu wanakua na mihemko.
 
Ni siku gani Wananchi walileta ghasia mahakamani?!
Tahadhari ya kiusalama sio jambo la historia ni jambo la wajibu kwa mwenye dhamana yakufanya hivyo.Kwasababu ikitokea kuna shida imetokea mtaibuka tena mseme wahusika walikua wapi.Matatizo yanaweza kujitokeza wakati wowote kwahiyo nivyema tukaishi kulingana na tahadhari iliyotelewa ili mambo yaende yalivyokusudiwa.
 
Gentleman kwani Heche huwa akienda mahakamani kusikiliza kesi za makamanda anazushaga zogo? Iliwahi kutokea lini na mahakama gani? Naomba unijuze Comrade.
hakuna haja ya mjadala sana kuhu hilo,
siku itafika utaona na kushuhudia mwenyewe kwamba miongoni mwa waleta fujo watakaotiwa nguvuni siku hiyo ni heche
 
Ni wao wenyewe ndio watatuma uvccm wavae nguo za bavicha ili waje kufanya ghasia wao wenyewe ndio wanaharibu utulivu wa nchi hii ni wao wenyewe ndio wanateka wanapoteza wanaua.

Mchezo wenu unajulikana.
 
Hakuna mtu aliyepanga kwenda kufanya fujo mahakamani.

Zile zilikua ngojera za kina Muliro kumfurahisha chura kiziwi.
heche atakinukisha sikuhiyo wampangie mkutano songea
 
hakuna haja ya mjadala sana kuhu hilo,
siku itafika utaona na kushuhudia mwenyewe kwamba miongoni mwa waleta fujo watakaotiwa nguvuni siku hiyo ni heche
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ wacha tusubirie hiyo tareh nijionee, nimeitunza hii Comrade.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…