Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam


Hakuna kuhisi kukomolewa ukizingua lazima ukamatwe nchi ina uhuru ila usipitilize
Kuanzisha siasa za chuki ni uhaini
 
Spika aliyepita aliwahi kuuliza Bunge kama kweli sheria waliyoipitisha waliipitisha wao kweli. Hii ni baada ya sheria hiyo kurudishwa baada ya kuonekana ina dosari nyingi sana. Hilo ni Bunge la CCM na wao pamoja na Spika hawakujisumbua kusoma mswaada walioletewa na serikali ya chama chao. Hapa asiyepima mambo ni nani?
Sio dhambi kutaka kushika dola. Ndio maana hata CCM kila baada ya muda wanarudi kwa wananchi kuwaomba wawakubali ili waendelee kushika dola. Hivyo hivyo kwa vyama vya upinzani. Chama cha upinzani kisichokuwa na lengo la kushika dola kinapoteza sifa ya kuwa chama cha siasi na kinabakiza ya u NGO.

Amandla...
 
Mikumi walikuwa wanafanya mkutano?

Unakamatwa kwa kosa ambalo ushafanya au kama ukipanga kulifanya police wakajua bhc popote ulipo utakamatwa
Kwani ukiiba kariakoo ukakamtwa ubungo utasema umeonewa ujaiba ubungo?
 
Mbona wewe hujitokezi upokee kichapo unajificha hapa JF?
Hapa nilipo nina kilema cha bomu katika mkutano wa cdm huko Arusha. Acha kabisa, ni bora ukae kimya maana sio kila mtu ni muoga wa hivyo.
 

Sahihi kabisa ila upinzani haufanyi kuleta chuki kwa wananchi na kuchochoea maandamano ambayo hoja zake ziko wazi
Wao wanachofanya ni kueka mpasuko tuh
Kama kwel umesikiliza mikutano yao mingi utajua ilo
 
Si ndio mnasikiliza sana nyie kwa lolote analosema?
Unadhani kwakuwa tunamkubali basi kila asemacho tunafuata, au unadhani tunamsubiri hadi yeye aseme? Lisu ni mpambanaji mwenzetu, na sio mtawala wetu.
 
Idiotic comments..!!
 
Sahihi kabisa ila upinzani haufanyi kuleta chuki kwa wananchi na kuchochoea maandamano ambayo hoja zake ziko wazi
Wao wanachofanya ni kueka mpasuko tuh
Kama kwel umesikiliza mikutano yao mingi utajua ilo
Nimesikiliza za vyama karibu vyote vya siasa.

Amandla...
 
Kuna wakati Mwingine hata mavi hufikili badala ya ubongo.
 
Hakuna kuhisi kukomolewa ukizingua lazima ukamatwe nchi ina uhuru ila usipitilize
Kuanzisha siasa za chuki ni uhaini
Binafsi sijaona chuki yoyote sema propaganda zime tawala sanaaa upotoshaji ni mwingi sana.....

All in all hakuna mtanganyika anae taka bandari wapewe waarabu wa Dubai Kwa mkataba wa aina Ile....................
 
KAMATA KAMATA IMEANZA UPYA
 
Hapa nilipo nina kilema cha bomu katika mkutano wa cdm huko Arusha. Acha kabisa, ni bora ukae kimya maana sio kila mtu ni muoga wa hivyo.
Acha uwongo we keyboard warrior, hebu tuma picha tuone!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…