Usifananishe Watanzania na kenya mzee.Wanaotishia kupindua serikali hawapigi kelele.
Nimeona nikukumbushe hilo pamoja na kwamba akili yako ni ndogo kujua hivyo.
Najua lengo ni kutia watu hofu/uoga, lakini hili hufikia mahala likawa halina vitisho tena kwa watu waliodhamiria kufanya kweli.
Na watu wamekwishadhamiria hivyo, hata mfanye nini, hatma yenu shaamuriwa.
Sina cheo wala sitaki, na wala sio mwanachama wa cdm, bali shabiki kindakindaki wa CDM. Una lingine nikusaidie?Wewe una cheo gani chadema?
Si ajabu unaandika huku unasubiri ugali wa shikamoo hapo.Wana celo za kuwahifadhi Watanganyika wote tunaopinga bandari zetu kuporwa?
Viwango hivyo vya HOFU tulishavivuka.
Tusubiri.
Nyuma ya keyboard ama? Mkiambiwa mjitokeze barabarani wanakuja watu 7.Tutampigania Mwabukusi hadi tone la mwisho
Hawawezi hao.Nyuma ya keyboard ama? Mkiambiwa mjitokeze barabarani wanakuja watu 7.
Magonjwa Mtambuka
Acha upumbavu..Nyuma ya keyboard ama? Mkiambiwa mjitokeze barabarani wanakuja watu 7.
Magonjwa Mtambuka
Hapo ndio mwisho wa akili yako?Miye nawalaumu tuu kujipakiza gari moja, hapo mwingine angekwea mwewe, mwingine treni, na mwingine angepanda basi hadi iringa akatokea Dodoma zen akarudi Dar. Umafya umafya tuu maisha kuwindani km nyati na simba porini.
Kabisa mkuu,zamani CDM ilikuwa moto.,enzi zile za miaka ya 2008-2011 chini ya DK Slaa. Alikuwa mstari wa mbele kudai haki.Hawawezi hao.
Siasa za CDM za kizamani sana.
Hapo nyuma CDM niliipenda sana , ila tabia zao za undumilakuwili hapana kwakweli.
inamankuswekeAcha upumbavu..
Kuwa mstarabuBado na wewe pimbi wakukamate
Endeleani kumshika sharubu Simba.Siku akiwapa mnachotaka msilalamike.Hawa wengi wana hamu ya kurudi kwa Nyapara,wapewe mambo yao.Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi hilo , Kamanda Misiime , Shukrani nyingi sana kwa Wananchi kwa kupaza sauti kuu , maana mngenyamaza watu hawa wangeweza kupotea kama Ben Saanane .
Kamanda Misiime amedai kwamba , watu hao wamekamatwa kwa tuhuma za Uchochezi , na kwamba kuna watu wengine bado wanasakwa ili waunganishwe nao.
======
Bali kwa Tafsiri ya wananchi , wanaoitwa wachochezi ni wale wote wanaopinga Mkataba duni wa kudhalilisha wa milele wa Bandari za Tanganyika tu (siyo za Zanzibar) na DP WORLD ya Waarabu wa Dubai , kwahiyo tunatarajia watu wengi zaidi kukamatwa kwa tuhuma hizi , wakiwemo wanasiasa , wanaharakati na Viongozi wa dini wanaopinga uwekezaji huu wa kitumwa .
Lengo la yote haya ni kuwatisha wananchi ili wamuachie Mwarabu Bandari zetu .
Je lengo hili litafanikiwa ?
Yote ni watu kujifanya mawakili,kumbe madereva wa daladala.Yote hii ni kwasababu ya kuajiri polisi wenye ufaulu mdogo wa kidato cha nne.
Sawa kabisa.Watafutwe wote wanaoitishia kupindua serikali wakae ndani kama uamsho angalau miaka 9 inatosha.
Akili ni nywele mkuuHapo ndio mwisho wa akili yako?
Wampigania umejificha nyuma keabordy,ya simu ya mume wa dada yako.Jitokeze,uone.Tutampigania Mwabukusi hadi tone la mwisho
Siyo "yakiri", yatangaza.Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi hilo , Kamanda Misiime , Shukrani nyingi sana kwa Wananchi kwa kupaza sauti kuu , maana mngenyamaza watu hawa wangeweza kupotea kama Ben Saanane .
Kamanda Misiime amedai kwamba , watu hao wamekamatwa kwa tuhuma za Uchochezi , na kwamba kuna watu wengine bado wanasakwa ili waunganishwe nao.
======
Bali kwa Tafsiri ya wananchi , wanaoitwa wachochezi ni wale wote wanaopinga Mkataba duni wa kudhalilisha wa milele wa Bandari za Tanganyika tu (siyo za Zanzibar) na DP WORLD ya Waarabu wa Dubai , kwahiyo tunatarajia watu wengi zaidi kukamatwa kwa tuhuma hizi , wakiwemo wanasiasa , wanaharakati na Viongozi wa dini wanaopinga uwekezaji huu wa kitumwa .
Lengo la yote haya ni kuwatisha wananchi ili wamuachie Mwarabu Bandari zetu .
Je lengo hili litafanikiwa ?
Hao waliokamatwa huko ndiko wanakutaka,wapewe pipi na Mnyapara.Wapelekwe mahakamani kesho hiyo hiyo waache uhuni wa kuwashikilia huku wakiendelea kusota mahabusu tu
Tuna jeshi la polisi la hovyo sana
Kweli kabisa.nahakuna atakae watetea.makelele yataishia humu humu