denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Mfano ulioutoa wa Calinho haufanani na suala ala Fei Toto na Yanga SC.Wewe ndio upo nyuma au ni mwanasheria uchwara,mkataba ili uvunjike pande zote 2 inabidi zikae na kupitia sababu za kufanya mkataba uvunjike,nikupe tu hii,anachofanya feisal alifanya calinhos pale Yanga calinyo alitoa demand zake za kutaka kuvunja mkataba na Yanga walipozikubali wakatoa demand zao na mojawapo calinyo atakiwi kucheza mpira ndani ya TZ kwa miaka 4,wakalipana vilivyostahili jamaa akasepa,fei mkataba unamruhusu kuvunja lakini si kienyeji lazima akae na Yanga fei ataje demand zake na Yanga wataje demand zao,mkataba ni baina ya pande 2 so ili uvunjike pande zote 2 zikubaliane,fei afuate sheria za kimkataba Yanga wala awamtozuia,akae mezani na Yanga
Hizo demands za Calinho kuvunja mkataba hazikuwepo kwenye mkataba wa mwanzo waliosaini Yanga SC na Calinho, kitu ambacho kwa Fei Toto ni tofauti.
Fei Toto anachofanya yeye ni kutimiza sharti la kimkataba kwa kufuata walichokubalina na Yanga SC wakati wa kusaini mkataba husika.