Augustine Genius
JF-Expert Member
- Apr 14, 2016
- 1,216
- 1,486
Kwanza anapaswa aelewe kuwa Neymar hakuwalipa Barca gharama za pesa walizomsaini bali aliwalipa Barca pesa kulingana na thamani waliyomuwekea endapo kama kuna klabu itamuhitaji(release clause/buyout clause)Yalifanyika makubaliano kati ya Neymar na Barcelona hakuvunja tu kabla hawaja kaa mezani
Sehemu gani ambayo haipo sawa?Issue sio kuvunja mkataba, swala ni utaratibu wa kuvunja watu wana twist story mimi mwanzo nlikua upande wa Feisal ila nmefatilia nmegundua kuna sehemu haipo sawa
Shwaini wengi wanajua pesa aliyorudisha fei ni yake kumbe ni kama anawarudishia Yanga pesa yao (signing fee),Yanga wakiridhia kupokea ile pesa basi itabidi wataje pesa yao kukubali kuvunja mkataba,kama ilivyo kwa wachezaji na makocha tunavyosikiaga fifa imewataka iwalipe kwa kuvunjiwa mikataba na ni hivyo kwa wachezaji,fei akae chini na Yanga wamtajie kiasi wanachotaka awalipe asepe sio aamke tu asubuhi akadeposit pesa kwenye acc ya Yanga eti ndio kavunja mkataba!Kwanza anapaswa aelewe kuwa Neymar hakuwalipa Barca gharama za pesa walizomsaini bali aliwalipa Barca pesa kulingana na thamani waliyomuwekea endapo kama kuna klabu itamuhitaji(release clause/buyout clause)
Mkuu unaongea point ila nasikitika kuna vitu bado havijui kwenye mkataba na sheria na taratibu za FIFA na TFF. Hawezi kufanya hivyo unavyoandika ikiwa msimu wa ligi unaendelea.Kweli huijui sheria, na hata vipengele vya kisheria kwenye mikataba huvijui pia maana yake.
Hapo suala sio lazima mpaka viongozi wa Yanga SC wakae na Azam ndio waongee biashara, muhimu ni kama umeweka kipengele kwenye mkataba wa mchezaji wako kinachomruhusu kuondoka aki deposit kiasi fulani cha pesa, basi hapo umejibana mwenyewe.
Mchezaji ataondoka wakati wowote akiamua, muhimu aweke pesa mliyotaka kwenye akaunti yenu, hapa suala la Yanga SC kuongea na Azam linakuwa halina maana tena, halipo, kwasababu mchezaji ameshavunja mkataba na Yanga SC kwa kuweka mzigo kwenye akaunti, huyu sasa ni sawa na mchezaji huru.
Hi I unajua kuna tofauti ya signing fee na release clause? Neymar aliwalipa Barca signing fee au release clilikuwa
Neymar alifanya hivyo wakati wa dirisha dogo?Inawezekana kabisa, kama kuna kipengele cha mchezaji kuweza kununua mkataba wake.
Neymar aliwahi nunua mkataba wake akaenda PSG
Wakili msomi fikiri vizuri hakuna mkataba unavunjwa na pande mmoja, kwani wewe ukiingia mkataba na mteja wako yeye ghafla tu anaweza kuvunja mkataba bila kijadiliana na wewe?Wakili na mwanamichezo mzoefu nchini, Aloyce Komba ametoa ufafanuzi juu ya dili la Fei Toto kutua Azam akisema:
.
“Yanga wamefanya uzembe wenyewe na wasije wakathubutu kukimbilia Fifa kama walivyofanya kwa Bernard Morrison itakula kwao. Waangalie vizuri mkataba wa mchezaji unaeleza nini, watapoteza muda zaidi.”
.
“Ninachokiona Yanga walimpa mkataba Fei ambao hauna faida kwao. Unawekaje kiasi hicho cha pesa kuvunja mkataba wake wakati unaona kabisa kiwango cha mchezaji kilivyo. mchezaji hawezi kuacha pesa hasa kama mkataba wake unaruhusu kuununua ama kuuvunja.”
.
“Sioni kama Azam wamekosea na ni timu ambayo inazingatia sana masuala ya kisheria katika kuvunja mikataba ya wachezaji wao ama wanaposajili mchezaji. Azam siyo wajinga kiasi hicho wakurupuke tu kumsajili Fei Toto pasipo kuzingatia taratibu za kimkataba.
.
“Wanachotakiwa kukifanya Yanga ni kuulezea umma ama wanachama na mashabiki juu ya hilo, lakini mengine ni kuleta siasa tu kwenye mpira.”
My Take
Nawakumbusha tu Yanga kuitwa Utopolo ni maono ya ndani sana. Hii ndio maana halisi ya Utopolo
Sehemu gani hiyo haipo sawa?Issue sio kuvunja mkataba, swala ni utaratibu wa kuvunja watu wana twist story mimi mwanzo nlikua upande wa Feisal ila nmefatilia nmegundua kuna sehemu haipo sawa
Sawa wewe uane juaHujui kitu.
Gap ni point 6Sehemu gani ambayo haipo sawa?
Kuna kipengele cha kuvunja makataba (bila sababu) endapo tu mchezaji ataweka mezani (kununua mkataba) tsh. 100m za usajili na mshahara wa miezi mitatu 12m. Fei na washauri wake wameona huo mwanya na wameutunia, mengine ni kujifariji tu.Issue sio kuvunja mkataba, swala ni utaratibu wa kuvunja watu wana twist story mimi mwanzo nlikua upande wa Feisal ila nmefatilia nmegundua kuna sehemu haipo sawa
Utaratibu wa kuvunja mkataba haupo upande mmoja pia sheria za FIFA zinaruhusu kuvunja msimu ukiwa umeisha sio kati kati ya msimu hii kitu wasipo kaa kuongea Feisal hatacheza mpaka mwisho wa msimuSehemu gani iyo haipo sawa?
Utopolo akili zenu ni robo kijiko! Fei hajasajiliwa na team yoyote akiwa ndani ya mkataba, amevunja mkataba kwanza then usajili utafata. Kwasasa ni mchezaji huru, atakuwa huru kujiunga na club yoyote wakati nyinyi mkipoteza muda kukata rufaa!!!!Hapo sijui Sheria is kuna raia ni vilaza sana kwenye soka,umeona wapi mchezaji mwenye mkataba na timu anasajiliwa na timu nyingine bila hizo timu kukubaliana? Yaani Leo Jude Bellingham apokee pesa kutoka Man City akailipe Dortmund then awe mchezaji wa Man City bila City na Dortmund kukubaliana?
Basi wachezaji wengi sana wangesepa Kwa namna hiyo.
Mikataba ya football haipo hivyo inafuata msimu hauvunji tu kama taraka ya ndoaFeisal yuko sahihi kwa 100% kisheria.
Ameamua kuvunja mkataba na Yanga kwa kulipa gharama yote inayotamkwa na mkataba wake. Hakuna tena suala la kukaa mezani, kukubaliana au kupatana. Mkataba wa Feisal imetamka yote na wote umefuatwa. Feisal kwa sasa ni mchezaji huru, ana uhuru wote wa kwenda klabu yoyote hata bure. Na Yanga kwa sasa hawahusiki chochote na Feisal.
Leta huo mkataba hapa tuoneKuna kipengele cha kuvunja makataba (bila sababu) endapo tu mchezaji ataweka mezani (kununua mkataba) tsh. 100m za usajili na mshahara wa miezi mitatu 12m. Fei na washauri wake wameona huo mwanya na wameutunia, mengine ni kujifariji tu.
Ndugu yangu bado uko nyuma.Shwaini wengi wanajua pesa aliyorudisha fei ni yake kumbe ni kama anawarudishia Yanga pesa yao (signing fee),Yanga wakiridhia kupokea ile pesa basi itabidi wataje pesa yao kukubali kuvunja mkataba,kama ilivyo kwa wachezaji na makocha tunavyosikiaga fifa imewataka iwalipe kwa kuvunjiwa mikataba na ni hivyo kwa wachezaji,fei akae chini na Yanga wamtajie kiasi wanachotaka awalipe asepe sio aamke tu asubuhi akadeposit pesa kwenye acc ya Yanga eti ndio kavunja mkataba!
Rejea ya Neymar utanielewa, mlijichanganya kuweka kipengele cha kuvunja mkataba endapo mchezaji ataweka dau (kununua mkataba wake) Fei kaweka mzigo now yuko free.Mkataba wa football sio kama chumba cha kupanga kwamba unavunja tu sheria za FIFA zipo wazi sababu mna mihemuko endeleeni kujifariji