Wakili Komba: Maswali ya Wakili wa Serikali Mkuu Katuga, kwa Heche yamedhalilisha taaluma ya sheria

Wakili Katuga akazie hapohapo. Siku hizi hakuna zile kejeli kuwa Lissu anatoa somo la sheria mahakamani au kusema mawakili wa serikali ni vilaza. Katuga kakomesha.
Yaani hizo kejeli mbona zipo sana. Maana kama ni kilaza hata utumie nguvu ni bure. Ukitaka kujua hao mawakili wa serekali ni vilaza, wapeleke kwenye mahakama ambazo hazifuati maelekezo. Hapo kwenye mahakama za simu moja huwezi kupima uwezo wa hao vilaza. Kama huamini, subiri uone kesi zinazoikabili nchi kwenye mahakama za kimataifa apelekwe Katuga, hapo ndio utajua watu hawakosei kusema hao akina Katuga ni vilaza.
 
Sisi tushajua Heche muongo muongo na mwizi mwizi.
Haikuwa kesi ya kupima ukweli wa Heche, bali kesi ya uhaini. Yaani imekuwa kama igizo la watoto wadogo. Ccm mmeshusha sana standard ya kupima mambo kwa ubora. Ukisikiliza kesi za Kenya, ndio utajua ni kwa kiwango gani wako juu yetu kwa ubora.
 
Very Bright analysis
 
Tuongelee kesi iliyopo kwa sasa.
 
Lucas Mwashambwa
 
Huduma nyingi za serikali Huwa dhaifu, udhaifu wa huduma hutokana na watendaji wake kuwa wa kiwango duni ama Cha chini sana, ndio maana ukiwakuta ofisini mambo wanayojadili yanasikitisha sana, umbea umbea, kulogana, kuiba iba mali, uzinzi uzinzi...mambo ya msingi yanakuwa kwa uchache sana
 
Tuongelee kesi iliyopo kwa sasa.
Kesi iliyopo sasa huwezi pima weledi wa mawakili wa serekali maana sio mahakama huru. Nimekuambia ukweli wa wapi unaweza kupima uwezo wa hao vilaza. Hata Kenya tu hapo ukiwapeleka hao vilaza utaishia kuona aibu ww.
 
Hiyo ni kazi ya CCM sio mtumishi wa umma remember wakili wa serikali ni mtumishi wa umma kama watumishi wengine.Ujue majaji wanakua bored na wanaona mawakili hawako serious na kesi.
 
Haikuwa kesi ya kupima ukweli wa Heche, bali kesi ya uhaini. Yaani imekuwa kama igizo la watoto wadogo. Ccm mmeshusha sana standard ya kupima mambo kwa ubora. Ukisikiliza kesi za Kenya, ndio utajua ni kwa kiwango gani wako juu yetu kwa ubora.
Wakipata nafasi wanaitumia kama Lissu alivyowahoji mashahidi wa Jamhuri mambo mengi yalikuwa hayana uhusiano wa moja kwa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…