FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Umeusoma uzi au umekurupuka? Wakamatwe mara ngapi?Umejuaje huwa hatuendi wakikamatwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeusoma uzi au umekurupuka? Wakamatwe mara ngapi?Umejuaje huwa hatuendi wakikamatwa?
Ila wajue ndiyo wanatia chumvi kwenye kidonda.
Hatuhangaiki na WajingaNashauri Mwehu Lissu asikamatwe. Na akikamatwa aletwe huku kwenye Hospitali ya Rufaa Chato, Kitengo cha Magonjwa ya Akili. Anahitaji matibabu huyu!
Polisi hawa wasiojua maana ya PGO au mna polisi wa kukodi ?Polisi wana taarifa za kiintelijensia na bado mtatafutwa wote mpaka mpatikane si umemsikia kamanda wa polisi katika press. Hao wakina Mwambuzi na mdude wanatumwa tu serikali inataka wale waliojificha nyuma yao.
Walitaka kuweka hilo la uhaini ila hesabu zimekataaAaaaaah, kumbe ni uchochezi tu..!!!????
Mimi nilidhani ni tuhuma za "uhaini" wa kutaka kuipindua serikali ya Rais Samia kabla ya 2025 kama alivyosema IGP Cammilius Wambura?
Kweli kabisa! Akina Lissu hawa ni wajinga kabisa!!!Hatuhangaiki na Wajinga
Yaani wawashughulikie kabisa kisheria ili wafungwe. Hapa tunamuomba Dr Samia asitoe msamaha kabisa.View attachment 2715570
Jeshi la Polisi nchini limethibitisha kuwakamata Wakili Boniface Mwabukusi na Mpaluka Said Nyagali maarufu kama Mdude kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi.
Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi na Msemaji wa Jeshi la Polisi, SACP -David Misime imesema wawili hao wamekatwa kwa mahojiano ambayo yanaendelea.
“Jeshi la Polisi kama lilivyo eleza jana tarehe 11 Agosti 2023 linawafuatilia ili liwakamate watuhumiwa walioandaa na kutoa maneno ya uchochezi, kazi hiyo inaendelea kufanyika kwa
mujibu wa sheria.
“Jeshi la Polisi lilifanikiwa kuwakamata maeneo ya Mikumi Mkoani Morogoro majira ya saa nane na nusu usiku tarehe 12 Agosti 2023,” imesema taarifa hiyo.
Hayo yamejiri baada mapema asubuhi leo kuibuka taarifa kukamatwa kwa Mwabukusi na Mdude kuenea katika vyanzo mbalimbali.
Mwabukusi alikuwa mmoja wa wanasheria waliofungua kesi ya kupinga mkataba uliofumgwa kati ya serikali na Dubai.
Kukamatwa kwa Mwabukusi kumekuja muda mfupi baada ya Mkuu wa Jeshi la Polisi kuutangazia ulimwengu, kwamba “kuna njama za kumuangusha Rais wa Jamhuri, Dk. Samia Suluhu Hassan.”
RPC Morogoro ni wa jeshi lipi?View attachment 2715570

Hawezi tolea taarifa kitu ambacho hajakifanyaRPC Morogoro ni wa jeshi lipi?
Hujajibu swaliHawezi tolea taarifa kitu ambacho hajakifanya
Watuambie hayo maneno wanayoyaita ya kichochezi ili tuyapime tuone kweli ya kichochezi na walisitaili kutekwaView attachment 2715570
Jeshi la Polisi nchini limethibitisha kuwakamata Wakili Boniface Mwabukusi na Mpaluka Said Nyagali maarufu kama Mdude kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi.
Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi na Msemaji wa Jeshi la Polisi, SACP -David Misime imesema wawili hao wamekatwa kwa mahojiano ambayo yanaendelea.
“Jeshi la Polisi kama lilivyo eleza jana tarehe 11 Agosti 2023 linawafuatilia ili liwakamate watuhumiwa walioandaa na kutoa maneno ya uchochezi, kazi hiyo inaendelea kufanyika kwa
mujibu wa sheria.
“Jeshi la Polisi lilifanikiwa kuwakamata maeneo ya Mikumi Mkoani Morogoro majira ya saa nane na nusu usiku tarehe 12 Agosti 2023,” imesema taarifa hiyo.
Hayo yamejiri baada mapema asubuhi leo kuibuka taarifa kukamatwa kwa Mwabukusi na Mdude kuenea katika vyanzo mbalimbali.
Mwabukusi alikuwa mmoja wa wanasheria waliofungua kesi ya kupinga mkataba uliofumgwa kati ya serikali na Dubai.
Kukamatwa kwa Mwabukusi kumekuja muda mfupi baada ya Mkuu wa Jeshi la Polisi kuutangazia ulimwengu, kwamba “kuna njama za kumuangusha Rais wa Jamhuri, Dk. Samia Suluhu Hassan.”
🤣🤣😀😀na ukitumwa ni kutii. hata kama unaona sio! hivi kazi za hivi zinaweza kuwa na msomi?
Jesus is Lord
Ni jeshi la punguani. Ndiyo maana huwa wanapenda kutafuta wasio na akili kwenda kuwa polisi.Wapelekwe mahakamani kesho hiyo hiyo waache uhuni wa kuwashikilia huku wakiendelea kusota mahabusu tu
Tuna jeshi la polisi la hovyo sana
Kumbe wewe ni mweupe kiivyo!?Hawezi tolea taarifa kitu ambacho hajakifanya
Umejuaje; kwani wewe ndio mwendesha mashtaka?Walitaka kuweka hilo la uhaini ila hesabu zimekataa
Wasomi wangegomea order?Yote hii ni kwasababu ya kuajiri polisi wenye ufaulu mdogo wa kidato cha nne.
Sasa humu unapadharaunahakuna atakae watetea.makelele yataishia humu humu