Mtani wa Taifa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2023
- 953
- 3,318
mdude ameshazoea mabolo ya jela ila mwabukusi kazi anayo leo, atapigwa kavukavu ila atazoea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mizimu ya mlima koleloWatasingizia kuwa anatoa maelekezo kutoka kaburini
Hakuna marefu yasiyo na ncha hapa dunianiIla wajue ndiyo wanatia chumvi kwenye kidonda.
Subiri jumatatuIngekuwa vyema mngej8tokeza wote kwenda polisi kupinga kukamatwa kwao.
Mnachombeza wenzenu nyie mmejificha nyuma ya keyboard.
Mfyuuuu.
Ni mjinga pekee hajui ukubwa wa JfUtampigania hapa hapa jf ikifika usiku uko na familia yako kwa raha zako...
Msomi? Unatakiwa ujue kuhesabu moja, mbili, tatu halafu unamalizia moja basi.na ukitumwa ni kutii. hata kama unaona sio! hivi kazi za hivi zinaweza kuwa na msomi?
Jesus is Lord
Kamateni hadi wauza vitumbua aisee, mtusaidia vijana wetu kupata maisha. Hamjui tu vile hii kitu inanifurahisha. Ni wakati sasa wa watanzania kufaidika na kupitia viongozi wa hovyo.View attachment 2715570
Jeshi la Polisi nchini limethibitisha kuwakamata Wakili Boniface Mwabukusi na Mpaluka Said Nyagali maarufu kama Mdude kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi.
Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi na Msemaji wa Jeshi la Polisi, SACP -David Misime imesema wawili hao wamekatwa kwa mahojiano ambayo yanaendelea.
“Jeshi la Polisi kama lilivyo eleza jana tarehe 11 Agosti 2023 linawafuatilia ili liwakamate watuhumiwa walioandaa na kutoa maneno ya uchochezi, kazi hiyo inaendelea kufanyika kwa
mujibu wa sheria.
“Jeshi la Polisi lilifanikiwa kuwakamata maeneo ya Mikumi Mkoani Morogoro majira ya saa nane na nusu usiku tarehe 12 Agosti 2023,” imesema taarifa hiyo.
Hayo yamejiri baada mapema asubuhi leo kuibuka taarifa kukamatwa kwa Mwabukusi na Mdude kuenea katika vyanzo mbalimbali.
Mwabukusi alikuwa mmoja wa wanasheria waliofungua kesi ya kupinga mkataba uliofumgwa kati ya serikali na Dubai.
Kukamatwa kwa Mwabukusi kumekuja muda mfupi baada ya Mkuu wa Jeshi la Polisi kuutangazia ulimwengu, kwamba “kuna njama za kumuangusha Rais wa Jamhuri, Dk. Samia Suluhu Hassan.”
Kituko kweliWanaotete mali za Nchi wanakatwa ni kama tupo enzi za kaburu na Wazulu hii sijawahi ona...wanaotetea Mali za vizazi na vizazi mnawakamata hii laana itawafuna sana...
Weka clip wakisema wanataka kupindua nchi.Aah mlikua mnataka mkimwambia nchi tunaipindua awakenulie meno pumbavu sana.
Nashauri Mwehu Lissu asikamatwe. Na akikamatwa aletwe huku kwenye Hospitali ya Rufaa Chato, Kitengo cha Magonjwa ya Akili. Anahitaji matibabu huyu!Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi hilo , Kamanda Misiime , Shukrani nyingi sana kwa Wananchi kwa kupaza sauti kuu , maana mngenyamaza watu hawa wangeweza kupotea kama Ben Saanane .
Kamanda Misiime amedai kwamba , watu hao wamekamatwa kwa tuhuma za Uchochezi , na kwamba kuna watu wengine bado wanasakwa ili waunganishwe nao.
======
Bali kwa Tafsiri ya wananchi , wanaoitwa wachochezi ni wale wote wanaopinga Mkataba duni wa kudhalilisha wa milele wa Bandari za Tanganyika tu (siyo za Zanzibar) na DP WORLD ya Waarabu wa Dubai , kwahiyo tunatarajia watu wengi zaidi kukamatwa kwa tuhuma hizi , wakiwemo wanasiasa , wanaharakati na Viongozi wa dini wanaopinga uwekezaji huu wa kitumwa .
Lengo la yote haya ni kuwatisha wananchi ili wamuachie Mwarabu Bandari zetu .
Je lengo hili litafanikiwa ?
Polisi wana taarifa za kiintelijensia na bado mtatafutwa wote mpaka mpatikane si umemsikia kamanda wa polisi katika press. Hao wakina Mwambuzi na mdude wanatumwa tu serikali inataka wale waliojificha nyuma yao.Weka clip wakisema wanataka kupindua nchi.
Umejuaje huwa hatuendi wakikamatwa?Ingekuwa vyema mngej8tokeza wote kwenda polisi kupinga kukamatwa kwao.
Mnachombeza wenzenu nyie mmejificha nyuma ya keyboard.
Mfyuuuu.