Wakili msomi Peter Kibatala: Wasifu (CV) wake na historia yake katika kuendesha kesi

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,045
Reaction score
3,389
Wakuu,

Ni kuhusu huyu wanayemwita wakili msomi.. Yaani Peter Kibatala. Kila siku nasikia Kibatala, Kibatala. Tujuzane wakuu.

CV yake

Kashinda kesi ngapi?

Kashindwa kesi ngapi?

Tujuzane tumjue huyu wakili anayeitwa msomi

======

 
Ukitaka ya Peter (wangoni wanaita peteri) basi tuletee ya msomi wa Lumumba "Godwin Kunambi" aliyekua mwanasheria wa CCm na sasa analinda interest za mzee kipara Dodoma kama DED! hivi kuna kesi aliwahi shinda?? jamaa level zake kama Monday likwepa rais wa bao!
 
Kijana mdogo tu ambaye anaipenda kazi Yake ukipata kumuona mda anaifanya Kazi yake utapata kujua kijana anajua anachokifanya habatishi

Nadhani hata aliosoma nao shule wanaweza kuwa mashuhuda kuwa inaonekana hata shule uko alikuwa anafanyae vizuri sababu anajiamini sana na anapenda anachokifanya
 
Mm na Lumumba wapi na wapi mkuu
 
Maswal ya kitoto yale? Uliona yule Shahid alivyojichanganya na maswali yale yale usemayo ni ya kitoto?
 
Lengo la cross examination ni kumfanya shahidi aonekane si mkweli ili hakimu au jaji na wazee wa baraza wautlie shaka ushahidi anaotoa.
Baada ya maswali ya Kibatala juzi wewe bado unaona kuwa yule fundi washi anaaminika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…