Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Hii nchi bhana....sarakasi tupu.
 
Anachokifanya hangaya sasa hakiwezi ku justify kwamba alichofanya jiwe was better.....no big no.
 
Itapendeza kikianza kiroba Cha MAMAYO
Kwani cha MAMAYO wewe tayari? Unashindwa kujibu hoja unaanza matusi?
Kumamayozenu na safari hii tutawaffirra mpaka mtajua mlipotoka ni wapi, nyama nguruwe nyie, mlifkiri hii ni serikali ya kuchezea? Tutawawashia moto mpaka makaburini nyama nyie hakuna kucheka na umbwa ni moto kwenda mbele
 
Ni serikali ya Taifa lipi itakayo ruhusu mtu asambaze uongo na uchochezi..
Mfano kusema unaipa serikali siku kumi na nne,Serikali imeuza nchi,CCM imeuza Tanganyika nk.
Kauli hizi zote ni seditious..
Wasubiri wajibu
Makosa yao....Kuna watu waliwai kueneza maneno kua CHADEMA wanatetea Ushoga,CHADEMA ni wadini,CHADEMA ni wakanda....he CHADEMA ili kaa kimya??
Hao wajibu tu tuhuma zao maana kukamatwa sio kua basi umefungwa
 
Nakuona huko frontline
 
Unakamatwa kwa kosa ambalo ushafanya au kama ukipanga kulifanya police wakajua bhc popote ulipo utakamatwa
Kwani ukiiba kariakoo ukakamtwa ubungo utasema umeonewa ujaiba ubungo?
Nahisi ujaelewa, nilimjibu alichouliza huyo awali
 
Hao labda wasiwekwe ndani zaidi ya wiki 2, bila hivyo lazima warudi majumbani mwao na uja uzito, sijui watawaambia nini familia zao.
Halafu unashupaza shingo kupinga uahoga wakati ndo ibada yako
 
Kubabako wote mwisho wetu ni kuoza na kunuka tu, mkwara mbuzi tu huo mbweha wewe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kamanda toka shimoni uongee mbele ya wanaume. Mbona nyie waoga sana kukamatwa.
Mzee mbona umekaa kimafia mafia sana?

Au sababu ya ID fake?

Ukiitwa polisi utajitetea?

Maana unaonekana we ni mtu hatari sana kwa Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…