Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu The Boss , kuna vitu vya ajabu ajabu sana vinafanywa na serikali yetu, Bunge letu na Mahakama yetu, mtu ukivisema utaonekana kama una beza!.Pascal..hapa wala ishu sio katiba..
Ishu hapa..ni watu kujipanga kumpinga Rais...na wewe kama unawa safisha...au na wewe unajua kitu ambacho Wengi hatukijui??
Jaji Mkuu ni Jaji Rufani. Rais anayo mamlaka ya kumuongezea muda Jaji Rufani.
Kuna baadhi ya maofisa wanaitwa constitution officers, Rais, Spika, CJ, CAG, Chair wa NEC, Chair wa Tume ya Maadili na Msajili wa Vyama. Katiba imewawekea Bar kuwa wakiishafika umri wa kustaafu, hawaruhusiwi kuteuliwa nafasi zozote za kiutendaji!.
Hivyo japo CJ ni JR, lakini baada ya JR kuwa CJ, anapoteza ile privilege ya kuteuliwa after 65 ile bar inamhusu!.
Hakuna mtu yoyote anayejipanga kumpinga Rais, ila tusiruhusu rais wetu akiuke katiba kwa kisingizio chochote.
P