passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Nyie ni machawa na watu waliohongwa na hiyo kampuni kutetea maslahi yao.Watanzania!!?..inamaana sisi tulioupitisha na kuunga mkono ni warundi!?..by the way huo siyo mkataba,unapinga kitu hukijui
Wewe unaunga bogi la watu waliolipwa na ticts ambao wamemaliza mkataba bandarini na wakanyimwa mpyaNyie ni machawa na watu waliohongwa na hiyo kampuni kutetea maslahi yao.
Mkataba uko wapi we mbuzi!?Wewe huna elimu, kama ungekuwa na elimu usingeshabikia mkataba wa kihuni namna hii!
Sasa na huyu eti anampa directives Mh.Rais! Ebu kuweni na nidhamu basi....Watanzania tunahitaji maendeleo nasio hizo kelele zisizo na maanaAkizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 12, 2023, Wakili Peter Madeleka amesema watu wengi wanaomchukia hawamwambii ukweli Rais Samia zaidi wanaishia kumsifia hata anapokosea. Amesema Rais Samia anatakiwa kukaa na kutafakari kusudi la Mungu wake kumfanya awe Rais kwasababu hakupigiwa kura na Wananchi bali aliwekwa kwa lengo la kuweka mambo sawa.
Akiongelea kuhusu sakata la Mkataba wa Bandari amesema, Rais ana mambo mawili ya kufanya ili akumbukwe na Watanzania mambo ambayo ni kuwapa Katiba Mpya pamoja na kufuta Mkataba
View attachment 2685806
Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Akili timamu unayo wewe unayepinga mkataba ambao haujaingiwa badoUnaona kabisa umeongea point, na unaweza kujiona una akili timamu maskini ya mungu
Umesema kweli.Sasa na huyu eti anampa directives Mh.Rais! Ebu kuweni na nidhamu basi....Watanzania tunahitaji maendeleo nasio hizo kelele zisizo na maana
Bas tatizo hapa ni chuki tu ya waarabu ingelikuwa ni wazungu usingesikia mijibwa ikibweka humu
Wazungu walau waliweza kupiga marufuku biashara ya utumwa, sasa hao waarabu wako si ndio waliwafunga minyololo na kuwaswaga babu zetu na kuwauza bila huruma.Bas tatizo hapa ni chuki tu ya waarabu ingelikuwa ni wazungu usingesikia mijibwa ikibweka humu
Dadavua vipengele vya mkatabaqBas tatizo hapa ni chuki tu ya waarabu ingelikuwa ni wazungu usingesikia mijibwa ikibweka humu
Mikataba mibovu ya siku zilizopita, hamkuwa mnafanya tafakuli jadidi?Bado wanabweka tu!!..tulipoamua DP world aje kuwekeza tulifanya hivyo baada ya tafakuri jadidi,hatutayumbishwa na watu wanaomchukia mwarabu,mkataba tutasaini soon
Kama upi?Mikataba mibovu ya siku zilizopita, hamkuwa mnafanya tafakuli jadidi?
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 12, 2023, Wakili Peter Madeleka amesema watu wengi wanaomchukia hawamwambii ukweli Rais Samia zaidi wanaishia kumsifia hata anapokosea. Amesema Rais Samia anatakiwa kukaa na kutafakari kusudi la Mungu wake kumfanya awe Rais kwasababu hakupigiwa kura na Wananchi bali aliwekwa kwa lengo la kuweka mambo sawa.
Akiongelea kuhusu sakata la Mkataba wa Bandari amesema, Rais ana mambo mawili ya kufanya ili akumbukwe na Watanzania mambo ambayo ni kuwapa Katiba Mpya pamoja na kufuta Mkataba
Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Mjue mkisha sain neno watanzania limeishia hapo tunakuwa gangsta republic.tutawafitin hadi wakimbie darBado wanabweka tu!!..tulipoamua DP world aje kuwekeza tulifanya hivyo baada ya tafakuri jadidi,hatutayumbishwa na watu wanaomchukia mwarabu,mkataba tutasaini soon
Tatizo sio kuufuta tatizo ni kurudisha kishika uchumbaNaunga mkono hoja ya kuufuta huu mkataba.
Mbona hatukusikia kelele waka netsolution wanaingizwa TANESCO kwanguvu? Mwacheni mama yetu atujengee nchi yetuBado wanabweka tu!!..tulipoamua DP world aje kuwekeza tulifanya hivyo baada ya tafakuri jadidi,hatutayumbishwa na watu wanaomchukia mwarabu,mkataba tutasaini soon