anatakiwa aandike vizuri...akimuandikia baba yake ndo amuandikie lahaja ya kwao,kwao sio kwetu wana JFHiyo lahaja ni ya kwao. Ndiyo maana wengine wanaandika "swala" na wengine huandika "suala".
Mbona wewe umeshindwa kuandika "mbobevu* badala yake ukaandika "mbebevu"?
Jibu hoja zake!
😂😂Matapishi haya... Kwahiyo hapa polis waliona kuna tishio la vurugu.... Na wamechukua hatua gani? Yaani kuna kuwa na tukio la uvunjifu wa amani arafu hakuna anahusishwa na uvunjifu huo?.Ripoti ya Afisa wa usalama wa mechi (ambaye ni Polisi) inawezekana ilionesha tishio la muendelezo wa tukio la usiku ule kuwa kubwa zaidi wakati wa mechi.
Bado hapo ni assumptionRipoti ya Afisa wa usalama wa mechi (ambaye ni Polisi) inawezekana ilionesha tishio la muendelezo wa tukio la usiku ule kuwa kubwa zaidi wakati wa mechi.
Hoja yangu inawezekanaje kuthibitisha kuwa bodi ya ligi ilishirikiana na Simba kuahirisha ile mechi?Kwahiyo sheria inamkataza yanga kuishitaki Bodi ya ligi iliyoshirikiana na simba kuhairishwa mechi?.
Muulize kaandika lugha gani?! Kinyakyusa au kiswahili?!Wakili msomi Boniphace Mwabukusi amelizungumzia suala la Yanga kisheria.
View attachment 3276571
Huyu ni mbobevu kwenye haya mambo ya kisheria.
Punguza ujinga 😂 yeye facts zake nikuwa yanga hawana hoja?. Nyie ni viazi asee!.Facts wanatakiwa wawe nazo Yanga. Yeye kwenye "preliminary stage" amekaguq muelekeo wa madai ya Yanga akaona hayabebi uzito unaostahili kushinda shauri lao.
1.Bodi ya ligi haina hoja za kisheria zilizopelekea kuahirishwa kea mechi husika,Hoja yangu inawezekanaje kuthibitisha kuwa bodi ya ligi ilishirikiana na Simba kuahirisha ile mechi?
Here I rest my case broda.1.Bodi ya ligi haina hoja za kisheria zilizopelekea kuahirishwa kea mechi husika,
2.simba hana hoja za msingi za kisheria za mechi kuahirishwa!!.
Mbona umekuwa mdgo kama piriton!!. Unakuja na mambo ya kijinga kwenye facts za kisheria asee!!Here I rest my case broda.
😃😄😀😆
Nimeona unai - personalize hii issue. Mwabukusi ana hoja tena za kisheria naona wewe unataka badala ya kujibu hoja unaanzisha malumbano yanayotutoa kwenye mjadala na kutuingiza kwenye zogo.Mbona umekuwa mdgo kama piriton!!. Unakuja na mambo ya kijinga kwenye facts za kisheria asee!!
😂😂Hebu toa hoja zake 2 alizotoa kwenye hilo bandiko!! Hoja za kisheria zisizoonekana?.Nimeona unai - personalize hii issue. Mwabukusi ana hoja tena za kisheria naona wewe unataka badala ya kujibu hoja unaanzisha malumbano yanayotutoa kwenye mjadala na kutuingiza kwenye zogo.
Huwa sipendi mambo ya zogo.
🤣🤣🤣" MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI "
- DR LUC EYMAEL 2020
Kwanza shauri (kesi) daima huwa na lengo. Kwa hoja za Mwabukusi lengo la Yanga ni kupata pointi 3 kwa hoja kuwa mechi iliahirishwa kinyume cha kanuni za ligi.😂😂Hebu toa hoja zake 2 alizotoa kwenye hilo bandiko!! Hoja za kisheria zisizoonekana?.
😂😂😂Dah... Kwamba Bodi ya ligi haziwezi kupanga matokeo na simba?, Au hujawahi sikia case kama hizo?. Wafanyakazi wa Bodi ya ligi wanahusika na maamzi yasiyo ya kisheria ya kuahirishwa kwa mechi!!Kwanza shauri (kesi) daima huwa na lengo. Kwa hoja za Mwabukusi lengo la Yanga ni kupata pointi 3 kwa hoja kuwa mechi iliahirishwa kinyume cha kanuni za ligi.
Sasa hoja ya kwanza Mwabukusi ni kwamba kama inayoshtakiwa ni bodi ya ligi, Yanga watapataje pointi 3 kwa mechi ambayo haikuchezwa?
Lakini hoja nyingine ili timu ipewe Pointi 3 si lazima kuwe na kanuni inayotamka hizo pointi 3 zinatolewaje?
Kama pointi 3 ni kwa kuwa mechi iliahirishwa, basi ripoti ya mwamuzi wa huo mchezo na Kamisaa ipo?
Huko CAS vielelezo ndivyo vitakavyoisaidia Yanga kushinda. Je Yanga Ina hivyo vielelezo?
Kisheria hutokea mara nyingi tu. Mfano magari ya abiria (mabasi) yalikuwa yamekatazwa kutembea usiku na Serikali. Lakini Serikali hiyo hiyo Sasa imeyaruhusu kutembea tena usiku.Bodi haiwezi kuagiza kuwa mchezo uko pale pale baada ya mpinzani kutangaza kuwa amegomea mechi, halafu yakiwa yamebaki masaa manne tu bodi hiyo inabadilisha masimamo na kuahirisha mchezo bila sababu yoyote
Hiki ulichoandika kina makosa mengi Sana kama lile bandiko la Mwabukusi.Uzuri swala lipo kwq watu weupe hakuna uswahiliswahili.... Atakayelojeka ameliwa... Tunatka msimaria karia na wapuuzi wake wa Bodi ya ligi watage mbwa hao.
Huyo sio Mwabukusi, wamemuwekea maneno.Hiyo lahaja ni ya kwao. Ndiyo maana wengine wanaandika "swala" na wengine huandika "suala".
Mbona wewe umeshindwa kuandika "mbobevu* badala yake ukaandika "mbebevu"?
Jibu hoja zake!