Kwenye mambo ya kisheria kuna vitu hurekebishika vingine huwa havirekebishiki.CAS na CAF wapi na wapi? Yanga imeenda kushtaki CAF au CAS? Unajua kusoma lakini? Nisije nikawa napoteza muda na mtu asiejua kusoma soma alichoandika huyo unaesema ana hoja ndio unijibu usikurupuke
CAS na CAF wapi na wapi? Hivi unaelewa swali langu?Kwenye mambo ya kisheria kuna vitu hurekebishika vingine huwa havirekebishiki.
Kimantiki Kwa kuwa Yanga wamesema wanakwenda CAS hayo ya kuandika CAF ni mtelezo wa kimantiki usioathiri mtiririko wa hoja zake.
Jibu hoja za Mwabukusi.
Wewe ndiyo hutaki kuelewa jibu. Kwa mfano kama kesi ingekuwa mbele ya Mahakama, Mwabukusi angeulizwa alipoandika CAF NA CAS alikusudia nini.CAS na CAF wapi na wapi? Hivi unaelewa swali langu?
Hakuna hata hoja ya maana hapo, anaulizia habari za ripoti ya mwamuzi mara kamisaa wa michezo, wakati anajua wazi kuwa bodi ya ligi iliifuta mechi kutokana na Simba kuigomea mechi sasa ni nani atawapeleka kamisaa na mwamuzi uwanjani ili kujua kama Simba waliingia uwanjani? Na kesi inayopelekwa CAS ni hili la kuahirisha mechi pasipo na sababu za msingi kikanuni. Sasa kama na wewe unaona huyo kaandika bonge la hoja aisee namashaka na uwezo wako wa kufikiri.Achana na uandishi. Hoja zake umezielewa? Maana ana hoja zimeshiba haswaa!
CAS mnakwenda kuishitaki Bodi ya Ligi lakini lengo lenu mpewe point za mchezo kutoka Simba, itawezekana?
Kauliza mnayo ripoti ya mwamuzi kwamba Simba haikufika uwanjani siku ya mechi? Pia anahoji kama mnayo pia ripoti ya Kamisaa wa mchezo?
Kauliza nyie shauri lenu litabebwa na "facts" zipi?
Ameuliza vielelezo (attachments) mtakavyoambatisha kwenye Hilo shauri lenu, vitakuwa na vitu Gani?
Utetezi wako hauna mashiko, acha kutetea ujingaWewe ndiyo hutaki kuelewa jibu. Kwa mfano kama kesi ingekuwa mbele ya Mahakama, Mwabukusi angeulizwa alipoandika CAF NA CAS alikusudia nini.
Kisheria angeruhusiwa kurekebisha na kusema CAS ni "typo" tu kutokana na simu janja zilivyo na uharaka wa kuposti. Baada ya hapo mjadala ungendelea.
Unajua "F" na "S" ni herufi zilizo karibu kwenye keyboard nyingi za simu? Kwa ivo ni rahisi kuandika CAF badala ya CAS wakati wa kutype?
Wewe mwenyewe umeandika kibari badala ya kibali.Kwa hio km ni hivyo ndio awe na kibari cha kuandika Madudu?
Mbona rahisi tu. Hoja zake zina mashiko (hold waters) kwa kuwa ili Yanga ipate pointi za mechi ile hayo mambo ya ripoti ya mwamuzi na Kamisaa wa mchezo vitakuwa ni sehemu ya mjadala.Hakuna hata hoja ya maana hapo, anaulizia habari za ripoti ya mwamuzi mara kamisaa wa michezo, wakati anajua wazi kuwa bodi ya ligi iliifuta mechi kutokana na Simba kuigomea mechi sasa ni nani atawapeleka kamisaa na mwamuzi uwanjani ili kujua kama Simba waliingia uwanjani? Na kesi inayopelekwa CAS ni hili la kuahirisha mechi pasipo na sababu za msingi kikanuni. Sasa kama na wewe unaona huyo kaandika bonge la hoja aisee namashaka na uwezo wako wa kufikiri.
Yote kwaa yote nimeeleweka CAS sio CAFWewe mwenyewe umeandika kibari badala ya kibali
Wewe unafikiri Yanga imefuata nini CAS? Au haujui?Mbona rahisi tu. Hoja zake zina mashiko (hold waters) kwa kuwa ili Yanga ipate pointi za mechi ile hayo mambo ya ripoti ya mwamuzi na Kamisaa wa mchezo vitakuwa ni sehemu ya mjadala.
Au Yanga wanakwenda CAS ili kupata nini?
Walau sasa umekuwa mdogo kuhusu mambo ya maandishiYote kwaa yote nimeeleweka CAS sio CAF
Twende naye taratibu... Maana humu watu hawachelewi kupasuka😃😄😀Wewe mwenyewe umeandika kibari badala ya kibali.
Tuzingatie nini; uandishi wako au hoja yako?
Wewe ni shoga tunakujua ....kijambio chako hakiko salama bata waheed😂"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
CAS sio CAF hivi unaelewa ninachosema au na wewe umeona uje na uzushi wako?Walau sasa umekuwa mdogo kuhusu mambo ya maandishi
Ripoti ya kamisaa na mwamuzi inahusiana na habari ya ndani ya uwanja.Mbona rahisi tu. Hoja zake zina mashiko (hold waters) kwa kuwa ili Yanga ipate pointi za mechi ile hayo mambo ya ripoti ya mwamuzi na Kamisaa wa mchezo vitakuwa ni sehemu ya mjadala.
Au Yanga wanakwenda CAS ili kupata nini?
Kwa kuwa sijaziona hoja zao siwezi kusema chochote. Ingawa vyanzo mbali mbali vinaonesha lengo lao ni kupata pointi 3 toka Klabu ya Simba.Wewe unafikiri Yanga imefuata nini CAS? Au haujui?
CAS sio CAF acheni utetezi wa kijingaTwende naye taratibu... Maana humu watu hawachelewi kupasuka😃😄😀
Endelea kujifunza umedandia treni kwa mbele, usirukie neno treni maana hamchelewi kuhamisha magoliKwa kuwa sijaziona hoja zao siwezi kusema chochote. Ingawa vyanzo mbali mbali vinaonesha lengo lao ni kupata pointi 3 toka Klabu ya Simba.