Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,115
- 2,464
Sikupingi lakini nina swali kwako jepesi.Waliofika pale wanatambulika kama wanachama wa CHADEMA nimeona ACT WAZALENDO wametoa tamko lao pia,swali langu ni hili: Ulitaka wakifika pale tuwatambue kama raia wema au wanachama wa vyama husika?ACT na Chadema wanagombania kumtumia Sativa kama karata yao ya siasa, Lol
Matusi!!!! ndo mtake kutoa ROHO ya kijana wa watu kisa mmetukanwa!???Kama vijana wa chadema wana matusi kiasi hicho bhc wameiga kwa viongozi wao
Kikubwa sasa hamna kelele za sukuma gang..........Samia usikubali kuwa shetani wa kike.
Sativa
Nyie Chadema hamna akili, haya mtumieni kwenye kampeni zenuKwa hiyo kumsaidia tu ambaye anahitaji msaada ni dhambi? Hao jamaa walijua wamemaliza kazi sasa wakijua bado yuko hai si wataenda kumaliza kiporo chao? Wacheni roho za kishetani
CCM mmejaa majizi wote pamoja na wewe kwa mtindo wa aina yakeCCM inaingiaje hapo? 🐼
Punguza mbege
Bange punguza Bange kijana matusi ukishakula Bange zako kawatukane ndugu zako na Mama yako aliekuzaa sio kutukana watu mitandaoni watu usiowajua utatukana mpaka MAJINIMatusi!!!! ndo mtake kutoa ROHO ya kijana wa watu kisa mmetukanwa!???
Nyie dawa yenu inachemka ngoja muone
Dah h umeua 😂Labda walienda kutaka kumtupa nje kwa Lema ila wakagundua Lema amesafiri hayupo nchini 🤣
Anahusika Wapi hapo? Wewe utukane Watu mtandaoni ukamsingizie nani? Acheni BangeSamia usikubali kuwa shetani wa kike.
HUENDA KWELIArusha walienda kuripoti kwa mkuu wa kitengo
Kazi imefanya kwa maelekezo kutoka juu.... Hilo halina Ubishi.Get well Soon SATIVA.
Kama lengo lilikua kumpeleka Katavi, njia rahisi ingekua kupita Mbeya au Tabora. Kwanini wazungukie Arusha? Walienda kumfuata nani Arusha?
Je aliyeorganize unyama huo yupo Arusha? Ni nani anaishi Arusha mwenye uzoefu wa kuteka, kutesa na kuua?
Bange mbaya sana hamziwezi acheni sio unakula Bange zako ukimaliza unaanza kutukana watu ovyo mtandaoni nenda kawatukane wazazi wako basi na ndugu zako eeh si ndio wamukukuza kibange BangeKazi imefanya kwa maelekezo kutoka juu.... Hilo halina Ubishi.
Wanasema mtu aliyezoea kula nyama ya mtu haachi.Get well Soon SATIVA.
Kama lengo lilikua kumpeleka Katavi, njia rahisi ingekua kupita Mbeya au Tabora. Kwanini wazungukie Arusha? Walienda kumfuata nani Arusha?
Je aliyeorganize unyama huo yupo Arusha? Ni nani anaishi Arusha mwenye uzoefu wa kuteka, kutesa na kuua?
Mnapata shida sana watu wakimsaidia mtu anayestahili msaada?ACT na Chadema wanagombania kumtumia Sativa kama karata yao ya siasa, Lol
well done,Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Magharibi Wakili msomi Dickson Matata amesema uongozi wa Chadema Kanda na mkoa ukiongozwa na makamu mwenyekiti mh Masanja uko hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia hali ya afya ya Mwakalebela au Sativa ambaye yuko ICU
Matata ametoa Taarifa ukurasani X
CCM ni Chama Cha MataahiraCHADEMA ni chama cha kihuni Sana...badala wadeal na Mambo ya kitaifa wao ni kucheza kila aina ya Ngoma inayopigwa na watawala. Hovyo kabisa.
Sasa je, kuna ubaya?ACT na Chadema wanagombania kumtumia Sativa kama karata yao ya siasa, Lol