Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Poleni Sana Wafiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumuombee ili MUNGU muweza wa yote aweze kumponya huyo Ndugu yetu.Kule hospital ya wilaya ya Hai, kilimanjaro kuna kiongozi wa CCM Yuko kwenye Hali mbaya sana
HAO MAMA NTILIE WAKIFA UTAJUAJE HUMU WAKATI MNAPOSTI KWA STATUS?Watanzania fanyeni mazoezi, mwili unatakiwa uchangamshe.
Jitahidini hata utembee km 2 kwa siku.
Huu ugonjwa hauna madhara kwa watu wanaoushughulisha mwili.
Mbona mama ntilie, machinga, wapiga debe, mafundi ujenzi, wanamichezo, dereva bajaji na bodaboda hawafi?
Sababu miili yao haikai kizembe kama hawa wanaokaa kwenye viyoyozi ofisini.
Note:
Tangu Corona ianze hakuna mwanamichezo duniani aliyefariki.
Wanaupata ila hauwadhuru
OOOH!R.I.P Wakili Msomi Judith Mushumbusi
Raha ya milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani tukaonane tena katika asubuhi ile iliyo njema na Kuu.
NOTE: Tuendelee kujikinga na Corona! Maisha sio mali ya serikali unayoishabikia, sio mali ya Kanisa unaloabudu, sio mali ya Kiongozi wako wa kidini wala sio mali ya chama chako. Maisha ni mali yako!
Niwarai tu tena kwamba kama hujaumizwa na Corona basi mshukuru Mungu jiepushe kutoa matamko yanayowaumiza walioumizwa na Corona.
View attachment 1700061
Bakari MwapachuDu. Naomba hint kidogo kuhusu huyu mstaafu. Ila Bongo noma. Watu wanakufa wengi sana lakini hakuna wa kuthubutu kusema lolote.
Hoja yao ni kwamba eti ametumia headed paper yenye nembo ya Chuo/Serikali na hakuonyesha takwimu kuback up tamko lake. Kwamba angelitoa lile tamko kama individual na sio kutumia mgongo wa chuo
Lakini hii haiondoi ukweli kwamba jumuiya ya wasomi hawa ni wachumia tumbo na wasaka tonge tu.
Ila sura bint mwili jimamaAmekwenda na utamu wake!!
R.I.P Dada wakili.
Aina mpya ya corona toka South Africa.Ipo pia ya Kenya inatokana na ngamia zote hizo ni mwendo Kasi zinaua haraka sana. RIP. Judith 🙏Kaburu mpya ndo kitu gani ndugu yangu
Ina enda na umri mkubwa au watu wenye magonjwa yasiyo ambukizaWatanzania fanyeni mazoezi, mwili unatakiwa uchangamshe.
Jitahidini hata utembee km 2 kwa siku.
Huu ugonjwa hauna madhara kwa watu wanaoushughulisha mwili.
Mbona mama ntilie, machinga, wapiga debe, mafundi ujenzi, wanamichezo, dereva bajaji na bodaboda hawafi?
Sababu miili yao haikai kizembe kama hawa wanaokaa kwenye viyoyozi ofisini.
Note:
Tangu Corona ianze hakuna mwanamichezo duniani aliyefariki.
Wanaupata ila hauwadhuru
....Kama hujaumizwa na Korona shukuru Mungu, na jiepushe kutoa matamko yatakayowaumiza walioumizwa na Korona.R.I.P Wakili Msomi Judith Mushumbusi
Raha ya milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani tukaonane tena katika asubuhi ile iliyo njema na Kuu.
NOTE: Tuendelee kujikinga na Corona! Maisha sio mali ya serikali unayoishabikia, sio mali ya Kanisa unaloabudu, sio mali ya Kiongozi wako wa kidini wala sio mali ya chama chako. Maisha ni mali yako!
Niwarai tu tena kwamba kama hujaumizwa na Corona basi mshukuru Mungu jiepushe kutoa matamko yanayowaumiza walioumizwa na Corona.
View attachment 1700061
Akikufikia au wapendwa wako utamfahamu vyema.Kaburu mpya ndo kitu gani ndugu yangu
Unahitaji ukubwa gani ndo ujue ni kubwa? Subiri ufiwe na ndugu ndo utajua ukubwa wake.Corona ipo ila tusiiwatie watu hofu
Note tujikinge Corona ipo ila sio kwa ukubwa unaozungumzwa
Sahihi.Habari za kifo zichukulie kwa uzito wake usifanye mizaha
Hujalazimishwa kuamini, wewe subiri evidence toka kwa wanaoamini Korona haipo Tanzania.Kuna evidence kuwa kafariki kwa Covid??[emoji2369][emoji2369]
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Unasema!!!Alafu wanaondoka wale wale wanao ficha ukweli