jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Kwani nani anamteuwa CJ!? Kama ni Rais,Basi naamini pia mamlaka ya kumuongezea muda anayo pia!!Ila sio Jaji Mkuu acha kugeneralize
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nani anamteuwa CJ!? Kama ni Rais,Basi naamini pia mamlaka ya kumuongezea muda anayo pia!!Ila sio Jaji Mkuu acha kugeneralize
Awamu ya tano ndiyo iliyosimika upuuzi huo wa kutengeneza watu maarufu wa kutetea upuuzi wa watawala. Mifano michache inafaa. Uteuzi wa Katibu wa Bunge ulipolalamikiwa kuwa unavunja sheria Mzee Msekwa alikwenda kuchukuliwa kuja kutetea kuwa sheria haijavunjwa kwa kutumia uzoefu wa kipindi chake cha Uspika! Makanisa yalipokosoa mwenendo wa uongozi wa nchi, msomi mmoja mhadhiri wa chuo kikuu alitumika kuandika barua ya kujibu na kukosoa mamlaka ya kanisa lake kwa kitendo hicho.Huo ni uteuzi wa Jaji wa Mahakama ya Rufani (JR), siyo uteuzi wa Jaji Mkuu (CJ). Usichanganye haya mambo mawili kwani JR na CJ ni vitu viwili tofauti.
Rejea kusoma tena vizuri na kwa kina barua ya Jaji Mugasha, barua ya AG aliyonukuu Jaji Mugasha, Katiba ya nchi pamoja na Sheria, Kanuni na Miongozo mbalimbali inayohusika na suala hili. Usikurupuke.
"No research no right to speak".
Kupitia kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa kupitia Clouds FM, Mwanasheria wa kujitegemea Alex Mgongolwa ameeleza kuwa Rais anayo Mamlaka na hajavunja Katiba kwa kumuongezea muda wa kuhudumu Jaji Mkuu wa Tanzania
Msikilize hapa, kisha tujadili nini maoni yako?
Pia soma > Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu, Rais Samia anavunja Katiba ya JMT?
--
Mwanasheria wa kujitegemea Alex Mgongolwa ambaye amekuja kutuweka sawa kuhusu nafasi na uwezo wa Mhe Rais katika kumuongezea muda Jaji Mkuu, ikiwa ni baada ya sintofahamu iliyoibuka ikihoji kuhusu kupitiliza kwa muda wa utumishi wa Jaji Mkuu! Katiba inasemaje!?
Tatizo Mawakili wakiishasikia zimwi limeingia nchini basi hata Mawakili uchwara wanatafuta kiki humo humo.Huyu wakili anabembeleza teuzi, ndiye aliwadanganya yanga watashinda kesi dhidi ya Morison CAS lakini wakaangukia pua.
Aendelee hukohuko TFF lakini akija mahakamani atabwagwa vibaya.
Kwahiyo viongozi wote ataowaapisha kuanzia sasa ni viongozi batili siyo?Kwa Sisi tuliokimbia shule tumeelewa hivi ,huyu jaji atakaa ofisini lakini majukumu yake yameshapita kifupi Hana kazi za kufanya ,utashi wake umwambie hivi Mimi nitamwapisha Nani wakati sina kazi!!!Tafsiri ya haraka ilikuondoa mgongano wa muhimili wake ni vizuri aondoke Kwa busara ,ibara zote zina mkataa angalia haya maneno(ATALAZIMIKA) Mzee Juma achia ngazi ukalee wajukuu
Umechemka mkuu..Pole.Nasindikiza na sehemu ya ibara.View attachment 2671841
Kupitia kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa kupitia Clouds FM, Mwanasheria wa kujitegemea Alex Mgongolwa ameeleza kuwa Rais anayo Mamlaka na hajavunja Katiba kwa kumuongezea muda wa kuhudumu Jaji Mkuu wa Tanzania
Msikilize hapa, kisha tujadili nini maoni yako?
Pia soma > Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu, Rais Samia anavunja Katiba ya JMT?
--
Mwanasheria wa kujitegemea Alex Mgongolwa ambaye amekuja kutuweka sawa kuhusu nafasi na uwezo wa Mhe Rais katika kumuongezea muda Jaji Mkuu, ikiwa ni baada ya sintofahamu iliyoibuka ikihoji kuhusu kupitiliza kwa muda wa utumishi wa Jaji Mkuu! Katiba inasemaje!?
Nimekuuliza Majaji hawana ukomo?Ukomo wa CJ upo kikatiba hawezi kuongeza muda wa CJ wa sasa
Jaji mkuu yy mwenyewe hajui hayo?Jamani! Ungesoma barua ya jaji kwa umakini usingeuliza, ni kama unajadili jambo ambalo hujalisoma vizuri, utaishia kuleta ubishi tu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kwahiyo kuendelea kuwa JAJI anaruhusiwa ila KUWA JAJI MKUU HARUHUSIWI KISA UMRI?Katiba inasema "...Jaji wa mahakama ya rufani aliyetimiza umri wa miaka 65.....".
Hapa katiba haisemi "......Jaji mkuu aliyetimiza umri wa miaka 65...". Na tumbukeni kuwa "u - Jaji mkuu" ni cheo cha madaraka.!!
NB:
Ni kweli Prof. Ibrahim Juma ni Jaji wa mahakama ya rufani lakini alikuwa na madaraka ya "u - Jaji Mkuu wa Tanzania"...
Kwa hili katiba iko very clear, yaani anapaswa kustaafu na kuacha madaraka ya "ujaji mkuu" with immediate effect ili mwingine ashike madaraka hayo...
Baada ya hapo kama Rais anataka, kumwongezea muda zaidi ili aendelee kuwa "Jaji wa mahakama ya rufani " tu, anaweza kufanya hivyo!!
Wana ukomo but Raisi anaweza kuwaongezea muda wa utumishi. Isipokuwa CJNimekuuliza Majaji hawana ukomo?
Hahahaa..nilijua tu, ubongo ukiwa wazi lazima vya kuujaza vijijie tu. UNGESOMA ungeelewa...!Jaji mkuu yy mwenyewe hajui hayo?
Nimeuliza hapo kwahiyo anaruhusiwa kuendelea kuwa JAJI ila haruhusiwi kuwa JAJI MKUU??W
Wana ukomo but Raisi anaweza kuwaongezea muda wa utumishi. Isipokuwa CJ
Absolutely, Yes..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kwahiyo kuendelea kuwa JAJI anaruhusiwa ila KUWA JAJI MKUU HARUHUSIWI KISA UMRI?
Wapi wamesema ISIPOKUWA JAJI MKUU? unacho hiko kifungu ambacho kinasema JAJI MKUU HARUHUSIWI KUONGEZEWA MUDA?W
Wana ukomo but Raisi anaweza kuwaongezea muda wa utumishi. Isipokuwa CJ
Ccm irekebishe katiba ili RAIS ARUHUSIWE KUJIONGEA MUDAKupitia kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa kupitia Clouds FM, Mwanasheria wa kujitegemea Alex Mgongolwa ameeleza kuwa Rais anayo Mamlaka na hajavunja Katiba kwa kumuongezea muda wa kuhudumu Jaji Mkuu wa Tanzania