Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
- Thread starter
-
- #41
Kwamba Simba waliwatuma mabaunsa wa Yanga wawazuie kuingia Mkapa Kwa masaa matatu mfululizo toka saa Moja usiku mpaka saa tatu usiku?Kama ni yeye basi ni mweupe kama karatasi!!, Amesahau kwamba simba alikuwa chambo wa Bodi ya ligi?.
Huyu ni walewaleWakili msomi Boniphace Mwabukusi amelizungumzia suala la Yanga kisheria.
View attachment 3276571
Huyu ni mbobevu kwenye haya mambo ya kisheria.
Muache na mwache ni neno moja?Hicho kiswahili tu kwanza munakosea??? 🤣🤣🤣
Ana hoja gani?, Anajua yanga wametoa facts zipi za kisheria dhidi ya Bodi ya ligi wakishirikiana na simba!!. Hivi kutambua kitu kidogo kama hiki inahitaji uwe na degree ya sheria?.Hoja zake umeziona lakini?
😂😂 Aibu naona mimi...., Kati ya simba na Bodi ya ligi nani ana mamlaka ya kuamua jambo juu ya suala la kimpira!!.Kwamba Simba waliwatuma mabaunsa wa Yanga wawazuie kuingia Mkapa Kwa masaa matatu mfululizo toka saa Moja usiku mpaka saa tatu usiku?
Kwamba ni maneno 3😂 kiazi kabisa wewe!!.Muache na mwache ni neno moja?
Hapa ndipo mnapokosea, kwenye Sheria mambo hayaendeshwi kwa hisi (assumptions) bali kwa mantiki inayothibitisha uhalisia.Ana hoja gani?, Anajua yanga wametoa facts zipi za kisheria dhidi ya Bodi ya ligi wakishirikiana na simba!!..
Nyie kipere kinawasha wapi? Aliyeshitakiwa ni Bodi ya ligi ... Tatizo lenu ni nini?. Nyie mlikimbia getoni mkawaleta dada zenu tukawapakata😋😂Kuishabikia utopolo lazima Kichwani ziwe Hamnazo
Tumia mantiki kwenye kuelewa nilichoandika acha mihemko inayotokana na utopoloism😀😄😃Kwamba ni maneno 3😂 kiazi kabisa wewe!!.
We ni mjinga sana.... Simba ana mamlaka gani ya kuahirisha kucheza mechi ilipangwa kisheria?, Kwamba simba ana haki ya kukataa kucheza hata kama kanyimwa kufanya mazoezi?.Hapa ndipo mnapokosea, kwenye Sheria mambo hayaendeshwi kwa hisi (assumptions) bali kwa mantiki inayothibitisha uhalisa.
Kusema bodi ya ligi ilishirikiana na Simba ushahidi wa kuthibitisha hilo upo?
Hujui hata unachoandika .. umekula utumbo wa nguruwe unawaza kinguruwenguruwe tu😂.Tumia mantiki kwenye kuelewa nilichoandika acha mihemko inayotokana na utopoloism😀😄😃
Aliyeandika "bodi ya ligi wakishirikiana na Simba " ni Mimi au ni wewe? Fuatilia basi mtiririko wa mjadala.We ni mjinga sana.... Simba ana mamlaka gani ya kuahirisha kucheza mechi ilipangwa kisheria?, Kwamba simba ana haki ya kukataa kucheza hata kama kanyimwa kufanya mazoezi?.
Unasema kwenye sheria mambo hayaendeshwi kwa hisia (assumption) ila cha ajabu bidi ya ligi imefanya assumption ya kuahirisha mechi eti kwa sababu ya usalama. Hapo hauoni wamefanya assumption?Hapa ndipo mnapokosea, kwenye Sheria mambo hayaendeshwi kwa hisi (assumptions) bali kwa mantiki inayothibitisha uhalisia.
Kusema bodi ya ligi ilishirikiana na Simba ushahidi wa kuthibitisha hilo upo?
Hebu tupe hoja za mwambukusi alizotoa kwenye hilo bandiko lake!! Nachoona ni maneno yaleyake kama yako!!. Hakuna facts za kisheria alizotoa....Kwenye mambo ya kisheria kuna vitu hurekebishika vingine huwa havirekebishiki.
Kimantiki Kwa kuwa Yanga wamesema wanakwenda CAS hayo ya kuandika CAF ni mtelezo wa kimantiki usioathiri mtiririko wa hoja zake.
Jibu hoja za Mwabukusi.
Ripoti ya Afisa wa usalama wa mechi (ambaye ni Polisi) inawezekana ilionesha tishio la muendelezo wa tukio la usiku ule kuwa kubwa zaidi wakati wa mechi.Unasema kwenye sheria mambo hayaendeshwi kwa hisia (assumption) ila cha ajabu bidi ya ligi imefanya assumption ya kuahirisha mechi eti kwa sababu ya usalama. Hapo hauoni wamefanya assumption?
Kwahiyo sheria inamkataza yanga kuishitaki Bodi ya ligi iliyoshirikiana na simba kuhairishwa mechi?.Aliyeandika "bodi ya ligi wakishirikiana na Simba " ni Mimi au ni wewe? Fuatilia basi mtiririko wa mjadala.
Facts wanatakiwa wawe nazo Yanga. Yeye kwenye "preliminary stage" amekaguq muelekeo wa madai ya Yanga akaona hayabebi uzito unaostahili kushinda shauri lao.Hebu tupe hoja za mwambukusi alizotoa kwenye hilo bandiko lake!! Nachoona ni maneno yaleyake kama yako!!. Hakuna facts za kisheria alizotoa....