Wakili LHRC: Hakuna Mwanamke anayeweza kumbaka Mwanaume


Unatolea mfano watu waliopewa vipawa maalum na Mungu. Katika mazingira ya kawaida ukiwa rijali tu mwanamke anao uwezo wa kukulazimisha kufanya mapenz bila ridhaa yako unawza ukakaza ila akakuvulia nguo apo hisia zikapanda ukashindwa kujizuia, lakn pia hata mwanamke anaebakwa huwa mgumu mwanzon tu ila hisia zikishapanda mwenyewe anatanua miguu aekwe, kwahyo iyo tuite ni ridhaa yake
 
Kheeeh mbna mabwakuuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu wakili akijua maana ya neno kubaka au kubakwa hatorudia kutoa kauli kama hii. Wakili kama huyu anaweza kusema kuwa mwanamke hana nguvu za kumpiga mwanaume. Hayuko sawa
 
Tatizo sio wakili cha kwanza! Tatizo ni mwanamke na elimu aliyonayo haijamsadia kujua maana ya neno ubakaji! Light angelikuwa anajua anajua maana ya neno ubakaji asingekuwa anatakiwa maneno yasiyo staha mbele ya public kama hivyo
Serious anasemeje kibakio mbele ya kadamnasi
 
Unatolea mfano watu waliopewa vipawa maalum na Mungu
Wapo waliopewa vipawa maalum na Mungu ila inapofikia hatua ya kugegedana kwa hiari vipawa huyeyuka kwa muda, hapo huwa hakuna ubakaji.
Katika mazingira ya kawaida ukiwa rijali tu mwanamke anao uwezo wa kukulazimisha kufanya mapenz bila ridhaa yako unawza ukakaza ila akakuvulia nguo apo hisia zikapanda ukashindwa kujizuia,
Mke wa Potifa alishindwa kumshawishi Yusufu, sio kwamba Yusufu hakuwa rijali bali hakupenda kufanya ujinga, alimvulia hadi nguo na yeye akamvua lakini wapi.

Kibakio kikigoma hakuna ubakaji hapo utakaofaulu.

Kwa mwanamke hata asiposisimliwa ubakaji hufanyika, ila kwa mwanaume haiwezekani kubakwa na mwanamke 😂
 
Hili jambo ni vile tumeumbiwa utambuzi na uelewa ila kwa namna wanyama wafanyavyo ndivyo ilipaswa kuwa na kwetu na ndivyo ilikuwa enzi hizo na jamii ilikuwa salama na yenye maadili. Baada ya mwanamke kutafutiwa usawa taratibu mwanaume anazidi kunyang’anywa iliyo halali yake, wakati kiuhalisia mwanamke kuwa chini ndiyo asili yake miaka na miaka enzi na enzi.

Jinsia ya kiume ndo hiyo inaingizwa kwenye mfumo wa kike kila uchao nao wanaolewa leo hii

Acha niishi kibabe na huyu wangu kuliko kusikiliza huyo anyejiita mwanasheria kwenye maisha yangu ambayo hayamuhusu. Yaani ye akitaka bila ridhaa yangu ye sio mbakaji? Nosensi!
 
Hii sheria ilitungwa na kupitishwa kwa mihemko kama ilivyo sheria ya hifadhi ya wanyama pori, hakukuwa na utafiti wala ushirikishaji wadau ilipelekwa pelekwa tu kishabiki na kisiasa kipindi hicho mkutano wa Beijing umemalizika muda si mrefu.
Hata ukiangalia sitation na interpretation yake inakiuka kabisa matakwa ya sheria kwenye maangalizo yanayoelekeza kwamba " it should not be biase" na "it should be uniform in application"
Lakini interpretation inasema "kubaka kwa mujibu wa sheria hii; ni kitendo cha mwanaume kumuingizia mwanamke utupu ndani ya utupu wake bila ridhaa yake na au kitendo cha mwanaume kumuingizia utupu mtu aliye chini ya umri wa miaka 18 eidha kwa makubaliano au bila makubaliano.

Hapa moja kwa moja tunaona ubaguzi wa jinsia katika sheria hii ambao mpaka leo wanasheria wetu wameufumbia macho badala ya kuifuta sheria hii isiyokidhi sifa za kuwa sheria!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…