Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Suala ni kujulikana ama ni uwezo? Maana hata mjinga anaweza kufahamika kuliko mwerevu.Nani anamjua huyo wakili komba?
Suala ni kujulikana ama ni uwezo? Maana hata mjinga anaweza kufahamika kuliko mwerevu.Nani anamjua huyo wakili komba?
Yaani hizo kejeli mbona zipo sana. Maana kama ni kilaza hata utumie nguvu ni bure. Ukitaka kujua hao mawakili wa serekali ni vilaza, wapeleke kwenye mahakama ambazo hazifuati maelekezo. Hapo kwenye mahakama za simu moja huwezi kupima uwezo wa hao vilaza. Kama huamini, subiri uone kesi zinazoikabili nchi kwenye mahakama za kimataifa apelekwe Katuga, hapo ndio utajua watu hawakosei kusema hao akina Katuga ni vilaza.Wakili Katuga akazie hapohapo. Siku hizi hakuna zile kejeli kuwa Lissu anatoa somo la sheria mahakamani au kusema mawakili wa serikali ni vilaza. Katuga kakomesha.
Haikuwa kesi ya kupima ukweli wa Heche, bali kesi ya uhaini. Yaani imekuwa kama igizo la watoto wadogo. Ccm mmeshusha sana standard ya kupima mambo kwa ubora. Ukisikiliza kesi za Kenya, ndio utajua ni kwa kiwango gani wako juu yetu kwa ubora.Sisi tushajua Heche muongo muongo na mwizi mwizi.
Very Bright analysisKesi ya uhaini zinaongelewa jezi za Arsenal, kadi za trekta na gari, hotel ya milioni 1 Dubai na miamala ya milioni 20 benki tena kwenye account binafsi ya mtu .
Kesi ya uhaini halisi tulitarajia kuona orodha ya wanajeshi , mamluki, location ya depot za mabomu, risasi na bunduki, idadi ya armoured vehicles ramani za ikulu na kambi za jeshi kama vielelezo .
Na sio huo upumbavu wa Katuga na CCM wenzie.
Unamjibu LB7 CCM?Suala ni kujulikana ama ni uwezo? Maana hata mjinga anaweza kufahamika kuliko mwerevu.
Tuongelee kesi iliyopo kwa sasa.Yaani hizo kejeli mbona zipo sana. Maana kama ni kilaza hata utumie nguvu ni bure. Ukitaka kujua hao mawakili wa serekali ni vilaza, wapeleke kwenye mahakama ambazo hazifuati maelekezo. Hapo kwenye mahakama za simu moja huwezi kupima uwezo wa hao vilaza. Kama huamini, subiri uone kesi zinazoikabili nchi kwenye mahakama za kimataifa apelekwe Katuga, hapo ndio utajua watu hawakosei kusema hao akina Katuga ni vilaza.
Lucas MwashambwaView attachment 3671732
Mwanasheria maarufu, Aloyce Komba ametoa maoni yake kuhusu maswali ya dodoso yaliyofanywa na mawakili wa Serikali wakuu, akiwamo Wakili Nassoro Katuga. Haya ndio maelezo yake:
1. Ilidhalilisha taaluma ya sheria kwani ilikusanya maswali mengi ya umbea wa kisiasa na maisha binafsi ya shahidi ambayo hayahusiani na hati ya mashitaka ya uhaini dhidi ya Tundu Lissu.
2. Ilimfanya Heche naye ajibu kisasa na kwa self defence of status.
3. Iliwachosha majaji kuandika vitu ambavyo sijui wataviunganisha vipi na ushahidi wa mashahidi wa awali wa utetezi.
4. Ilionyesha kwamba hata kama ktk cross exam wakili unaweza kuuliza chochote lakini ni muhimu kihusiane na kesi ya msingi au ushahidi wa awali wa shahidi yaani his testimony in examination in chief.
5. Ilikuwa si mfano mzuri wa kufundishia law school au kwa pupillage ya wanafunzi wa uwakili in our law firms.
Nikawakumbuka majaji hawa waliokuwa na tabia ya kutoandika na kufanya vitu vingine iwapo wakili unahoji kwa maswali yasiyoeleweka wakati wa cross exam: Mapigano, J. (Kusoma gazeti), Ndyansobera, J. (Kupanga karatasi na statutes), Rugazia, J. (Kutafuna pen na kuangalia pembeni), Ruhangisa, J. (Kuchora tu cartoon), Mgeta (John), J. (Kujifanya amesinzia).🤣⚖️🤣
Tumsome vizuri yule wakili wa Uingereza (Queen's Counsel) mtunzi wa textbook iliyoandikwa kama notes za kufundishia kiitwacho “A devil's advocate" (Ian Morley) anavyotutahadharisha kuhusu cross examination.
AAK Jnr, SC, Esq.
15th Sept. 2026
Soma pia: Kutoka Mahakamani - 15 Septemba, 2026: John Heche aendelea kutoa ushahidi
Kesi iliyopo sasa huwezi pima weledi wa mawakili wa serekali maana sio mahakama huru. Nimekuambia ukweli wa wapi unaweza kupima uwezo wa hao vilaza. Hata Kenya tu hapo ukiwapeleka hao vilaza utaishia kuona aibu ww.Tuongelee kesi iliyopo kwa sasa.
Hiyo ni kazi ya CCM sio mtumishi wa umma remember wakili wa serikali ni mtumishi wa umma kama watumishi wengine.Ujue majaji wanakua bored na wanaona mawakili hawako serious na kesi.Katuga sio kwamba hajui hilo, ila kwa heche alifanya makusudi ili kumpotezea credibility kwa jamii, cha ajabu, jamii imegoma kufuata drama yake, imeamua kubaki na Heche, ndio maana jana kapanick na kuamua kumaliza haraka cross yake.
Km nyie mawakili mmeona mwenzenu amewadhalilisha, na kuibagaza vibaya taaluma yenu, basi huo ndio ukweli, maana hata sisi layman tulisanukia hilo. Hili bichwa cabbage lina private interest na hii case, sijui limeahidiwa nini hili li wakili uchwara.
Mxxxiiiiieeew.
Wakipata nafasi wanaitumia kama Lissu alivyowahoji mashahidi wa Jamhuri mambo mengi yalikuwa hayana uhusiano wa moja kwa mojaHaikuwa kesi ya kupima ukweli wa Heche, bali kesi ya uhaini. Yaani imekuwa kama igizo la watoto wadogo. Ccm mmeshusha sana standard ya kupima mambo kwa ubora. Ukisikiliza kesi za Kenya, ndio utajua ni kwa kiwango gani wako juu yetu kwa ubora.