Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Mimi sichangii tena jukwaa la siasaDuu bro upo, nilidhani ulidead kipindi cha covid. Karibu sana.
Nchi imeoza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sichangii tena jukwaa la siasaDuu bro upo, nilidhani ulidead kipindi cha covid. Karibu sana.
😂😂 Nimekuelewa.Mimi sichangii tena jukwaa la siasa
Nchi imeoza
Mnaokula na CCM mnaonekana tuAcha wanyee debe, yaani unahamasisha watu wasilipe Kodi, umeenda mahakamani kutafuta haki, umeshindwa, unaanzisha agenda za kuhujumu uchumi
Hapo unakwepa Kodi na una kitambi,halafu unatushutumu kula na CCM!!..Mnaokula na CCM mnaonekana tu
Hii nchi bhana....sarakasi tupu.Ndugu Watanzania,
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali.
Inadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, watu waliojitambulisha kuwa ni Askari ndio wamewakamata pasipo kutaja kosa lao na wapi wanapelekwa zaidi ya kuambiwa ni Maelekezo kutoka Juu. Pia, vifaa vyao vya mawasiliano (Simu za mkononi) vimechukuliwa.
Pia soma: RPC Morogoro: Sina taarifa ya kukamatwa kwa Wakili Mwabukusi, Mdude na Masonga
Anachokifanya hangaya sasa hakiwezi ku justify kwamba alichofanya jiwe was better.....no big no.Wanisiasa wanafki afu mtz nayo inapelekeshwa kama mitahira
Walimtukana magu ety anakimbiza wawekezajj mara hana mahusiano mazuri na mataifa ya nje
Mara serikali itapata hasara kuvunja mikataba
Hayo yote waliyokua wanalia mama kaja kuyafanya kama walivopendekeza tena hawataki
Kwani cha MAMAYO wewe tayari? Unashindwa kujibu hoja unaanza matusi?Itapendeza kikianza kiroba Cha MAMAYO
Unauhakika?Waongo hao, hakuna aliyekamatwa:
RPC Morogoro: Sina taarifa ya kukamatwa kwa Wakili Mwabukusi, Mdude na Masonga
Kufuatia habari zilizoripotiwa katika mitandao ya kijamii kuhusu kushikiliwa kwa katibu wa CHADEMA kanda ya kati Emmanuel Masonga, Wakili Boniface Mwabukusi na na kada maarufu wa CHADEMA Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA) maeneo ya Mikumi mkoani Morogoro na watu waliojitambulisha kuwa ni maafisa wa...www.jamiiforums.com
ww ni effin bigoted and a racist twaat. Ulitakiwa uwe umefungiwa humu ndani JF. pamoja na moderator anayekubebaSana yaani
Ni serikali ya Taifa lipi itakayo ruhusu mtu asambaze uongo na uchochezi..Hakuna jipya hapo, Adv Mwabukusi hajakamatwa peke yake, hata Mdude Nyagali, na kamanda Nyaisunga, nao pia wamekamatwa, wote wako kutuo cha polisi, Mikumi, Morogoro.
Hapa tuwekane sawa tu, hayupo yeyote kati ya waliokamatwa ambaye hakujua matokeo ya kile wanachokipigania, wanachokifanya polisi sio kuwatisha, au kuwaogopesha, ni kuwafanya wawe imara zaidi kwenye mapambano.
Nakuona huko frontlineMatatizo ya kuishi in a shithole country, police wanapomkamata suspect ni LAZIMA haki yake apewe ikiwa ni pamoja na kuambiwa why anakamatwa, haki zake including kuwa kimya, na anapewa nafasi ya ku contact lawyer wake na ndugu yake(mmoja),watanzania watapiga kelele na kulalama humu, mabadiliko yanapatikana kwenye streets battles, igp ameogopa kivuli chake
Nahisi ujaelewa, nilimjibu alichouliza huyo awaliUnakamatwa kwa kosa ambalo ushafanya au kama ukipanga kulifanya police wakajua bhc popote ulipo utakamatwa
Kwani ukiiba kariakoo ukakamtwa ubungo utasema umeonewa ujaiba ubungo?
Anza kumwaga damu yako basi tuone.CCM HAIWEZI KUTOKA MADARAKANI BILA DAMU KUMWAGIKA
Halafu unashupaza shingo kupinga uahoga wakati ndo ibada yakoHao labda wasiwekwe ndani zaidi ya wiki 2, bila hivyo lazima warudi majumbani mwao na uja uzito, sijui watawaambia nini familia zao.
Kubabako wote mwisho wetu ni kuoza na kunuka tu, mkwara mbuzi tu huo mbweha weweKwani cha MAMAYO wewe tayari? Unashindwa kujibu hoja unaanza matusi?
Kumamayozenu na safari hii tutawaffirra mpaka mtajua mlipotoka ni wapi, nyama nguruwe nyie, mlifkiri hii ni serikali ya kuchezea? Tutawawashia moto mpaka makaburini nyama nyie hakuna kucheka na umbwa ni moto kwenda mbele
Uhakika wa nini?Unauhakika?
CCM HAIWEZI KUTOKA MADARAKANI BILA DAMU KUMWAGIKA
Nia zenu hazitatimia kwa jina la Yesu?Nadhani sasa Rais samia umenielewa nilipokushauri utumie vyombo vya dola ili kutawala hii nchi nilikua namaanisha kitu gani.
Mzee mbona umekaa kimafia mafia sana?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kamanda toka shimoni uongee mbele ya wanaume. Mbona nyie waoga sana kukamatwa.