Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Mwanamke kapotezwa chakani.
 
Watafutwe wote wanaoitishia kupindua serikali wakae ndani kama uamsho angalau miaka 9 inatosha.
Wanaotishia kupindua serikali hawapigi kelele.
Nimeona nikukumbushe hilo pamoja na kwamba akili yako ni ndogo kujua hivyo.

Najua lengo ni kutia watu hofu/uoga, lakini hili hufikia mahala likawa halina vitisho tena kwa watu waliodhamiria kufanya kweli.

Na watu wamekwishadhamiria hivyo, hata mfanye nini, hatma yenu shaamuriwa.
 
Wao kama wameshasaini waendelee tu na sio kusumbua wazalendo wanaohoji.
 
Yote hii ni kwasababu ya kuajiri polisi wenye ufaulu mdogo wa kidato cha nne.
Sio kweli kwamba askari wa nchi hii wameajiriwa wale wenye ufaulu hafifu kidato cha nne. Kuna degree na masters za kutosha. Kwa hiyo tuwatuhumu kivingine hawa askari wa nchi hii kwenye utendaji wao wa kazi na sio kutumia kiwango vyao vya elimu. Walioandaa mkataba huu ndio wale mnaowaita wanasheria wasomi, sasa ndio muone sifa mnazowapa hao wanasheria na hasara ambazo taifa la Tanzania inakutana nazo kwenye mahakama za ushuruhishi migogoro kimataifa
 
Sasa rasmi uchi inaongozwa na sasa dikteta Samia, dikteta wa kwanza mwanamme barani Afrika
 
Awali mbona yule kamanda wa morogoro alisema hana habari za kukamatwa watu hao? Kwani angesema ukweli ingemuwia vigumu nini wakati tayari watu hao walikuwa tayari wanashikiliwa? Polisi wawe wakweli daima muda wote kutoa habari wakiulizwa
 
Samia aombee tu siku akipishana na mabeberu, au upinzani ukawa upande wa mabeberu, basi itabidi aachie nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…