Mwaka flani nilisoma habari ya kisa kimoja BBC....!
Ulaya huko kuna Mdada alikua na Salon yake, sasa kuna siku hakukuwa na Wateja sijui alijichanganta vipi akaibiwa mchana kweupe hapo Salon, Simu na vitu vingine, yule Dada alijua yule mwizi atakuja kurudi siku moja, so akaweka mitego yake, siku ya siku Mwizi kaibuka tena Mchana, kumbe yule Dada keshamuona, akaenda kumkamata, wakaanza kushindana, kumbe yule Dada ashawahi kuwa Mcheza Kareti huko nyuma, kampa karateka kadhaa yule mwizi akatulia.
Dada kamfunga kamba akaanza kumuuliza maswali, Mwizi akakiri ni yeye aliyeiba siku kadhaa nyuma, mwizi akaomba aachiwe kwa vile siku hiyo hakufanikiwa kuiba, na kwamba sasa ameomdoa plan yake ya kuwa anakuja kuiba hapo salon.
Dada akamwambia nyanyuka tuondoke, Mwizi akamwomba asimpeleke Police.... Dada akamwambia sikupeleki Police, akampakiza kwenye Gari akampeleka Nyumbani kwake!
Kumbe Dada mwenyewe alikua mshenzi flani, kamnyesha Viagra yule kibaka kwa nguvu, kazi ikawa Kumbaka yule Mwizi, Dada alikua akikalia Dudu ujue kushuka hapo ni Masaa 2, ataenda kuoga, atakula Pombe kidogo, baada ya masaa machache atakuja kukalia Dudu tena masaa 2, kazi ikawa ndo hiyo, kwa siku 3 mfululizo, usiku na mchana....!
Mpaka yule Kaka akawa analia kwamba hatarudia tena....! Baada ya siku 3, Dada akamfungua Kamba Kibaka akamwambia nenda nimekusamehe, Kibaka katoka pale kaenda kufungua kesi Police.....
Dada akaitwa Police, ila akaenda kumkana yule Kaka kwamba hamjui, ni kweli ana Salon ila hajawahi kuibiwa hata siku moja....!!!
Police wakamwachia yule Dada kwa sababu hakukuwa na Ushahidi wa kutosha!