John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Uko sahihi, afadhali kidogo wewe umejishughulisha ktk kusumbua akili yako na kutafiti kidogo juu ya suala hili.ila hapa msomi kajielekeza vibaya, ibara nukuliwa inazungumzia jaji wa mahakama ya rufaa, na sio jaji mkuu. kumbuka Profesa Juma ana nafasi mbili; yaani ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa na Jaji Mkuu. Katiba imeweka ukomo wa Jaji Mkuu, na Umeacha upenyo wa Jaji wa Mahakama ya Rufaa,
hivyo Rais kwa Mujibu wa Katiba ibara 120 (3) imempa mamlaka ya kuongeza muda wa jaji wa mahakama ya rufaa, na si jaji wa mahakama kuu.
kwa hiyo Rais anawajibika kuteua Jaji Mkuu, kwa mjibu wa katiba na endapo anaitaji huduma ya Profesa Juma kama Jaji wa Mahakama ya Rufaa, basi anaweza kumwongezea Muda wa kuhudumu katika nafasi hiyo na si kama jaji muda
Wakili Mgongolwa AMEPOTOKA kuhusu suala hili, na bado anataka kuwapotosha watu wengine kuhusu upotofu wake.