Mkuu
ras jeff kapita , kwa mujibu wa katiba ya JMT, rais wa JMT ni an executive president, anaruhusiwa kushauriwa lakini kwenye kufikia maamuzi, anafikia maamuzi yeye kama yeye, bila kuwajibika kufuata ushauri wa yeyote!.
Maamuzi pekee ambayo rais wa JMT ni lazima ayafuate ni Azimio la Bunge, na kuwasilisha ripoti ya CAG Bungeni.
Na kwenye uteuzi, rais atapokea majina pendekezwa kutoka mamlaka ya ushauri ili kuteua, akiwaona wote walioletwa hawatoshi, anamuongezea muda aliyepo na kutafuta mwingine!. Nyerere alifanya, Mwinyi alifanya, Mkapa alifanya, JK alifanya, JPM alifanya, na sasa Mama Samia anafanya!.
P