Wakili Madeleka: Rais Samia nakusihi, Futa huu Mkataba wa Bandari

Wakili Madeleka: Rais Samia nakusihi, Futa huu Mkataba wa Bandari

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 12, 2023, Wakili Peter Madeleka amesema watu wengi wanaomchukia hawamwambii ukweli Rais Samia zaidi wanaishia kumsifia hata anapokosea. Amesema Rais Samia anatakiwa kukaa na kutafakari kusudi la Mungu wake kumfanya awe Rais kwasababu hakupigiwa kura na Wananchi bali aliwekwa kwa lengo la kuweka mambo sawa.

Akiongelea kuhusu sakata la Mkataba wa Bandari amesema, Rais ana mambo mawili ya kufanya ili akumbukwe na Watanzania mambo ambayo ni kuwapa Katiba Mpya pamoja na kufuta Mkataba
View attachment 2685806

Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Sasa na huyu eti anampa directives Mh.Rais! Ebu kuweni na nidhamu basi....Watanzania tunahitaji maendeleo nasio hizo kelele zisizo na maana
 
Nitafurahi sana iwapo hoja alizozitoa wakili huyu zitajibiwa Kwa facts pia na siyo porojo kwasababu kila jambo alilosema alitaja kifungu.......ili sisi standard 4B tuweze kuelewa na kutoyumbishwa tubalance story Kwa majibu mazuri toka serikalini na siyo kuanza kumtafuta gizani Kijana wakili
 
Hii nayo anaiuza
 
Attachments

  • F705D10D-8C11-4136-AE0F-EC9A96E5E07C.jpeg
    F705D10D-8C11-4136-AE0F-EC9A96E5E07C.jpeg
    145.2 KB · Views: 5
Bas tatizo hapa ni chuki tu ya waarabu ingelikuwa ni wazungu usingesikia mijibwa ikibweka humu
Wazungu walau waliweza kupiga marufuku biashara ya utumwa, sasa hao waarabu wako si ndio waliwafunga minyololo na kuwaswaga babu zetu na kuwauza bila huruma.
Ikumbukwe watumwa waliopelekwa uarabuni kizazi chao kiliisha kwa kuwahasi wanaume mpaka leo hakuna black arabs.
Waliopelekwa Marekani kizazi chao kipo mpaka leo na ndio black Americans.
 
Bado wanabweka tu!!..tulipoamua DP world aje kuwekeza tulifanya hivyo baada ya tafakuri jadidi,hatutayumbishwa na watu wanaomchukia mwarabu,mkataba tutasaini soon
Mikataba mibovu ya siku zilizopita, hamkuwa mnafanya tafakuli jadidi?
 
Mikataba yote aliyosaini Saa100 huko Dubai ina kasoro kubwa.
2. Yeye ni Tatizo na Hanaga aibu yule bibi
3. Majaliwa ni Bomu la machozi ni wa kuondoa
4. Vijana wa Huyu bibi, akina Nape, Riziwani, Makamba, mwigulu, Mbarawa, mwalimu, wote Hawa wanampotosha yule bibi.
5. Wabunge wote wamemsababishia ajali ya kisiasa yule bibi.
 
Naunga mkono hoja ya kuufuta huu mkataba.
 
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 12, 2023, Wakili Peter Madeleka amesema watu wengi wanaomchukia hawamwambii ukweli Rais Samia zaidi wanaishia kumsifia hata anapokosea. Amesema Rais Samia anatakiwa kukaa na kutafakari kusudi la Mungu wake kumfanya awe Rais kwasababu hakupigiwa kura na Wananchi bali aliwekwa kwa lengo la kuweka mambo sawa.

Akiongelea kuhusu sakata la Mkataba wa Bandari amesema, Rais ana mambo mawili ya kufanya ili akumbukwe na Watanzania mambo ambayo ni kuwapa Katiba Mpya pamoja na kufuta Mkataba

Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
 
Bado wanabweka tu!!..tulipoamua DP world aje kuwekeza tulifanya hivyo baada ya tafakuri jadidi,hatutayumbishwa na watu wanaomchukia mwarabu,mkataba tutasaini soon
Mjue mkisha sain neno watanzania limeishia hapo tunakuwa gangsta republic.tutawafitin hadi wakimbie dar
 
Bado wanabweka tu!!..tulipoamua DP world aje kuwekeza tulifanya hivyo baada ya tafakuri jadidi,hatutayumbishwa na watu wanaomchukia mwarabu,mkataba tutasaini soon
Mbona hatukusikia kelele waka netsolution wanaingizwa TANESCO kwanguvu? Mwacheni mama yetu atujengee nchi yetu
 
Back
Top Bottom