TANZIA Wakili msomi Judith Mushumbusi hatunae tena

Unless otherwise alikuwa na tatizo jingine,kwa age yake hiyo,sidhani kama amekufa kwa Korona!
Victims wa Ugonjwa huo wengi ni wazee.
 
HAO MAMA NTILIE WAKIFA UTAJUAJE HUMU WAKATI MNAPOSTI KWA STATUS?
 
OOOH!
Poleni sana , yaani such a young girl.
Poleni na RIP Judith.
 
Wapo kwenye jalala wanatafuta njia ya kutokea
 
Ina enda na umri mkubwa au watu wenye magonjwa yasiyo ambukiza
 
....Kama hujaumizwa na Korona shukuru Mungu, na jiepushe kutoa matamko yatakayowaumiza walioumizwa na Korona.
***Nimekisoma vizuri sana mkuu, pole.
 
Corona ipo ila tusiiwatie watu hofu

Note tujikinge Corona ipo ila sio kwa ukubwa unaozungumzwa
Unahitaji ukubwa gani ndo ujue ni kubwa? Subiri ufiwe na ndugu ndo utajua ukubwa wake.
 
Ukipata kusimuliwa na mtu aliyepata huyu mdudu mpya namna hali anayopitia, sidhani kama utaichukulia poa hii makitu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…