Itika Mapatano
Member
- Oct 17, 2019
- 73
- 61
Mnakamatwa Bila hatia?Ina hamjui Kwa nini mnakamatwa?Tunakamatwa bila hatia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnakamatwa Bila hatia?Ina hamjui Kwa nini mnakamatwa?Tunakamatwa bila hatia
Kama waalimu tu alafu hizi kada mbili ndizo hutumika kipindi cha uchaguzi. Nikisanga na nusuWapelekwe mahakamani kesho hiyo hiyo waache uhuni wa kuwashikilia huku wakiendelea kusota mahabusu tu
Tuna jeshi la polisi la hovyo sana
Mwanamke kapotezwa chakani.Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi hilo , Kamanda Misiime , Shukrani nyingi sana kwa Wananchi kwa kupaza sauti kuu , maana mngenyamaza watu hawa wangeweza kupotea kama Ben Saanane .
Kamanda Misiime amedai kwamba , watu hao wamekamatwa kwa tuhuma za Uchochezi , na kwamba kuna watu wengine bado wanasakwa ili waunganishwe nao.
======
Bali kwa Tafsiri ya wananchi , wanaoitwa wachochezi ni wale wote wanaopinga Mkataba duni wa kudhalilisha wa milele wa Bandari za Tanganyika tu (siyo za Zanzibar) na DP WORLD ya Waarabu wa Dubai , kwahiyo tunatarajia watu wengi zaidi kukamatwa kwa tuhuma hizi , wakiwemo wanasiasa , wanaharakati na Viongozi wa dini wanaopinga uwekezaji huu wa kitumwa .
Lengo la yote haya ni kuwatisha wananchi ili wamuachie Mwarabu Bandari zetu .
Je lengo hili litafanikiwa ?
Yani acha tyuKama waalimu tu alafu hizi kada mbili ndizo hutumika kipindi cha uchaguzi. Nikisanga na nusu
Wanaotishia kupindua serikali hawapigi kelele.Watafutwe wote wanaoitishia kupindua serikali wakae ndani kama uamsho angalau miaka 9 inatosha.
Wao kama wameshasaini waendelee tu na sio kusumbua wazalendo wanaohoji.Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi hilo , Kamanda Misiime , Shukrani nyingi sana kwa Wananchi kwa kupaza sauti kuu , maana mngenyamaza watu hawa wangeweza kupotea kama Ben Saanane .
Kamanda Misiime amedai kwamba , watu hao wamekamatwa kwa tuhuma za Uchochezi , na kwamba kuna watu wengine bado wanasakwa ili waunganishwe nao.
======
Bali kwa Tafsiri ya wananchi , wanaoitwa wachochezi ni wale wote wanaopinga Mkataba duni wa kudhalilisha wa milele wa Bandari za Tanganyika tu (siyo za Zanzibar) na DP WORLD ya Waarabu wa Dubai , kwahiyo tunatarajia watu wengi zaidi kukamatwa kwa tuhuma hizi , wakiwemo wanasiasa , wanaharakati na Viongozi wa dini wanaopinga uwekezaji huu wa kitumwa .
Lengo la yote haya ni kuwatisha wananchi ili wamuachie Mwarabu Bandari zetu .
Je lengo hili litafanikiwa ?
Sio kweli kwamba askari wa nchi hii wameajiriwa wale wenye ufaulu hafifu kidato cha nne. Kuna degree na masters za kutosha. Kwa hiyo tuwatuhumu kivingine hawa askari wa nchi hii kwenye utendaji wao wa kazi na sio kutumia kiwango vyao vya elimu. Walioandaa mkataba huu ndio wale mnaowaita wanasheria wasomi, sasa ndio muone sifa mnazowapa hao wanasheria na hasara ambazo taifa la Tanzania inakutana nazo kwenye mahakama za ushuruhishi migogoro kimataifaYote hii ni kwasababu ya kuajiri polisi wenye ufaulu mdogo wa kidato cha nne.
Sasa rasmi uchi inaongozwa na sasa dikteta Samia, dikteta wa kwanza mwanamme barani AfrikaHii ndio Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi hilo , Kamanda Misiime , Shukrani nyingi sana kwa Wananchi kwa kupaza sauti kuu , maana mngenyamaza watu hawa wangeweza kupotea kama Ben Saanane .
Kamanda Misiime amedai kwamba , watu hao wamekamatwa kwa tuhuma za Uchochezi , na kwamba kuna watu wengine bado wanasakwa ili waunganishwe nao.
======
Bali kwa Tafsiri ya wananchi , wanaoitwa wachochezi ni wale wote wanaopinga Mkataba duni wa kudhalilisha wa milele wa Bandari za Tanganyika tu (siyo za Zanzibar) na DP WORLD ya Waarabu wa Dubai , kwahiyo tunatarajia watu wengi zaidi kukamatwa kwa tuhuma hizi , wakiwemo wanasiasa , wanaharakati na Viongozi wa dini wanaopinga uwekezaji huu wa kitumwa .
Lengo la yote haya ni kuwatisha wananchi ili wamuachie Mwarabu Bandari zetu .
Je lengo hili litafanikiwa ?
Jibuni hoja za bandari acha kijibagalaguza,mlisema mtachambua kifungu kwa kifungu mtuambia tutafaidika wapi, porojo za wezi bandarini zimegongwa mwamba mekosa pakutokea nakimbilia police wawasaidie kujibu hoja, moto uko palepale jibu hoja.Kesho ni jumapili.
Mkuu mbona unatukana kiasi hiki???Oneni hili punguani linalokula ugali wa bure Kwa shemeji ake, linalala sebleni kusikilizia miguno ya Dada ake akiwa anachezea dog style
Div IV ya points 32Yote hii ni kwasababu ya kuajiri polisi wenye ufaulu mdogo wa kidato cha nne.
Samia aombee tu siku akipishana na mabeberu, au upinzani ukawa upande wa mabeberu, basi itabidi aachie nchiHii ndio Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi hilo , Kamanda Misiime , Shukrani nyingi sana kwa Wananchi kwa kupaza sauti kuu , maana mngenyamaza watu hawa wangeweza kupotea kama Ben Saanane .