Wakili Msomi: Yanga wamefanya uzembe kwa Feisal

Wakili Msomi: Yanga wamefanya uzembe kwa Feisal

Wakili na mwanamichezo mzoefu nchini, Aloyce Komba ametoa ufafanuzi juu ya dili la Fei Toto kutua Azam akisema:
.
“Yanga wamefanya uzembe wenyewe na wasije wakathubutu kukimbilia Fifa kama walivyofanya kwa Bernard Morrison itakula kwao. Waangalie vizuri mkataba wa mchezaji unaeleza nini, watapoteza muda zaidi.”
.
“Ninachokiona Yanga walimpa mkataba Fei ambao hauna faida kwao. Unawekaje kiasi hicho cha pesa kuvunja mkataba wake wakati unaona kabisa kiwango cha mchezaji kilivyo. mchezaji hawezi kuacha pesa hasa kama mkataba wake unaruhusu kuununua ama kuuvunja.”
.
“Sioni kama Azam wamekosea na ni timu ambayo inazingatia sana masuala ya kisheria katika kuvunja mikataba ya wachezaji wao ama wanaposajili mchezaji. Azam siyo wajinga kiasi hicho wakurupuke tu kumsajili Fei Toto pasipo kuzingatia taratibu za kimkataba.
.
“Wanachotakiwa kukifanya Yanga ni kuulezea umma ama wanachama na mashabiki juu ya hilo, lakini mengine ni kuleta siasa tu kwenye mpira.”

My Take
Nawakumbusha tu Yanga kuitwa Utopolo ni maono ya ndani sana. Hii ndio maana halisi ya Utopolo
Ushajinyea Sasa harafu ishakuwa kali

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kweli huijui sheria, na hata vipengele vya kisheria kwenye mikataba huvijui pia maana yake.

Hapo suala sio lazima mpaka viongozi wa Yanga SC wakae na Azam ndio waongee biashara, muhimu ni kama umeweka kipengele kwenye mkataba wa mchezaji wako kinachomruhusu kuondoka aki deposit kiasi fulani cha pesa, basi hapo umejibana mwenyewe.

Mchezaji ataondoka wakati wowote akiamua, muhimu aweke pesa mliyotaka kwenye akaunti yenu, hapa suala la Yanga SC kuongea na Azam linakuwa halina maana tena, halipo, kwasababu mchezaji ameshavunja mkataba na Yanga SC kwa kuweka mzigo kwenye akaunti, huyu sasa ni sawa na mchezaji huru.
Hivi walitumia nini kufikiria kuwa Feisal hataweza hama? Au walimnywesha rangi ya bendera?
Au ni mwanachama wa Yanga?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Neymar alienda PSG bila makubaliano kati ya PSG na Barca.
Alichofanya Neymar ni kuvunja mkataba 250 million euro. Then akawa free agent akaenda zake PSG. Yaani hata FFP haikuwa na nguvu yoyote hapa..
Feisal kafanya kile kile kama Neymar kavunja mkataba, kawalipa chao, kwa sasa ni mchezaji huru.

Na hadi amefikia hapo ukute majadiliano yalishakuwa mengi, wanasheria washapita na kushauri

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli. Barcelona walikasirika sana kwa kitendo hicho. Ulikuwa ni ugomvi na chuki. Kwa kitendo hicho Neymar alinyimwa bonuses zake hadi wakapelekana mahakamani.

Hapo ndio Barcelona wakajifunza kutoweka release clause za kitoto kwa wachezaji wake.
Sasa hivi mchezaji mwenye release clause ndogo ni €500m Tena anakuwa ana umri mkubwa. Madogo wote ni € 1 Billion
Release Clause sio ya lazima ni makubaliano kati ya Timu na Mchezaji

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hivi walitumia nini kufikiria kuwa Feisal hataweza hama? Au walimnywesha rangi ya bendera?
Au ni mwanachama wa Yanga?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nina wasiwasi itakuwa ni sababu za kimazoea, inawezekana walishaweka vipengele vya aina hiyo kwenye mikataba iliyopita, but havikuwa "activated" na wachezaji mpaka mikataba yao ilipokwisha, ndio jamaa wakaona hicho kipengele hakina shida kuwepo, sasa this time imekula kwao.
 
Kitendo cha Feisal kuvunja mkataba kinamfanya awe huru si kusajiliwa na Azam tu, bali na timu yoyote ikiwemo Simba 😄😄 😄
 
Matatizo ya Simba hayambakizi Feisal hapo Yanga, kila kimoja kinashughulikiwa kivyake
Tukumbushane
JamiiForums54768875.jpg
 
Wakili na mwanamichezo mzoefu nchini, Aloyce Komba ametoa ufafanuzi juu ya dili la Fei Toto kutua Azam akisema:
.
“Yanga wamefanya uzembe wenyewe na wasije wakathubutu kukimbilia Fifa kama walivyofanya kwa Bernard Morrison itakula kwao. Waangalie vizuri mkataba wa mchezaji unaeleza nini, watapoteza muda zaidi.”
.
“Ninachokiona Yanga walimpa mkataba Fei ambao hauna faida kwao. Unawekaje kiasi hicho cha pesa kuvunja mkataba wake wakati unaona kabisa kiwango cha mchezaji kilivyo. mchezaji hawezi kuacha pesa hasa kama mkataba wake unaruhusu kuununua ama kuuvunja.”
.
“Sioni kama Azam wamekosea na ni timu ambayo inazingatia sana masuala ya kisheria katika kuvunja mikataba ya wachezaji wao ama wanaposajili mchezaji. Azam siyo wajinga kiasi hicho wakurupuke tu kumsajili Fei Toto pasipo kuzingatia taratibu za kimkataba.
.
“Wanachotakiwa kukifanya Yanga ni kuulezea umma ama wanachama na mashabiki juu ya hilo, lakini mengine ni kuleta siasa tu kwenye mpira.”

My Take
Nawakumbusha tu Yanga kuitwa Utopolo ni maono ya ndani sana. Hii ndio maana halisi ya Utopolo
Kaenda huyo.....tukomae tu sasa na Aziz Ki.
 
Ndugu yangu bado uko nyuma.
Haihitaji Yanga wakae wakubali au wakatae kupokea Pesa ya Feisal, suala ni mkataba umefuatwa, basi. Hakuna tena suala la kujadili ikiwa sheria (mkataba) imefuatwa. Baada ya Feisal kutimiza hilo takwa la kuwarejesha Yanga Pesa zao, maana yake Feisal yuko huru kwa 100%. Hakuna tena pesa ya kumdai wala kufuatilia wapi atakwenda.
Wewe ndio upo nyuma au ni mwanasheria uchwara,mkataba ili uvunjike pande zote 2 inabidi zikae na kupitia sababu za kufanya mkataba uvunjike,nikupe tu hii,anachofanya feisal alifanya calinhos pale Yanga calinyo alitoa demand zake za kutaka kuvunja mkataba na Yanga walipozikubali wakatoa demand zao na mojawapo calinyo atakiwi kucheza mpira ndani ya TZ kwa miaka 4,wakalipana vilivyostahili jamaa akasepa,fei mkataba unamruhusu kuvunja lakini si kienyeji lazima akae na Yanga fei ataje demand zake na Yanga wataje demand zao,mkataba ni baina ya pande 2 so ili uvunjike pande zote 2 zikubaliane,fei afuate sheria za kimkataba Yanga wala awamtozuia,akae mezani na Yanga
 
Sio kweli. Barcelona walikasirika sana kwa kitendo hicho. Ulikuwa ni ugomvi na chuki. Kwa kitendo hicho Neymar alinyimwa bonuses zake hadi wakapelekana mahakamani.

Hapo ndio Barcelona wakajifunza kutoweka release clause za kitoto kwa wachezaji wake.
Sasa hivi mchezaji mwenye release clause ndogo ni €500m Tena anakuwa ana umri mkubwa. Madogo wote ni € 1 Billion
Na release clause ikiwa mkubwa basi na mshahara wa mchezaji unakuwa mkubwa. Hasara yake ni mchezaji akiunderperform ujue ni hasara coz hauziki popote. Ndo kinachowatesa barca saiv cc issue ya umtiti.
 
Makolo mnahangaika na Yanga mnasahau kama mmletea Saidoo ambae mlidai ni Mzee wengine mkadai mchezaji aliyecheza hawezi kuja kucheza bongo ukiona hivyo alikuwa mtunza stoo , Suala la Fei kwenda bado bichi kinachotakiwa ni utaratibu na vingele vya mkataba vifuatwe haina shida wana Yanga tunaamini Yanga inaweza kufanya vizuri pasipo uwepo wa Fei hilo lipo wazi . Kuna wanasheria wengi kila anasema kivyake. Kutokana na utashi wake na mapenzi yake tusubiri mpaka mwisho wa picha ndio muanze kuchonga ngengq
 
Hapo sijui Sheria is kuna raia ni vilaza sana kwenye soka, umeona wapi mchezaji mwenye mkataba na timu anasajiliwa na timu nyingine bila hizo timu kukubaliana? Yaani Leo Jude Bellingham apokee pesa kutoka Man City akailipe Dortmund then awe mchezaji wa Man City bila City na Dortmund kukubaliana?
Basi wachezaji wengi sana wangesepa Kwa namna hiyo.
Ndo hapa tyuuh napopata wasi wasi huenda Fei toto alipokoseaa.
Nwei tutajua mwsho wake nn.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neymar alienda PSG bila makubaliano kati ya PSG na Barca.
Alichofanya Neymar ni kuvunja mkataba 250 million euro. Then akawa free agent akaenda zake PSG. Yaani hata FFP haikuwa na nguvu yoyote hapa..
Oooooh hapa sasa naelewaaa zaidi. Basis Fei yuko sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msipoteze nguvu sana.
Mtu mwenye kanuni husika za FIFA, CAF na TFF aweke hapa. Tubishiane humo.
 
Back
Top Bottom