Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Polisi wana taarifa za kiintelijensia na bado mtatafutwa wote mpaka mpatikane si umemsikia kamanda wa polisi katika press. Hao wakina Mwambuzi na mdude wanatumwa tu serikali inataka wale waliojificha nyuma yao.
Polisi hawa wasiojua maana ya PGO au mna polisi wa kukodi ?
 
Aaaaaah, kumbe ni uchochezi tu..!!!????

Mimi nilidhani ni tuhuma za "uhaini" wa kutaka kuipindua serikali ya Rais Samia kabla ya 2025 kama alivyosema IGP Cammilius Wambura?
Walitaka kuweka hilo la uhaini ila hesabu zimekataa
 
Yaani wawashughulikie kabisa kisheria ili wafungwe. Hapa tunamuomba Dr Samia asitoe msamaha kabisa.
 
RPC Morogoro ni wa jeshi lipi?
 
Watuambie hayo maneno wanayoyaita ya kichochezi ili tuyapime tuone kweli ya kichochezi na walisitaili kutekwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…