Nyanje
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 763
- 680
Jinga kweli kweliAcha mwembwe watanganyika njoo kituoni shubamit maneno mengi na watawataja wanao wafadhili mbumbavuuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jinga kweli kweliAcha mwembwe watanganyika njoo kituoni shubamit maneno mengi na watawataja wanao wafadhili mbumbavuuuuu
Kabisa mkuu polisi wanafikir wanawakomoa kwa kuwakamata wapinzani ovyo ovyo bila kujua wanawapa ujasir wa kupambana, jeshi la ovyo kabisa Jana nimelisikia kuu lao eti watu wanataka kumpindua SSH kwa kufanya maandamano nchi nzima yaan jitu cheo kikubwa limeitisha press kabisa linaongea ujinga tu
Itapendeza kikianza kiroba Cha MAMAYOItapendeza zaidi tuanze sasa kuona viroba kimya kimya
Ili washamba waelewe kuwa mamlaka ipo
Spika aliyepita aliwahi kuuliza Bunge kama kweli sheria waliyoipitisha waliipitisha wao kweli. Hii ni baada ya sheria hiyo kurudishwa baada ya kuonekana ina dosari nyingi sana. Hilo ni Bunge la CCM na wao pamoja na Spika hawakujisumbua kusoma mswaada walioletewa na serikali ya chama chao. Hapa asiyepima mambo ni nani?Ndio uboya wa watz wengi yaani kila habar inayohusu upinzani wanaichukua kama ilivo bila hata kuipima wao
Wapinzani wanajua wanachofanya sio sahihi ila wao shida yao ni kushika dola tuh
Hatuezi wapa nchi watu ambao wanabadili kauli na kupotosha wananchi kwa ajili yao
Mikumi walikuwa wanafanya mkutano?
Hapa nilipo nina kilema cha bomu katika mkutano wa cdm huko Arusha. Acha kabisa, ni bora ukae kimya maana sio kila mtu ni muoga wa hivyo.Mbona wewe hujitokezi upokee kichapo unajificha hapa JF?
Spika aliyepita aliwahi kuuliza Bunge kama kweli sheria waliyoipitisha waliipitisha wao kweli. Hii ni baada ya sheria hiyo kurudishwa baada ya kuonekana ina dosari nyingi sana. Hilo ni Bunge la CCM na wao pamoja na Spika hawakujisumbua kusoma mswaada walioletewa na serikali ya chama chao. Hapa asiyepima mambo ni nani?
Sio dhambi kutaka kushika dola. Ndio maana hata CCM kila baada ya muda wanarudi kwa wananchi kuwaomba wawakubali ili waendelee kushika dola. Hivyo hivyo kwa vyama vya upinzani. Chama cha upinzani kisichokuwa na lengo la kushika dola kinapoteza sifa ya kuwa chama cha siasi na kinabakiza ya u NGO.
Amandla...
Unadhani kwakuwa tunamkubali basi kila asemacho tunafuata, au unadhani tunamsubiri hadi yeye aseme? Lisu ni mpambanaji mwenzetu, na sio mtawala wetu.Si ndio mnasikiliza sana nyie kwa lolote analosema?
PumbavuUshahid gani mkuu kwan ujafatilia mikutano ya chadema?
Au ndio unaleta utoto kwenye mambo serious
Idiotic comments..!!Hawa jamaa wanaojifanya watetezi wa Bandari wanataka tuwaamini kwa kila wanachosema eti nyasi zote zina rangi ya blue ole wako upinge naona busara zote zime fikia mwisho wanahitaji matibabu hawa tiba nyingine ili kunusuru mgonjwa lazima apewe nusu kaputi ili afanyiwe upasuaji salama.
Wamebembelezwa sana inatosha.
Wewe ni mgalatia tu Uislam ni dini ya Amani!Mimi ni Muislam sahahau kabisa huo ujinga wa kuwacha dini.
Unataka niwe kama wewe usiye na dini?
Nimesikiliza za vyama karibu vyote vya siasa.Sahihi kabisa ila upinzani haufanyi kuleta chuki kwa wananchi na kuchochoea maandamano ambayo hoja zake ziko wazi
Wao wanachofanya ni kueka mpasuko tuh
Kama kwel umesikiliza mikutano yao mingi utajua ilo
Kuna wakati Mwingine hata mavi hufikili badala ya ubongo.Ni brighter Day bosi. Waache wakapumzishwe. Haiwezekani wanapokea rushwa kuchafua taswira ya rais Dkt Samia na taifa. Ndiyo maana Dkt Magufuli alikuwa hacheki na pimbi, naona Mama Dkt Samia naye sasa ameelewa namna ya kuendesha mfumo. Wawakomeshe kabisa huko waliko, binya sana kende zao ili waseme nani kawapa hela za rushwa
Binafsi sijaona chuki yoyote sema propaganda zime tawala sanaaa upotoshaji ni mwingi sana.....Hakuna kuhisi kukomolewa ukizingua lazima ukamatwe nchi ina uhuru ila usipitilize
Kuanzisha siasa za chuki ni uhaini
KAMATA KAMATA IMEANZA UPYANdugu Watanzania,
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali.
Inadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, watu waliojitambulisha kuwa ni Askari ndio wamewakamata pasipo kutaja kosa lao na wapi wanapelekwa zaidi ya kuambiwa ni Maelekezo kutoka Juu. Pia, vifaa vyao vya mawasiliano (Simu za mkononi) vimechukuliwa.
Pia soma: RPC Morogoro: Sina taarifa ya kukamatwa kwa Wakili Mwabukusi, Mdude na Masonga
Sio kwamba mkaliamshe pale pale polisi?Wote tunapinga kuuzwa kwa bandari za Tanganyika, watukamate wote.
Acha uwongo we keyboard warrior, hebu tuma picha tuone!!Hapa nilipo nina kilema cha bomu katika mkutano wa cdm huko Arusha. Acha kabisa, ni bora ukae kimya maana sio kila mtu ni muoga wa hivyo.
endelea kukama watu wanaopinga wizi mkifikiri tutawanyamazia hii nchi sio ya ccm acheni ushamba.Mtaandamana hapa JF labda
Duu bro upo, nilidhani ulidead kipindi cha covid. Karibu sana.Hii nchi hii
Haya