kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 1,994
- 2,510
naomba unibake mimi dada!!Akamuulize Samsoni alichofanywa na Delila.
Akaamulize Eva alichomfanyia Adam kule Eden.
Akaamuulize Rebeka alichomfanyia baba yake na vikuku au miungu yake.
Hata Mrema alibakwa, na yule tajiri naye.
Sema wanawake hatutaki tu, ila tunaweza kuwabaka.
rapeAkamuulize Samsoni alichofanywa na Delila.
Akaamulize Eva alichomfanyia Adam kule Eden.
Akaamuulize Rebeka alichomfanyia baba yake na vikuku au miungu yake.
Hata Mrema alibakwa, na yule tajiri naye.
Sema wanawake hatutaki tu, ila tunaweza kuwabaka.
Sahihi kwenye tendo kwa mujibu wa sheria ya Bongo.Kubaka kama tendo yupo sahihi.
Kubaka kama dhana hayupo sahihi
Ni mtu kufanyiwa tendo la ngono bila ya hiyari/ ridhaa yake.Wewe unaelewaje neno ubakaji? Tuanzie hapo
Kwahiyo Lutu aliridhia kutembea na mabinti zake? Haupo seriousNakubaliana na huyu wakili yupo sahihi kabisa, kwamba hakuna mwanamke mwenye huo uwezo.
Kwa wasomaji wa Biblia kuna kisa cha Yusufu na mke wa bosi wake mnaelewa fika kilichosababisha Yusufu afungwe gerezani kwa kosa la kusingiziwa 'kutaka kubaka mke wa bosi' na alikwenda gerezani huyo kijana. Soma Mwanzo 39:7-20 kukipata kisa hicho.
Katika kisa hicho mwanamke aliyewaka tamaa ya ngono na kumtamani Yusufu alishindwa kumshawishi kwa ulimi hadi akaamua siku moja kutumia njia mbadala (ubakaji) yaani kumbaka Yusufu na kwa kuwa huyo kijana alijua ni tamaa tu ya huyo mwanamke basi alitoka nduki na kumwacha boxer na kanzu.
Hakika hakuna mwanamke anayeweza kumbaka mwanaume na ikitokea amelala pamoja na kufanya ngono na mwanaume atakuwa hajambaka bali wamenyanduana kwa ridhaa zao wote wawili.
Wakili Getrude apewe maua yake.
View attachment 2873316
Unaelewa kwanza ulichonireply?Ubakaji ni tendo la kumlazimisha mtu kufanya asichohitaji haswa ngono.
Haya tuambie mwanaume hawezi kubakwa?
Tatizo sio wakili cha kwanza! Tatizo ni mwanamke na elimu aliyonayo haijamsadia kujua maana ya neno ubakaji! Light angelikuwa anajua anajua maana ya neno ubakaji asingekuwa anatakiwa maneno yasiyo staha mbele ya public kama hivyoKikubwa kinachozungumziwa katika sheria huwa ni penetration... lazima accused person awe na kifaa kinacho penetrate
Ila naomba nirudie tena huyu msomi alisoma chuo gani?
Anazungumzia vipi ile statement inayosema "a person who do something through another is deemed to do so himself"?
NimekoseaUnaelewa kwanza ulichonireply?
Kwanza atoe maana halisi ya neno UBAKAJI"Hata kwenye Sheria yetu ya Kanuni ya adhabu imeeleza kwamba Mwanamke ni nani?, ili kueleza kwa nini tunasema Mwanaume ndiye anayeweza kubaka na sio Mwanamke, japo siku hizi kuna Kampeni nyingi, Wanaume nao wanasema na wao wanabakwa wasikilizwe, lakini sababu kubwa ndio hiyo kuwa kuna mwenye 'kibakio' na mwenye 'kibakwa' ni hivyo" -Wakili Getrude
"Haiwezekani mwenye 'kibakio' akabakwa kwa sababu kinachotumika kubaka anacho yeye kwahiyo huyo hana, Kwahiyo hawezi kumbaka, naona kama Jamii inatafuta sehemu ya kujifichia" -Wakili Getrude
Wakili Getrude Dyabene kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) amezungumza hayo leo, Jumanne Januari 16.2024 wakati akifanya mahojiano maalumu na Clouds FM kupitia Kipindi cha Power Breakfast
Lutu alinyweshwa mvinyo kisha akili ikahama baadaye hao madem wakacheza naye katika ulevi wake kitu ikasimama dede na mzee akatulia hadi akamwagia ndani.Kwahiyo Lutu aliridhia kutembea na mabinti zake? Haupo serious
Mkuu unaweza kufafanua hasa pale kwenye dhana?Kubaka kama tendo yupo sahihi.
Kubaka kama dhana hayupo sahihi
Mkuu unaweza kufafanua hasa pale kwenye dhana?