Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Polisi siyo Watanganyika wenzetu hawa. Let them go where they belong.. Wanachelewesha sana mabadiliko kuanzia kwenye chaguzi.
 
Ugonjwa ukifikia stage hii kuwaona wazima ya kua ndio wagonjwa ni kitu cha kawaida.
 
Mimi ni chadema lakini huyu mdude sijawahi kumuelewa. Ni jamii ya watu wanaotafuta Political Attention. Sample ya watu wa namna hii hatuwataki kwenye chama chetu.
 
Mimi ni chadema lakini huyu mdude sijawahi kumuelewa. Ni jamii ya watu wanaotafuta Political Attention. Sample ya watu wa namna hii hatuwataki kwenye chama chetu.
Wale vijana wa Chato na kaulizao
Mzee Bulembo
Machizi wapo kilachama
 
Sahihi lakini…
karibu bomu linalipuka
Kuna mikoa mingi ziara ya chadema serikali ilipashwa wawe wamejifunza jambo…
Karibu kunakucha Mkuu
Mungu ni mkubwa sana
 
Mnasposema wewe na nai?

Maana hapa sote ni "anonymous" kasoro wachache sana.
Taarifa ya jeshi kukiri kwamba inawashikilia na iliwakamata saa 8 usiku umeipata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…