Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Natamani leo tujaze nyuzi JF zikienda;

#Justice for Mwabukusi.
#Mwabukusi sio mhaini.
#Free Mwabukusi.
#Mwabukusi for Tanzanyika.
#Mwabukusi kwanza DP World Isubiri.
Tatizo hapa bongo kwa ground hatufanyi kitu
 
Wanampa milage tu, hakuna sababu ya kumkamata.
Waongo hao, hakuna aliyekamatwa:

 
Sikua interested na mwabukusi japo niliona nyuzi nyingi zikianzishwa humu ikatokea siku nikaingia YouTube channel mbalimbali nikamfuatilia MWABUKUSI

NIlicho gundua MWABUKUSI ni mtu very humble na smart upstairs huwezi choka kumsikiliza akiwa anatetea hii issue ya bandari zetu....

Mimi ni aina ya watu kama MWAKABUSI ila niliachana na SIASA na mambo YOTE ya kujihusiasha nazo maana wakati mwingine kumpambania mtanzania ni KUPOTEZA MUDA....

Cc. WANAHARAKATI WOTEE TZ
 
Wewe tunakujua ni Chawa wa Dp world
 
Hakuna cha Mwabukusi wala nzi yeyote kukatiza Mikumi, shenzi zenu. Eti Bandari imeuzwa, wekeni risiti ya EFD hapa tuone imeuzwa kiasi gani!!

Yaani tupitwe na Beira, Mombasa na Lobito sababu ya hawa wajinga wawili Mwabukusi na Mdude!! Pumbavu sana
Peleka makalio yako makubwa kwa hao hao mabasha wako waarabu
 
Mbowe si kaachiwa kwa huruma ya mama wa Kiislam.

Mahakama ilisema anayo kesi ya kujibu, umesahahu? Mama katumia "Presidential Power" kumtowa, leo kawa mbaya?
Kwa hiyo unatuambia kuwa Rais muislamu alimuagiza DPP afute kesi? Hayo mamlaka alipewa na nani?
Tangu lini mtu kuwa na kesi ya kujibu ni sawasawa na kupatikana na hatia?
Muislamu mmoja aliwahi kusema kitu kama " unanichoma kisu mgongoni ambacho kinaingia inchi 9, halafu unataka nikushukuru kwa sababu umekivuta kikabaki na inchi 6 ndani"?

Amandla...
 
Natamani leo tujaze nyuzi JF zikienda;

#Justice for Mwabukusi.
#Mwabukusi sio mhaini.
#Free Mwabukusi.
#Mwabukusi for Tanzanyika.
#Mwabukusi kwanza DP World Isubiri.
Hizi hashtag ndo zitafanya waachiwe? Keyboard warriors mna ujinga mwingi.
 

Samia kawapa xnaa uhuru na wanautumia vibaya
Katazo la kuacha kampeni na mikutano ya kisiasa magu alikua sahihi kukataza
Maana saiv wameachiwa ona wanavoleta fujo majukwaani yaani kila cku wao ni kuchonganisha serikali hoja ni matuc na ukanda
 
Hebu twambie walivyo mchafua! Kwani ni nani amesaini mkataba wa kuuzwa kwa bandari milele?

Bandari gani imeuzwa achana na siasa za chadema wanapotosha kuliko ukweli
Wangepigania katiba mpya ningewaelewa
 
Samia kawapa xnaa uhuru na wanautumia vibaya
Katazo la kuacha kampeni na mikutano ya kisiasa magu alikua sahihi kukataza
Maana saiv wameachiwa ona wanavoleta fujo majukwaani yaani kila cku wao ni kuchonganisha serikali hoja ni matuc na ukanda
Mikumi walikuwa wanafanya mkutano?
 

Wanisiasa wanafki afu mtz nayo inapelekeshwa kama mitahira
Walimtukana magu ety anakimbiza wawekezajj mara hana mahusiano mazuri na mataifa ya nje
Mara serikali itapata hasara kuvunja mikataba
Hayo yote waliyokua wanalia mama kaja kuyafanya kama walivopendekeza tena hawataki
 

Ndio uboya wa watz wengi yaani kila habar inayohusu upinzani wanaichukua kama ilivo bila hata kuipima wao
Wapinzani wanajua wanachofanya sio sahihi ila wao shida yao ni kushika dola tuh
Hatuezi wapa nchi watu ambao wanabadili kauli na kupotosha wananchi kwa ajili yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…