Japo mimi ni wakili, ila mimi sio wakili msomi, mimi ni wakili mtangazaji.
Kwa hiyo alichokiandika Mh Jaji ni sahihi au sio sahihi?Japo mimi ni wakili, ila mimi sio wakili msomi, mimi ni wakili mtangazaji.
Katiba yetu iko wazi kabisa kwa teuzi zote za rais, akiletewa majina, akaona wote hawatoshi, ana mamlaka ya kumuongezea muda aliyepo kisha kutafuta wa kutosha. Hili limekuwa likifanyika siku zote na hakuna tatizo lolote!.
P
Je, Umesoma vizuri na kuielewa barua ya Jaji Mugasha???Japo mimi ni wakili, ila mimi sio wakili msomi, mimi ni wakili mtangazaji.
Katiba yetu iko wazi kabisa kwa teuzi zote za rais, akiletewa majina, akaona wote hawatoshi, ana mamlaka ya kumuongezea muda aliyepo kisha kutafuta wa kutosha. Hili limekuwa likifanyika siku zote na hakuna tatizo lolote!.
P
Tusaidie hilo wasilisho.Naamini alikuwa hajasoma wasilisho la Jaji.Jaji amechambua na kutoa hata historia na jinsi ambavyo MaJaji wakuu wengine ilibidi watii.
Wagalatia ndio wameanzisha izo chokochokoKupitia kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa kupitia Clouds FM, Mwanasheria wa kujitegemea Alex Mgongolwa ameeleza kuwa Rais anayo Mamlaka na hajavunja Katiba kwa kumuongezea muda wa kuhudumu Jaji Mkuu wa Tanzania
Msikilize hapa, kisha tujadili nini maoni yako?
wabishane mawakili na majaji sababu ni fani zenu.mara zote huwa nasema shida ya masomo ya art huwa hayana uhalisia kama hesabu ndo maana kuna kona kona nyingi.ingekuwa hesabu tungeenda na facts.Kupitia kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa kupitia Clouds FM, Mwanasheria wa kujitegemea Alex Mgongolwa ameeleza kuwa Rais anayo Mamlaka na hajavunja Katiba kwa kumuongezea muda wa kuhudumu Jaji Mkuu wa Tanzania
Msikilize hapa, kisha tujadili nini maoni yako?
Huo ni uteuzi wa Jaji wa Mahakama ya Rufani (JR), siyo uteuzi wa Jaji Mkuu (CJ). Usichanganye haya mambo mawili kwani JR na CJ ni vitu viwili tofauti.Nasindikiza na sehemu ya ibara.View attachment 2671841
Ni kifungu cha katiba kinachompa Rais ya kumuongezea muda Jaji Mkuu?Japo mimi ni wakili, ila mimi sio wakili msomi, mimi ni wakili mtangazaji.
Katiba yetu iko wazi kabisa kwa teuzi zote za rais, akiletewa majina, akaona wote hawatoshi, ana mamlaka ya kumuongezea muda aliyepo kisha kutafuta wa kutosha. Hili limekuwa likifanyika siku zote na hakuna tatizo lolote!.
P
Absolutely, watu wa aina hii huwa ni 'Penetrating Officer au Sleeper Agents ambao wanatumwa kwa specific mission ya ku-disrupt mijadala-pevu kama hii ambayo ni mwiba kwa 'wahusika" ili kumpa 'ahueni/nafuu' sponsa wao.Wakili uchwara 🤣🤣
ila hapa msomi kajielekeza vibaya, ibara nukuliwa inazungumzia jaji wa mahakama ya rufaa, na sio jaji mkuu. kumbuka Profesa Juma ana nafasi mbili; yaani ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa na Jaji Mkuu. Katiba imeweka ukomo wa Jaji Mkuu, na Umeacha upenyo wa Jaji wa Mahakama ya Rufaa,Kupitia kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa kupitia Clouds FM, Mwanasheria wa kujitegemea Alex Mgongolwa ameeleza kuwa Rais anayo Mamlaka na hajavunja Katiba kwa kumuongezea muda wa kuhudumu Jaji Mkuu wa Tanzania
Msikilize hapa, kisha tujadili nini maoni yako?
Pia soma > Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu, Rais Samia anavunja Katiba ya JMT?
--
Mwanasheria wa kujitegemea Alex Mgongolwa ambaye amekuja kutuweka sawa kuhusu nafasi na uwezo wa Mhe Rais katika kumuongezea muda Jaji Mkuu, ikiwa ni baada ya sintofahamu iliyoibuka ikihoji kuhusu kupitiliza kwa muda wa utumishi wa Jaji Mkuu! Katiba inasemaje!?