Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Wanaotishia kupindua serikali hawapigi kelele.
Nimeona nikukumbushe hilo pamoja na kwamba akili yako ni ndogo kujua hivyo.

Najua lengo ni kutia watu hofu/uoga, lakini hili hufikia mahala likawa halina vitisho tena kwa watu waliodhamiria kufanya kweli.

Na watu wamekwishadhamiria hivyo, hata mfanye nini, hatma yenu shaamuriwa.
Usifananishe Watanzania na kenya mzee.

Watanzania ni Waoga , hata usijipe moyo mkuu.
 
Tawala za Kiafrika hazijawahi kukombolewa...
 
Wana celo za kuwahifadhi Watanganyika wote tunaopinga bandari zetu kuporwa?

Viwango hivyo vya HOFU tulishavivuka.

Tusubiri.
Si ajabu unaandika huku unasubiri ugali wa shikamoo hapo.
 
Miye nawalaumu tuu kujipakiza gari moja, hapo mwingine angekwea mwewe, mwingine treni, na mwingine angepanda basi hadi iringa akatokea Dodoma zen akarudi Dar. Umafya umafya tuu maisha kuwindani km nyati na simba porini.
Hapo ndio mwisho wa akili yako?
 
Hawawezi hao.
Siasa za CDM za kizamani sana.
Hapo nyuma CDM niliipenda sana , ila tabia zao za undumilakuwili hapana kwakweli.
Kabisa mkuu,zamani CDM ilikuwa moto.,enzi zile za miaka ya 2008-2011 chini ya DK Slaa. Alikuwa mstari wa mbele kudai haki.
 
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi hilo , Kamanda Misiime , Shukrani nyingi sana kwa Wananchi kwa kupaza sauti kuu , maana mngenyamaza watu hawa wangeweza kupotea kama Ben Saanane .

Kamanda Misiime amedai kwamba , watu hao wamekamatwa kwa tuhuma za Uchochezi , na kwamba kuna watu wengine bado wanasakwa ili waunganishwe nao.

======
Bali kwa Tafsiri ya wananchi , wanaoitwa wachochezi ni wale wote wanaopinga Mkataba duni wa kudhalilisha wa milele wa Bandari za Tanganyika tu (siyo za Zanzibar) na DP WORLD ya Waarabu wa Dubai , kwahiyo tunatarajia watu wengi zaidi kukamatwa kwa tuhuma hizi , wakiwemo wanasiasa , wanaharakati na Viongozi wa dini wanaopinga uwekezaji huu wa kitumwa .

Lengo la yote haya ni kuwatisha wananchi ili wamuachie Mwarabu Bandari zetu .

Je lengo hili litafanikiwa ?
Endeleani kumshika sharubu Simba.Siku akiwapa mnachotaka msilalamike.Hawa wengi wana hamu ya kurudi kwa Nyapara,wapewe mambo yao.
 
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi hilo , Kamanda Misiime , Shukrani nyingi sana kwa Wananchi kwa kupaza sauti kuu , maana mngenyamaza watu hawa wangeweza kupotea kama Ben Saanane .

Kamanda Misiime amedai kwamba , watu hao wamekamatwa kwa tuhuma za Uchochezi , na kwamba kuna watu wengine bado wanasakwa ili waunganishwe nao.

======
Bali kwa Tafsiri ya wananchi , wanaoitwa wachochezi ni wale wote wanaopinga Mkataba duni wa kudhalilisha wa milele wa Bandari za Tanganyika tu (siyo za Zanzibar) na DP WORLD ya Waarabu wa Dubai , kwahiyo tunatarajia watu wengi zaidi kukamatwa kwa tuhuma hizi , wakiwemo wanasiasa , wanaharakati na Viongozi wa dini wanaopinga uwekezaji huu wa kitumwa .

Lengo la yote haya ni kuwatisha wananchi ili wamuachie Mwarabu Bandari zetu .

Je lengo hili litafanikiwa ?
Siyo "yakiri", yatangaza.

Kwani walificha wapi na walitangaza mapema kuwa watu wanaochochea na kutaka kufanya uhaini watakamatwa, na wanatutangazia kuwa wawili tayari na wengine wapo njiani kukamatwa. Huko siyo kukiri, huko ni kutangaza.

Usicheze na maneno. Sababu za kushikwa kwao zinajulikana. Kauli za kishenzi walizokuwa wanatowa haziashirii amani hata kidogo.

Tena bahati yao, kama ni USA wanafinywa tu.
 
Back
Top Bottom