Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugonjwa ukifikia stage hii kuwaona wazima ya kua ndio wagonjwa ni kitu cha kawaida.Hawa jamaa wanaojifanya watetezi wa Bandari wanataka tuwaamini kwa kila wanachosema eti nyasi zote zina rangi ya blue ole wako upinge naona busara zote zime fikia mwisho wanahitaji matibabu hawa tiba nyingine ili kunusuru mgonjwa lazima apewe nusu kaputi ili afanyiwe upasuaji salama.
Wamebembelezwa sana inatosha.
Mimi Kamanda AsiyechokaWewe ni nani na chanzo chako ni kipi?
Kwanini tukuamini?
Andamana.ccm jibu hoja za mkataba acha kutumia police kusumbua watu.
Yani Ukisoma hiyo Taarifa na kujiwekea picha utaona wamekamatwa gizani na porini, manake saa nane usiku ni giza, na maeneo ya Mikumi ni porini! Hapo sasa, wanajaribu kusema walikuwa wakielekea misituni tayari kwa kuratibu ma kutekeleza huo Uhaini(Maandamano) Aisee duh!
Angalia Mvinyo wa damu alionao hapo mezani, then angalia na Bunduki hapo chiniMaana yake nn
PumbavuMimi ni chadema lakini huyu mdude sijawahi kumuelewa. Ni jamii ya watu wanaotafuta Political Attention. Sample ya watu wa namna hii hatuwataki kwenye chama chetu.
Dog style unaiweza? Au ndio uzeeAndamana.
Back to senderPumbavu
Sukuma gang leo umeamua kuwa mpinzani wa ccm yako kisa mnakosa pa kuibia serikaliniWote tunapinga kuuzwa kwa bandari za Tanganyika, watukamate wote.
Wale vijana wa Chato na kaulizaoMimi ni chadema lakini huyu mdude sijawahi kumuelewa. Ni jamii ya watu wanaotafuta Political Attention. Sample ya watu wa namna hii hatuwataki kwenye chama chetu.
Idiotic post.Sukuma gang leo umeamua kuwa mpinzani wa ccm yako kisa mnakosa pa kuibia serikalini
Sahihi lakini…
Matusi yangekuwa mtaji wa fedha wala usingekuwa unashindia kashata na maji ya kandoroIdiotic post.
Mungu ni mkubwa sanaSahihi lakini…
karibu bomu linalipuka
Kuna mikoa mingi ziara ya chadema serikali ilipashwa wawe wamejifunza jambo…
Karibu kunakucha Mkuu
Wewe makalio yako madogo unapeleka kwa nani? Mwabukusi au Mdude?Peleka makalio yako makubwa kwa hao hao mabasha wako waarabu
Hilo sio tusiMatusi yangekuwa mtaji wa fedha wala usingekuwa unashindia kashata na maji ya kandoro
Taarifa ya jeshi kukiri kwamba inawashikilia na iliwakamata saa 8 usiku umeipata?Mnasposema wewe na nai?
Maana hapa sote ni "anonymous" kasoro wachache sana.