Wakili Mkuu wa Serikali Boniface Luhende Hana Sifa ya Kusimama Mahakamani

Halafu wakili mkuu ni nani?
Wakili mkuu wa serikali - Ali Possi.

Mwanasheria Mkuu wa serikali - Hamza Johari.

Tuondokane na zile mentality kwamba AG anaenda moja kwa moja mahakamani, hiyo ni kazi ya Possi.

AG ni mshauri wa rais masuala yote ya sheria. Msiba wa Rais hautangazwi kwanza bila ya AG kushauriana na makamu pamoja na waziri mkuu.
 
Sawa. Unaweza kutusaidia kujua ni kwa nini wakili mkuu ametenguliwa?
 
Nimesoma mtiririko wa hoja zako kuanzia mwanzo, ulipofika hapa nikajua kabisa wewe si mwanasheria, na kama u mwanasheria, basi ni kanjanja tu.
Umetaka hoja, umepewa, umekimbilia habari za Mungu. Hopeless kabisa!
Huyu Yesu Anakuja kumbe ni shetani anakuja. Anatetea mediocrity
 
Hawa mawakili wa serekali mi kama mapolisi barabarani, wao wakiendesha magari yao barabarani Bila kufuata Sheria za barabarani, hakuna shida. Karibu wewe uone utadhani Sheria zile zimeweka category ya mapolisi na wasio-mapolisi!!!!.... Nchi yetu viongozi kuvunja katiba au Sheria siyo tatizo
 
Hii ni aibu kwa Serikali ya Rais Samia na ni aibu pia kwa Mhimili wa Mahakama kuacha mtu asiye na sifa aingie Mahakamani na kujiita Wakili📌🔨
 
Hujui usemacho!!!
 
Nadhani tatizo ni wewe huelewi tofauti ya wakili wa serikali na wa kujitegemea, uwe unaomba upewe elimu siyo kuleta ujuaji kwa vitu ambavyo huvijui
 
Halafu mbona ni kama U18
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…