Wakili Msomi: Yanga wamefanya uzembe kwa Feisal

Azam wameshamsajili fei?
 
Hili ni jepesi sana kama pesa ukifuatiliwa, kama hujui haya kaa kimya tu mkuu. Kwa mshahara uliosemwa wa Fei, hawezi kuwa na hiyo amount hivyo atalazimika kudeclare alivyoipata. Tuyaache tu hayo
Kwani Fei anategemea mshahara peke yake? Je kama Familia waliamua kuuza Assets zao ili wamwezeshe avunje mkataba na wakatoa vithibitisho utasema nini? Lakini vile vile anaweza kopeshwa pesa na mtu baki kwa ahadi ya kuirudisha kwa riba na akaonyesha ushahidi alikopeshwa. Hapa tunahitaji mtoe ushahidi usio na shaka kuwa Azam FC walimpatia pesa Feitoto na siyo kufuata haya maneno ya mitandaoni. Swala la yeye kutaka kusajiliwa na Azam halihusiani kabisa na pesa aliyowalipa Yanga ili avunje mkataba.
 
Dah yaaani hii mada inajadiliwa kishabiki zaidi kuliko kitaaluma
 
Kawaulize Azam: Kwa yanga mni kwamba No Feisal, No Problem!! Azam wao hawawanii kombe bali wanawania Faisal Watakosa yote
 
Nilikuwanaonyesha tu jinsi gani wanaweza kufuatilia kujua chanzo cha pesa, angalia hoja niliyokuwa majibu.
 
Yanga mnahofia nini kuondoka kwa feisal. Mimi kama mshabiki kindaki ndaki wa YASC sioni kwa nini feisal aishike mlungula timu yenye wanachama milion 40! Yanga ina bahati sana ya kupata midfileders wakali kuliko SSC tangia 1965!

alikuja Abdalahman Juma, Sunday manara, Juma matokeo,mwinda ramadhani, Juma mkambi, Dotto Mokili, Yusuph tigana, Ezekiel grayson "Jujumam" na charles boniface. leo hii mchezaji mzuri kama huyu feisal akitaka kuondoka isitupe tumbo joto . ni vizuri aende atakakako hata ikiwa SSC. watakuja wengine wapya na wazuri kumfunika yeye. GOOD LUCK FEISAL.
 
Endeleeni kuwa busy kuchambua mkataba wa feisal huku Yanga akiwa busy kujikusanyia points
 

Attachments

  • am.jpg
    82.7 KB · Views: 3
Hii issue ya Feisal imewapa viongozi wa Simba muda wa kupumzika maana mashabiki wote mmekuwa busy mmesahau timu yenu ina matatizo lukuki
Tena wanatakiwa kufanya uchaguzi wa viongozi wao mambumbumbu wapo busy kuchambua vifungu vya mchezaji asiyewahusu
 
Hujui kitu , Neymar hakulipa pesa yeye kihuni bali PSG waliwalipa Barca hiyo pesa na akawa mchezaji wa PSG .
Nimekuwekea ushahidi wa Neymar kununua mkataba wake, Endelea kubisha
 
Neymar hajamalizana..neymar alituma pesa kwenye account ya chama cha soka. Wacha kudanganya watu pimbi
 
Wakili wa mchongo,,mwisho wa movie mnaumbuka[emoji23][emoji23]
 
Mimi ninachoelewa ni kwamba kama ulisema mkataba utavunjwa kwa signing fee na mshahara wa miezi mitatu basi ndo itakavyokua


Naona watu mnasema wangekaa wakubaliane sasa maana ya ile millioni 100 iliyowekwa na 12 za miezi mitatu ilikua ya nini?
Mkataba umevunjwa kwa walichoandika yanga kwenye mkataba na ndio ambaco fei toto kafanya
 
Nasikia dirisha Dogo Mo amevunja benki tunamsajili Kichuya?😃😃😂😂
 
Sasa ingekuwa rahisi hivyo si wachezaji wangekuwa wanaondoka tu kama Barbara alivyowapa notice Simba?

Hivi kichwani MNA akili kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…